MAKANJAMNA
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,138
- 1,510
Nilikuwa napitia huko mtandaoni, nikakuta hii page.. inonyesha kuwa Tanzania inapendwa zaidi na watu wa nje wanaoitembelea kuliko nchi nyingine Africa Mashariki.. hasa hasa inaonekana ni kutokana na watu wake kuwa wazuri
jisomee uone mwenyewe.. though ni ya siku nyingi kidogo
Kenya vs. Tanzania - NOT doing a safari
jisomee uone mwenyewe.. though ni ya siku nyingi kidogo
Kenya vs. Tanzania - NOT doing a safari