Tanzania inatisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania inatisha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jamii01, Jan 30, 2011.

 1. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  nilikuwa safari mara nimerudi ghafla nimekuta kila kitu vulumai...Nchi kama haina serikali..kila mtu ni serikali..hari ngumu mzunguko wa pesa hakuna,mfumuko wa bei pia ..biashara holaaa..Maisha ya watanzania yanazidi kukatisha tamaa..
   
 2. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Mkuu hapa kila mtu ameota sharubu. Ni baada ya nchi kuodhiwa na matapeli na makanjanja. Msafiri ameitelekeza gari yake,anayejisikia anasogeza tu. Serikali ina kigugumizi cha kutenda na raia wamechukia,maisha yameota sugu na watu wananöngwa!
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Bora umerudi tushiriane kuingia kunji.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Na tunakoelekea ni kubaya zaidi endapo juhudi za kuondoa tatizo hazitachukuliwa mapema.
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Kumbe hata kura hukupiga?!
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Na hali itakuwa mbaya zaidi huko tunakoelekea kama mambo hayatawekwa vizuri sasa.
   
 7. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  The way I see ni kama dogo rz1 ndio anaongoza nchi, tutegemee nini na babake kasema toto likililia embe uclinyime! Teh teh...
   
 8. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Ebu wee baada ya kurudi,unawashaurije maelfu wahitimu wa vyuo wasio na ajira,kupanda kwa gharama za maisha,kuhusu wafanyakazi hewa akiwemo na bwn Dowans, kaka Iptl,kagoda na meremeta, vp kuhusu wazee wa East afrika, madini yetu,mafisadi na majambazi wa karamu, ahadi hewa za kampeni, kukosa maji na umeme?!, ajali za magari, walimu kukosa mishahara, polisi wetu kukatwa mishahara, polisi kulipwa laki3 na mbunge mil.12, kupigwa na kuua raia huko arusha, kufutwa mitihani ya kidato cha pili, matokeo mabovu ya wanetu wa fomu 4, kuhusika kwa maaskari ktk kuteka magari kama sekenke na mauaji ya kumpora dreva taxi arusha,wanachuo kukosa mikopo, wahadhiri wa UDOM kugoma, matamko ya taasisi za kidini kuilinda serikali mbovu, na zaidi chanzo kikuu cha yote,uchakachuaji wa kura 2010. Tusaidie mawazo mkuu kabla raia hawajadili usemi wa "nani amfunge paka kengere?"
   
 9. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  @jamii01,karibu nyumbani yule kiongozi wa nyumba ana slogan yake aliyenacho ataongezewa ,na asiyenacho hata kidogo anaporwa,gap kati ya matajiri na maskini limekuwa kubwa,vijana wetu wanaajira nyingi kweli we pita mabarabarani utawaona wanauza maji,korosho,cd,magazeti, na hata wengne vitoi vya kichina na kuna huyu mwekezaji azam anasaidia wengi kawapa vibaiskeli aisee ni balaaa...kama ndio una kagari kako ndugu muda wote ukiwa ktk mataa kuna watoto wamejiajiri wanaosha vioo kwa vidumu vyao ...mmmh tanzania inatisha...ajira sasa kwa wasomi ndo balaaa yani inatisha mana cku hzi kuna kitu inaitwa know who,kama humjui mtu umeumia,nenda maofisini dooh ni uozo....usiogope bwana jamii kwani hapa tz -usipokubali kuliwa huli,mkuu aliongea...anyways karibu kwa dr.. dr.. dr.. dr...dr.. mh rais jk.
   
 10. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Si mbali sana.... tujiandae kwa lolote!!!
   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  ...Hivi haya yanayotokea Misri na Tunisia yanatupa somo lolote?
   
 12. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Hii ndo bongo, a no man's land!
   
 13. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Tutavuna tulichokipanda wakati waa uchaguzi. Na bado
   
 14. s

  samvande2002 JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  karibu tz mkuu
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,276
  Likes Received: 19,427
  Trophy Points: 280
  inabidi tujimisri tu hapa
   
 16. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #16
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Halafu nashangaa mzunguko wa hela sijui unawapitia kina nani,yani mi haunifikii kabisa.
   
 17. Linamo

  Linamo JF-Expert Member

  #17
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 9,060
  Likes Received: 21,275
  Trophy Points: 280
  Serikali yetu imegeuka ya chama kimoja,no comment,kumeibuka mengi baada ya uchaguzi,askari kakabiziwa nchi.(SIRIKALI).
   
 18. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #18
  Jan 31, 2011
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Usimamizi wa Uchumi ni sifuri, huwezi kutoa sarafu mpya Januari ambayo itakaa miezi sita tu ( Mwezi July sarafu ya Africa Mashariki inaanza) Kama sio ubadhirifu na matumizi mabaya ya rasilimali ni nini?
   
 19. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #19
  Jan 31, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Waooo. Uchaguzi tumemaliza na nina iman ulifuatilia. Tukutane tena 2015
   
 20. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #20
  Jan 31, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  hivi kwa nini kikwete analazimisha kutawala ili hali hana uwezo na anajua hana uwezo na wasaidizi wake wanajua hana uwezo na ccm yenyewe inajua hana uwezo?.......,kuna njia moja tu imebaki nayo ni kuingia mitaani kushinikiza mabadiliko...tutakuwa mbuzi wa kafara mpaka lini?
   
Loading...