Tanzania International Container Terminal Services (TICTS)

kachumbari

Senior Member
Nov 1, 2010
125
8
Tunaomba wahusika wa ticts wawe na mtazamo +(chanya),una myima mteja waiver ya storage ya mzigo mpaka unafikia kuuzwa mnadani na customs and excise,unakuta gharama za ticts storage ni kubwa mara 2-3 ya bei ya huo mzigo,lakini ukiomba wakupunguzie katika kiwango ambacho wao wtatapatata angalau kidogo hawataki, ila wanasubiri mgao kutoka tra baada ya mali kuuzwa mnadani na wakala wa tra kwa bei ya chini kabisa ya soko ya mali hiyo kwa wakati huo na kuambulia kiasi kidogo kabisa,
ushauri hivi huyu mfanya biashara ukimmaliza kabisa kibiashara na wewe si utakosa kufanya biashara? Kwani huyu mtu hata kuwa na uwezo tena wa kuleta mali na kukupatia biashara.tafadhali wahusika tumieni busara ili tuendeleee kushirikiana katika biashara sio kuuwana kibiashara. Naamini ni wateja wengi kwa wakati huu kama walikuwa wanadaiwa na tics na mizigo yao ikauzwa bandarini kwa mnada kwa sababu ya kudaiwa storage ni kwamba hawako tena katika ulimwengu wa biashara.naomba wahusika mtumie busara katika kutatua na kuwajenga watanzania katika hili.
 
Tatizo ni tra si ticts.tra ndio wazembe kila siku system ipo down hivyo kupelekea mizigo kuwa na storage!
 
eeeh hayo makubwa,yani nchi hii kila sector imeoza ,hivi ni sehemu gani sasa tutasema tunajivunia, poleni wa tz wenzangu Mungu atatuona siku moja....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom