Tanzania inapotenda ifanye marejeo ya Viongozi waliopita

Pius J. Kiwarya Lema

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
1,097
566
Ukisilikiza Viongozi unabakia Kuombea Tanzania!
Sioni Vision !

Awamu ya tano Nawapa fomula waitumie :

"Unaotatua tatizo lolote usiangalie mwenzako amekosea wapi ,Bali angalia amefanyajefanyaje"?
Utafanikiwa !

Kama Tukiendelea hivi ni Miaka Mingine mitano ya kupoteza !!

Kwa maoni yangu Ni mshabiki tu ndiye anayeweza kushabikia kinachoendelea
 
Ni mpaka pale ccm itakapo toka madarakani, zaidi ya hapo mazingaombwe yapo kazini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom