Tanzania inaongoza kwa chokochoko za kidini Afrika Mashariki na kati. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania inaongoza kwa chokochoko za kidini Afrika Mashariki na kati.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KALABASH, Sep 29, 2011.

 1. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Si jambo la kubuni tena kwamba Tanzania inaongoza kwa chokochoko za kidini ukanda huu wa Arika mashariki na kati. Kila kukicha kuna jipya kuhusu matatizo ya kidini yanayoelekea kuivuruga jamii. Kibaya zaidi ni kuwa chama tawala na serikali iliyoko madarakani inakumbatia kama si kuichochea hali hii. Wana Jf; Watanzania tunakolekea kwema?
   
 2. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,388
  Trophy Points: 280
  Mnapochagua viongozi vilaza ambao hawawezi kutatua shida za wananchi matokeo yake ndio hayo.. watatumia dini ili kuwagawa wananchi ili mradi tu waendelee kutawala na kukamilisha malengo yao
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Usiseme Tanzania sema Tanganyika.

  Hii ni moja ya kovu mliloachiwa na wakoloni wa kiingereza.

  Kutokana na mfumo wa wazungu waliotumia kuitawala Kenya, Tanganyika na Uganda walitumia divide and rule. Kwa upande wa Kenya na Uganda kutokana na uchache wa makabila katika nchi hizo walitumia ukabila. Jambo ambalo mpaka leo Kenya na Uganda kuna Ukabila sana.

  Tanganyika kulikuwa na makabila mengi sana zaidi ya 70. Hivyo hapo walitumia udini katika kuitawala. yaani dini moja kujiona superior kwa kila kitu kuanzia uongozi, usomi na kujiona ni first citizen kuliko ningine. Wa Tanganyika mnajaribu kulificha hilo na sasa ndio linawaumbua.

  Bila kufanya mjadala wa kitaifa kujadili hilo na kuweka mazingira yaliyo sawa kwa dini hizi zote mbili lazima kifo kiwaumbue. Kwani kila dini ina wasomi wa kutosha sasa na wanajua umuhimu wao kwa jamii.

  Poleni sana.

  zanzibar hakuna tatizo. more then 99% ni waislam. na hatushangai kuona rais anachagua mufti na kadhi.
   
 4. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nakubaliana na wewe mkuu. Kutokana na ulivyoeleza hapo ilibidi niseme Tanganyika maana huko visiwani chokochoko hizi hazipo. Hata hivyo sina uhakika kama kuna inchi kwa sasa inayoitwa Tanganyika.
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Barubaru,
  udini upo tanganyika au znz? Kwa vitendo znz inataka kufutilia mbali hiyo 1% ya dini nyingine...mnachoma makanisa, mnachoma biashara zao......umeshauona huo upuuzi tanganyika?? Never!!

  halafu uache unyonge na wewe, kila wakati unakimbilia kwenye oooh najifanya mmesoma, mnataka kutuongoza....ugonjwa wa unyonge. Unatafuta huruma kwa kujaribu kuonyesha kwamba mmeonewa.
   
 6. u

  utantambua JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Si dalili njema hata kidogo hii. Mzaha mzaha...
   
 7. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Nani anaanzisha?? Ukisema Tanzania fafanua ni wapi chanzo...Na Sababu ninini???
   
 8. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  Matatizo haya yako duniani kote, si Tanzania peke yake, Yako Africa Nzima, Ulaya, America, Arabia na Asia.
  na ni tatizo ndugu na Ubaguzi wa Rangi, Kabila, nk na ni zao la hulka ovu ya ubinafsi tuliyo nayo wanaadamu,
  Ubinafsi ni hulka namba moja ya shetani, inazaa matatizo mengine mengi tu kama, wizi, uongo, uzinzi,
  uoga, nk.

  Tanzania ina umri wa miaka 50 tu, ka nchi kachanga kabisa, ndio kwaanza tunapevuka, tunachokiita
  amani na utulivu uliokuwapo huko nyuma kina fanana kabisa kabisa na tabia nzuri na za kupendeza
  walizonazo watoto, ambao baada ya kuchipuka na kukua, hulka ya kibinaadamu nayo inakua na kukomaa
  kisha inaanza kujionyesha wazi wazi, wizi, uongo,uzinzi, ulevi, matusi n.k

  Tanzania ndo tunakua sasa, na speed hii haitorudi nyuma, tunakoelekea ni kuovu zaidi, yaani kwa
  namna ambavyo mazingira yetu yanaaribika kila siku zinavyokwenda na kutusababisha ukame na njaa
  ndio na uzuri wetu wa kitabia kama taifa unavyoharibika, lakini ni kwa sababu umri nao unakwenda
  na hivyo hulka yetu halisi inaanza kujionyesha.

  Zinakuja siku ambazo majirani zetu watasema, msiwe kama watanzania, taifa ovu na hatari kabisa katika
  ukanda wetu wa africa mashariki.

  Thanks, Mungu anampango kabambe wa kuingilia kati na kurescue the situation.
   
 9. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nimefurahia mchango wako Sangarara. Hata hivyo point yangu na msisitizo wangu upo katika kutaka kujua ni kwa nini Tanzania inaongoza ukilinganisha na nchi nyingine Afrika Mashariki na ya Kati.
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mkuu, nisome hapo juu. Barubaru mchochezii tu huyu! Znz ndo wahuni kabisa wale...angalia wanavyochoma makanisa na biashara za watu wa dini nyingine!
   
 11. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  Kalabash
  Sababu ni kwamba,
  1. Hatujawahi kuchafuka (Mtoto asipochafuka atajifunzaje)
  2. Hatujawahi jikata na wembe, ndo maana tunauchezea (mtoto akililia wembe mpe).

  Ukinijibu Maswali haya mawili ntakuonyesha sababu.
  Baada ya kula tunda la mti wa katikati kwenye Bustani ya Edeni, Mungu aliwauliza Adamu na Hawa,
  kwamba wamefanya nini? alimuuliza kwanza Hawa kisha akamuuliza Adamu.

  1. Hawa Alijibu vipi?
  2. Adamu Alijibu vipi?

  Then nitakuonyesha ni kwa nini tunacheza na hatari ambayo ni very obvious, very clear,
  kwamba madhara yake ni makubwa sana, I am crying now.
   
 12. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  Tatizo waislam hatuna uongozi imara,hivyo kuachwa nyuma ktk huduma za kijamii kama elimu,afya.ni bomu ambalo wakati wowote litalipuka
   
 13. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  kweli, huu urojo, mbatata na mishikaki ina madhara
   
 14. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama Tanzania inaongoza kwa udini ni aina fulani ya chokochoko, midahalo, ubishi na mijadala. Lakini nchi nyingine za Afrika Mashariki kama Kenya, Burundi na Rwanda zinauwana kwa mapanga kutoka na chuki za ajabu za ukabila, ukikuyu, ujaluo, utusi na uhutu.

  Mhh Watanzania wanajua chokochoko za midomo tu , lakini kukatana mapanga sio kazi yao. Baada ya uchaguzi wa 2007 nchini Kenya tuliona jinsi Wakenya walivyochinjana kama kuku. Tanzania hatuna hayo na hata kama yapo ni asilimia sifuri. Pamoja na chokochoko za kidini Tanzania lakini tunajivunia amani na hatuna ukatili wa kuuana kinyama kama nchi nyingine za Afrika Mashariki.
   
 15. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  Na ni viongozi wa dini moja wapo..ndio wanajifanya wana kiherehere.
   
 16. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  Kila la kheri
   
 17. M

  MyTz JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hawajui wakifanyacho...
  ni yule jamaa aliyepiga picha na 50 cent ndio anawatumia...
  mkulu ndio yuko mstari wa mbele kupandikiza mbegu ya udini...
   
 18. Nkwesa Makambo

  Nkwesa Makambo JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2011
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 4,765
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Zanzibar sio secular state,hivyo idadi ya waislam inategemea sana nguvu ya dola,ukiruhusu uhuru wa kuabudu utakuwa umeruhusu uhuru wa wakristo kuihubiri kweli ili kweli iwaweke huru,hivyo kwa namna ambavyo uislam unalindwa kwa silaha hamna namna ambavyo nchi za kiislam zinaweza kufikia malengo ya kielemu kama unavyotaka kutuaminisha kuwa kwa sasa kiwango cha elimu kati ya waislam na wakristo ni sawa,labda tuambie kwa uwazi ukizungumzia kiwango cha elimu kati ya waislam na wakristo unaanglia vigezo gani ? Je ? idadi ya waislam na wakristo wliofika kidato cha 4 ? je ni idadi ya wakristo na waislam ukulinganisha idadi jumla yao wenye Stashahada au shahada ? kama ni kuangalia kwamba kuna Maprofessor wa kiislam kama vile walivyo maprofessor wa kikristo huo ukawa ndiyo usawa basi uko sahihi.
   
 19. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Wenye chokochoko ni Waislam.
   
 20. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu fahamu kuwa huwezi kuificha historia. Niliyokupa ni historia na hizo ni madhara ya mfumo wa ukoloni huko Tanganyika.
  Je umeshasikia Kenya au Uganda kuna Udini? Jiulize kwanini Tanganyika?

  japo inauma lakini fahamu kuwa hata mbuyu ulianza kama mchicha na hilo ni kama pembe la ng'ombe halifichiki.

  Nakupa pole sana
   
Loading...