Tanzania inatisha kwa kweli... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania inatisha kwa kweli...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanjelwa, Sep 19, 2009.

 1. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2009
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hii ndiyo habari ya "njii hii". Alafu mseme,,,, oohhh, sijui CCM haifanyi kazi, mara mafisadi wameifiisi njiii..... mara ohhh. Shauri yenu!


  Washington, DC — The Corporate Council on Africa (CCA) announces that President Jakaya Mrisho Kikwete of the United Republic of Tanzania will attend the 7th Biennial U.S.–Africa Business Summit: Realizing the Investment Power of Africa, to be held at the Walter E. Washington Convention Center in Washington, D.C., September 29 – October 1, 2009.

  “President Kikwete’s leadership has been crucial to Tanzania’s success,” said Stephen Hayes, president and CEO of CCA. “With a continued eye toward the development of the nation, Tanzania will be in a position to grow rapidly as the world economy emerges from the current downturn.” According to a December 2008 report by the Economist, Tanzania, in 2009, will have the world’s 9th fastest growing economy, just behind China and ahead of India.

  President Kikwete will be joined by Tanzania’s Minister for Agriculture Food Security and Cooperatives Stepen Masato Wasira, who will participate in the Heads of State and African Leaders Roundtable on Agribusiness Development. President Kikwete will also be joined by Minister of Trade Mary Nagu, who will partake in the trade plenary Navigating Bilateral, Regional, and Global Trade Agreements in Turbulent Times.

  The Tanzanian economy has seen average real GDP growth of six percent over the past seven years as the government continues to privatize key industries. The government has taken steps to promote foreign investment and create a welcoming environment for capital including an overhaul of the tax code, licensing foreign banks, and establishing an investment promotion center. Tanzania is the third-largest producer of gold in Africa and has vast amounts of natural resources including diamonds, coal, iron ore, uranium, nickel, chrome, tin, platinum, coltan, niobium and other minerals. Commercial production of natural gas commenced in 2004.

  Sector ministers will also be represented from South Africa; Rwanda; Nigeria; Kenya; Senegal; Ghana; Uganda; Malawi; Mozambique; Namibia; Sudan; and Liberia. “For companies interested in operating in Africa, interacting with these ministers and government officials is necessary for understanding how to conduct business in their respective countries,” said Hayes.

  For more information and to register for the 7th Biennial U.S. – Africa Business Summit, visit: www.africacncl.org. All working media must be credentialed to cover the summit. Please open the following link: 09 Summit Media Credential Form and submit media form to: summit@africacncl.org.
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mwanjelwa,
  I take it Stephen Hayes knows more about Tanzania than the Tanzanians themselves.
   
 3. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,081
  Likes Received: 1,728
  Trophy Points: 280
  Mwanjelwa,
  You deserve your opinion but sorry,
  The whole talk is about Tanzania, a country through the eyes of an exploiter!
  Not through the Tanzanian eyes! Like free sexy girls' relationships with womanizers, exploiters are very strategic; they invite 'easy-going' heads of states and governments just for easing their entries into exploiting your countries. At this juncture exploiters will always praise your 'country's robust economic performance'.

  If haven't, please try to interpret the stated success stories vis-a-vis the eyes of Tanzania known to Tanzanians; 2.5% gold contribution to GDP, increasing under five mortality rate, but above all the country where a GONGO, TASAF is giving US$6 monthly stipends to poor families in Dodoma and Coast regions meant to fight poverty! What a shame, conceptually and practically!

  ndugu yangu, the whole story is an empty shell worthless to praise about!
  Bagambila balinsi.....
   
  Last edited: Sep 19, 2009
 4. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Mwanjelwa acha kuchukuliwa akili yako kirahisi. Hao wanaosifia ndo wale wanaoitwa wawekezaji. Ulitegemea waseme nini? wewe hujui kuwa makampuni ya kibepari yanataka rasilimali zetu? sasa kwanini wasimsifie anayewapa kula?

  Ninaamini kweli sisi ni wadanganyika, akili zetu zinaweza kuchezewa na wazungu kadri wanavyotaka, sijui nani katuloga sisi!
   
 5. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ingawa ni vibaya kuhisi lakini huenda Mwanjelwa ni kati ya wale wanaofaidi matunda ya nchi ambayo wanasiasa pekee wanafaidika huku wengine tukipata shida ya maisha.
   
 6. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #6
  Sep 19, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  JK wamemsifia na kwa namna hiyo ataendeleza umatonya na kutumia vibaya fedha kidogo zilizopo kwa kuendekeza safari za nje. Kama anataka kuitangaza nchi mabalozi husika wana kazi gani? Pia kama tukifanya bidii wenyewe na kukuza uchumi wetu kwa kutumia raslimali na wataalamu waliopo effectively hiyo peke yake si itaitangaza nchi? Mbona hatuwaoni wachina wakija TZ "kuitangaza China"? Na hao wawekezaji tangu lini wakawa na uchungu na nchi isiyokuwa ya kwao? Kweli ni aibu kwenda nje ya nchi kuwatafuta wezi wa rasilimali zetu!
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  very true,
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Kama Tanzania kule vijijini wangekuwa wanaisifu serikali kama washington it could make sense. Hata Mobutu na Savimbi walikuwa wanasifiwa na Wamarekani kama hoja ni sifa za Marekani
   
 9. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Makes a good reading naomba waandishi waandike kwenye magazeti ya kiswahili kiu, uwazi amani etc kuwa kufikia mwisho wa mwaka huu Tanzania tutakuwa nyuma kidogo ya China na mbele ya India kwa maendeleo, hiyo ni michoso sio habari kabisa.

  The story deserves the respect of a dustbin in any credible newsroom in its material facts. However the so called investors may be very much interested in the highlighted portions of land, minerals etc.

  Mkutano mwema, karibu ukoloni, kwa heri uhuru.
   
 10. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Habari ndiyo hii hii. Ni uchumu kukua tu na si maendeleo mbele ya India au nyuma kidogo ya China.
   
 11. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hizi sifa za kijinga ndo zinatupeleka pabaya nakumbuka wakati tunafundishwa internatinal treaties kuna mbinu wanatumia wakati wa mikataba, yaani watu unapokwenda kujadili mambo muhimu wazungu ni wajanja sana moja wanaweza kukuweka wewe kua mwenyekiti wa kikao then unakua huwezi jadili kwa kina kuhusu nchi yako tena, pili yaani wanaweza kuanza na mambo marahisi then ikifikia wakati wa ishu ngumu wabongo tushachoka unasinzia wakati watu wanakubaliana...tatu kabla ya kikao cha kesho usiku wake mnakaribishwa kwenye party hapo mnagida kesho hangover hujui ujadili nn!! yaani nnachotka kusema hakuna sifa unayopewa na wazungu kama hawafaidiki...ukikomaaa nao tuu wanbadili story unakua ka Mugabe!!
   
 12. Ngorunde

  Ngorunde JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2009
  Joined: Nov 17, 2006
  Messages: 1,122
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Mwanjelwa unajua kitu kinachoitwa "kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa" ?
   
 13. M

  Magezi JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  jamani ukiacha south africa, libya, marais wote wa africa waliobaki wakiitwa USA hakuna wa kukataa kwani wao ni watumishi tu wa marekani na UK. Anayejifanya jeuri lazima afe kama Laurent kabila ambaye alibishana na Bill clinton kwenye simu na akawatangazia wananchi wake.

  Msione mfano Rwanda na hayo mnayoita eti ni maendeleo ya haraka, issue ni kwamba watu wengi hawaelewi siasa za dunia hii. Marekani imeifadhili serikali ya Rwanda kwa pesa nyingi mno, na Maj. Gen. Paul Kagame ni kijana wa USA na silaha zote walizotumia RPF zilitolewa na marekani, zikipitia Uganda na tanzania wakati ule wa 1993-1994.

  Kwa hiyo kikwete hana jeuri ya kukataa kuwafanyia kazi wamarekani kwa sababu asipofanya hivyo watamwambia kama walivyo mwambia Mwai kibaki kuwa "asipo hakikisha anashinda uchaguzi na kulinda maslahi ya marekani hawata wajibika na usalama wake". Hili huwa ni tisho kwa rais yeyote wa africa.
   
 14. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,896
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Wandugu there is something watu hamjaelewa hapa. Kukua kwa uchumi it does not mean hali ya maisha imebadilika to that significancy. Tuchukue huu mfano. Unayo biashara A and B.

  Biashara A imekuwa na rasilimali za mwaka jana milion 60 mwisho wa mwaka huu rasilimali zimefikia Milion 65. Hii inamaanisha imekuwa kwa asilimia 8%

  Biashara B imekuwa na rasilimali mwisho wa mwaka jana laki 2, mwisho wa mwaka huu ikawa na laki 4. Huu ni ukuaji wa asilimia 100%

  Sasa ingawa ukuaji wa bishara A ni kidogo kuliko biashara B lakini biashara A ndo ina manufaa zaidi kuliko biashara B. What it means biashara A ilisha kuwa huko zamani na iko mbali sana yaani ina rasilimali (total assets) za milion 65 which is very good ilhali biashara B yaani ndo wanaanza hawana kitu kabisa.

  So ktk hii mada haimaanishi TZ iko vizuri hata kidogo. Bado tuko nyuma sana kimaendeleo. Hiyo growth well iko tu lakini it does not mean anything. Ni kama unapanda mlima wenye kimo cha mita 500 na wewe ndo unaanza kupanda toka 0 to 50 metres na ukatumia 5 minutes ilahali kuna jamaa yupo juu metre 300 na akafika 350 kwa kutumia 15 minutes. Yupi utasema yuko kwenye hali nzuri? Definately ni yule anayekaribia kileleni.

  So that growth mentioned it depend on what stage the country is on ndo inakuwa na make sence.

  So kupimo cha economic growth rate lazima kiendane na other measurements za economy kama GDP, GNP, parcapita income, employment, inflation, BoP etc etc ndo utaweza jua kama tanzania iko vizuri au la. To me kama tanzania ingekuwa ni private kampuni, it was supposed to be liquidated and closed down long time agoo. Iko katika hali mbaya.
   
  Last edited: Sep 23, 2009
 15. Companero

  Companero Platinum Member

  #15
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Jamani mwacheni JK aendelee kutimiza Ahadi hii aliyoitoa kwa 'mwembwe nyingi' Bungeni 30 Disemba 2005:

  [...]

  Uchumi Unaopaa

  Mheshimiwa Spika:

  Baada ya mafanikio ya Awamu ya Tatu, haitarajiwi kuwa Serikali ya Awamu ya Nne italegeza kamba na kupuuza misingi iliyotuletea mafanikio tunayojivunia. Najua mengi yamesemwa na watu wanaodai wanamfahamu Jakaya Mrisho Kikwete na jinsi atakavyolegeza mambo. Napenda kuwahakikishieni kuwa watu hao wamepotea sana.

  [...]
   
Loading...