Tanzania inflation rises on food, fuel prices, heading to double digits? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania inflation rises on food, fuel prices, heading to double digits?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Invisible, Dec 15, 2010.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Dec 15, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  * November year-on-year inflation rises to 5.5 percent
  * Food price inflation 6.0 pct from 4.4 pct
  * Non-food inflation rate rises to 4.9 percent


  (Updates with analysts)
  By Fumbuka Ng'wanakilala


  DAR ES SALAAM, Dec 15 (Reuters) - Rising prices of food and non-food items like fuel pushed Tanzania's annual inflation rate up to 5.5 percent in November, the National Bureau of Statistics (NBS) said on Wednesday.

  Ranked the second-largest economy in east Africa, Tanzania is attracting attention from foreign investors due to its large population of 40.7 million and fairly underdeveloped capital markets following years of tight capital controls.

  The November rate, which rose from 4.2 percent in October, was calculated using a new methodology, introduced last month, that reduced the weighting of food in the basket of goods and services used to measure inflation to 47.78 percent from the previous 55.9 percent.

  "The inflation rate has a tendency of rising towards the end of the year due to the holiday season. This trend has been experienced in Tanzania and other neighbouring countries, " Ephraim Kwesigabo, director of population census and social statistics at NBS, told a news conference.

  Good rains have helped cap inflation in east Africa's second largest economy but rising fuel prices threaten to exert upward pressure on prices.

  "The 12-month index change for food consumed at home and away from home was 6.0 percent in the year ended November 2010, as compared to 4.4 percent in the year ended October 2010," NBS said in a statement.

  Among food prices that increased were bread, cereals, vegetables, cooking oil and fats, NBS said.

  The "annual inflation rate for housing, water, electricity, gas and other fuel rose significantly to 14.4 percent in November compared to 10.2 percent for the year ended October."

  Analysts said they expect Tanzania's inflation rate to continue rising in the coming months due to higher food and fuel prices and a weak shilling.

  "The inflation rate should keep rising because fuel prices remain high and the onset of seasonal rains has been delayed. Bad weather will affect food prices, hence put pressure on inflation," Humphrey Moshi, professor of economics at the University of Dar es Salaam, told Reuters.

  (Editing by Ron Askew)
   
 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Safi sana!! Hayo ndo matokeo ya kasi zaidi, nguvu zaidi na ari zaidi. Pamoja ya kwamba inaumiza, lakini binafsi naipenda sana hii hali, kwa kuwa itasaidia sana kuiondoa CCM madarakani mwaka 2015. Hivi sasa kipato cha watu wa vijijini hasa wakulima kimebaki kama kilivyokuwa huku gharama za maisha zikipanda. Zile khanga, tshirt na kofia zitawatokea puani sasa. Na hapo ndo watakapoikumbuka CHADEMA
   
 3. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2010
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Inatisha mkuu! Binafsi nimeanza kukata pindi la " How and where to invest when inflation is high?"
   
 4. T

  Tata JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Hii inflation ya 5.5% kwa mwaka imechakachuliwa. Hali halisi kwenye maduka na masoko ya vyakula ni mbaya zaidi ya hii wanayotuambia watu wa NBS. Nchi hii kila mtaalamu wa serikali anachakachua kuisaidia CCM ionekane inafanya vyema.
   
 5. H

  Hardwood JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 853
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 80
  Hii ni hatari!!! That's to say purchasing power for Tanzanians will tremendously decline, affecting living standards of Tanzanian population, particularly low income earners.

  Kuna kitu kimoja kinanishangaza sana kuhusu TZ yetu!!! Vile vitu ambavyo tunauza nje kwa wingi hata vikipanda bei vipi katika soko la dunia bado tu uchumi wetu utaendelea kuporomoka. Chukulia mfano dhahabu...Tokea mwaka 2007 global economic crisis ilipoanza, dhahabu ilipanda bei kwa kasi ya ajabu...lakini cha ajabu sijaona impact yake katika uchumi wa nchi yetu. Our economy is still sharply worsening!!! The value of Tshs is continuously weakening compared toUS$. Our economy is still dependent on peasant agriculture which in turn depend on rainfall availability!!! Tanzania has some of the most fertile river valleys in the whole of Africa eg. Rufiji River Valley, Malagarasi River Valley, Kagera River Valley(Part of Nile River Valley), Ruvu River Valley, Wami River Valley, Pangani River etc. All these river valleys are amazingly underutilized.... According to Experts, should there be optimal use of all these river valleys, the whole of Africa could be fed by Tanzania!!! Hii ina maana kwamba mfumuko wa bei utokanao na bei za mazao ungekuwa historia.

  Tuje kwenye sera yetu ya Kilimo Kwanza. Swali la msingi ni kwamba je sera hii italeta tija na ufanisi uliokusudiwa na ni endelevu? Ni mapema mno kutoa majibu ya swali hili, ila kuna vitu vuchache tunaweza kuvigusia. Matrekta yaliyoingizwa kutoka India(powetiller type) yameshathibitika kuwa na uwezo mdogo wa kumudu kutifua udongo wa sehemu nyingi za TZ(amazing failure at early stage). Pia bado sera nyingi za kilimo kwanza hazimnufaishi mkulima mdogo hata kidogo. Mfano kuna sera moja ambayo inataka kumuunganisha mkulima wa TZ na wawekezaji kutoka nje kwa sharti kwamba lazima Mtanzania huyo awe na ardhi yenye ukubwa wa hectare zisizopungua 500!!!

  Tuje swala la dizeli/petrol. Vichocheo vya bei ya petrol ni thamani ya Tshs. as compared with US$. Kwa jinsi Tshs inavyoshuka thamani, ndivyo importation ya petrol inavyozidi kuwa ghali. Another thing is ingawa petrol ni necessity kiuchumi lakini bado inatozwa kodi kubwa hapa TZ huku baadhi ya bidhaa/huduma ambazo hazima ulazima wa kusamehewa kodi ziki-enjoy hiyo privilege ya non-taxable!!! Endapo huduma/bidhaa hizi zingetozwa kodi, zingekuwa na 'compensating effect' with petrol ambayo kodi yake ingeweza kushushwa walau kidogo. Kwahiyo inflation inayotokana na kupanda kwa bei ya petrol ungedhibitiwa walau kwa kiasi fulani
   
 6. Pelosi

  Pelosi Member

  #6
  Dec 16, 2010
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  however, very few tanzanians understand political impact on economy let alone government policies and regulations!
   
 7. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2010
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Gavana kesho anazindua Banknotes mpya hii inakaa vipi?
   
 8. Zakayoshaudo

  Zakayoshaudo New Member

  #8
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Let me start by greeting you the Great Thinkers.
  It's my hope that everybody is doing well.

  After the past election, what is persisting in everybod's mind is how to build this nation in one way or another.
  I hope everybody if not many of us know what is going on in our country before and after the general election. Inflation is one of our economic's problem. Today a normal citizen sees life in an opposite eye and everybody is ending his/her claims to the government.
  Now if there was an inflation in a kikwete's government and now kikwete has turned again to the palace, does it reflect a continuous inflation? If so, what are the solution to this?

  Zakayo Ole-shaudo
  frm Arusha

  new member.
   
 9. Mporipori

  Mporipori Member

  #9
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salaam wana JF.,

  Tukia ngalia bei ya bidhaa nyingi Tanzania tokea mwaka 2005 zimepanda kwa kiasi kikubwa sana., nyingine mpaka kufikia mara mbili hadi tatu ya bei iliyokuwepo mwanzoni. Kwa mfano sukari imepanda kutoka sh. 600 mpaka 1800 kwa sasa 200%, mkate kutoka sh. 500 mpaka 1500 kwa sasa 200%, maharage sh.500-600 mpaka 1400 kwa sasa 180% huu ni mfano tu, zipo nyingi kama mchele, mafuta nk. Kwa nini kwa kipindi chote hicho mfumuko wa bei unaripotiwa kuwa asilimia 8%-9% tu wakati hali halisi haiko hivyo..? (ni 150%-200%). Nani anayepanga? Vigezo gani hivyo vinavyotumika visivyoakisi hali halisi ya manunuzi wanayokutana nayo wananchi..?
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Nakumbuka bei ya Petrol mwaka 2005 ilikuwa sh.800/- kwa lita sasa hivi ni sh 1,800 hadi 2,000/- kwa lita.
   
 11. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2011
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Serikali yetu inachakachua hata economic reports! Tanzania haijawahi kutawaliwa na serikali inayopenda "sifa za kijinga" kama hii! Ilichakachua matokeo ya urais ili rais ashinde kwa kishindo. Inachakachua repoti za uchumi ili ionekana inafanya kazi nzuri kukuza uchumi! Tatizo uchumi unaonekana katika maisha ya kila siku yawatanzania! Huwezi kusema inflation rate ni 8% wakati bei zimepanda kwa karibu 200%!!! Hizi zote ni sifa za kijinga kama mwimbaji mmoja wa Bongo Flavour alivyoimba... Sifa za kijinga! Ama kweli Tanzania has sunk so low like never before!
   
 12. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo calculation yao watakuwa wamekopa kwa NEC ya Lewis Makame. Hii nchi ina formula kibao za kupata majibu!
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Nauli za daladala na za kwenda mikoani nazo zinazidi kupanda!
   
 14. T

  The Future. Member

  #14
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh kazi ipo wakubwa.
   
 15. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  ni ya kupika bro.
   
 16. malipula

  malipula JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  uchumi unakuwa!!
   
 17. Mporipori

  Mporipori Member

  #17
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kama ni ya kupika kaka wamezidisha mno., nataka kujua ni basis gani wanatumia. Wadau tujuzeni..
   
 18. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Profesa Baregu alisema wazi kuwa unyonge wa watanzania ndio mtaji wa kisiasa wa CCM. Unayosema mkuu hayana chama, dini wala itikadi yoyote, yanatuumiza watanzania wote, lakini watu hawakuona haya.
   
 19. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #19
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,272
  Likes Received: 2,053
  Trophy Points: 280
  acha blah blah na uvivu wa kusoma! nenda kasome consumers price index utafafahamu tu au fuatilia oil crisis ambayo no universal crisis, ndio utafahamu kwanini tuna hali hiyo
   
 20. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ohooo, kalagha baho! Kuna inflation rates mbili hapa bongo. Ya kwanza ni ya wanasiasa na ya pili ni ya wasomi waliobobea kwenye masuala ya uchumi. Sasa inabidi uwe makini na nani anayeitaja. Ya wanasiasa imechakachuliwa ili kukidhi matakwa ya longolongo za majukwaani (siasa).
   
Loading...