Tanzania ingekuwa nchi ya aina gani mwaka 2025 endapo Magufuli angemaliza miaka mitano ya utawala wake?

Miaka mitano ya kipindi cha pili cha Magufuli ilikatishwa ghafla na kifo chake. Endapo miaka hiyo ingeisha akiwa bado Rais wetu uliitegemea Tanzania ya gani mwisho wa utawala wake?

Taswira gani inakujia kichwani ukitafakari kama angemaliza kipindi chake cha uongozi akiwa hai?
Tungekuwa mbali sana sana!
 
Mungu ni mwema siku zote hatimaye amefariki.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT
nchi ingeharibika.wastaafu wangekufa kabla hawajalipwa mafao yao.mama SSH rekebisha hili.
Tayari alishapora FAO LA KUJITOA

Watu wenye skills hawalipwi MAFAO, ha ndio hela nyingi

Watu wanakosa mitaji ya kufungua biashara, maana yake wanyonge' masikini kuwa wengi mno
 
Miaka mitano ya kipindi cha pili cha Magufuli ilikatishwa ghafla na kifo chake. Endapo miaka hiyo ingeisha akiwa bado Rais wetu uliitegemea Tanzania ya gani mwisho wa utawala wake?

Taswira gani inakujia kichwani ukitafakari kama angemaliza kipindi chake cha uongozi akiwa hai?
Nchi ingejaa magereza na makaburi
 
Miaka mitano ya kipindi cha pili cha Magufuli ilikatishwa ghafla na kifo chake. Endapo miaka hiyo ingeisha akiwa bado Rais wetu uliitegemea Tanzania ya gani mwisho wa utawala wake?

Taswira gani inakujia kichwani ukitafakari kama angemaliza kipindi chake cha uongozi akiwa hai?
Yangetokea Kama ya Romania miaia ileee!
 
Miaka mitano ya kipindi cha pili cha Magufuli ilikatishwa ghafla na kifo chake. Endapo miaka hiyo ingeisha akiwa bado Rais wetu uliitegemea Tanzania ya gani mwisho wa utawala wake?

Taswira gani inakujia kichwani ukitafakari kama angemaliza kipindi chake cha uongozi akiwa hai?

Kipapnde cha bahari ya Hindi kingeamishiwa Chato kitovu cha utalii
 
Wastaafu wangekosa kabisa mafao yao hata kwa miaka 10!
Wenye nacho wangeendelea kukuputika kiuwezo.
Deni la taifa lingepaa kwa mwendo wa 5G
Ukabila,ukanda na unayanyasaji ungezidi kuwa wa kutisha.
 
Miaka mitano ya kipindi cha pili cha Magufuli ilikatishwa ghafla na kifo chake. Endapo miaka hiyo ingeisha akiwa bado Rais wetu uliitegemea Tanzania ya gani mwisho wa utawala wake?

Taswira gani inakujia kichwani ukitafakari kama angemaliza kipindi chake cha uongozi akiwa hai?
Mnadanganywa kwa kujengewa Vizahanati na vimasoko wenzenu wanapiga Mabilioni kila mwezi kwa makampuni hewa
 
Kwa ile kasi ya watu kupotea,tungepungua hadi kwenye milioni 40. Pili,Amber Rutty angepewa ukuu wa wilaya. Kwa sababu Hermonize alikuwa anamsifia basi Kajala angekua mwenyekiti wa Sungusungu kule Tarime.
 
Miaka mitano ya kipindi cha pili cha Magufuli ilikatishwa ghafla na kifo chake. Endapo miaka hiyo ingeisha akiwa bado Rais wetu uliitegemea Tanzania ya gani mwisho wa utawala wake?

Taswira gani inakujia kichwani ukitafakari kama angemaliza kipindi chake cha uongozi akiwa hai?
Ungefanyika msako wa nyumba hadi nyumba kuwasaka wapinzani na kuwaua, maisha yangekuwa magumu kupindukia,watu wangechoka na kuandamana ,kisha angewaua kikatili na mataifa makubwa yakiongozwa na US yangeivamia Tanzania na kumtoa kwa nguvu, ni Bora kaondoka huyu mtu ilikuwa Disaster
 
Nchi ingekuwa mbali sana kiuchumi na maendeleo,kama taifa tungekuwa tunajitegemea,huyu jpm alikuwa na maono makubwa sana,na pia alikuwa na udhubutu
 
Kakoko wa TPA angekuwa kafikisha tayari 20 milion USD chumbani kwake

Bashiru angekuwa anajiandaa kuwa rais wa jamhuri ya muungano bila kupingwa
 
Ndiyo maana hajatomboa
Kweli bwana hebu fikiria unakutana na mama mkwe kachakaza we mwenyewe uko Hoi. Kuna ndugu mmoja aliwahi niambia MUNGU huwa ana namna ya kudeal na watu wanaoumiza wenzao huwa anawaonya Kwa namna anayoijua yeye ukishindikana anawaondoa. Tumeona mfano tuishi Kwa kiasi.
 
Sure tupendanane haswa
 
Back
Top Bottom