Tanzania Inamilikiwa Na Nani?

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Tangu Nyerere aondoke madarakani, viongozi wetu waliomfuata wamekuwa hawana uchungu na nchi yao. Mwinyi alifungua kopo kwa kusema kila mtu ruksa kula mezani kwake. Baad ya mwinyi akaja mkapa na mikataba tata na ya ajabu. Hapo ndio wakina Rostam Aziz, Edward Lowasssa wakapata Mwanya. Leo ni Kikwete ambaye ameuza nchi kwa Waarabu na wageni wengineo. Kikwete Mwenyewe ameingiza familia yake na rafiki zake wa karibu katika umilikaji wa nchi. Kila kashfa Kikwete yumo hau ameusika kwa namna moja au nyingine. Kikwete amekuwa akiitumia nchi kama mali yake binfasi.

Marafiki zake na ndugu wamekuwa wakipewa vyeo kama pipi ilhali mtanzania mwenyewe anazidi kudidimia kwenye wimbi la umasikini. Wakina Makamba waamiliki viwanjwa vikubwa kupita maelezo nchini. Makamba ni kama anamiliki robo ya Kigamboni aambako anawafanyisha vijana wa JKT akidai kwamba ni practical training, kwenye shamba lake. Wanafanya mambo makubwa ya ajabu bila yeyote kuwagusa.Ridhiwani anamiliki nyumba ya Tsh. Billioni 4,000,000,000 Jamani watanzania,Kazi ya maana hana, hizi hela Ridhiwani kazitoa wapi. huyu jamaa kila ufisadi mkubwa yumo? Je nchi yetu inamilikwa na nani, masultani au Watanzania?
 
CCM Sio Watanzania ni Wakimbizi. Hakuna Mtanzania Asie na Upendo na TAIFA Lake au Wananchi Kama CCM. Watanzani ni Wakati wa Kuwaondoa CCM Kupitia Katiba Mpya, Huu Ndio Muda Wetu na Hakuna Kurudi Nyuma. Maandamano Yandaliwe Kupinga DOWANS na EPA na Wizi wa Kila Aina.
 
Viongozi wa tanzania wako on transit- nadhani wanamaisha sehumu nyingine zaidi ya tanzania
 
Ridhiwani anamiliki nyumba ya Tsh. Billioni 4,000,000,000 Jamani watanzania,Kazi ya maana hana, hizi hela Ridhiwani kazitoa wapi. huyu jamaa kila ufisadi mkubwa yumo?

nafahamu Ridhiwani ni kijana mdogo tu kwa umri sitaki kudhani wala kuamini kwamba yu katika kila ufisadi maana ufisadi umeanza siku nyingi tu katika nchi yetu..tangu enzi za mwalimu mpaka leo hii....nakumbuka tukiwa wadogo wazee wetu walikuwa wakiogopa hata picha tu ya mwalimu...hivi kuna dhambi kubwa kama ile ya kuviza uhuru wa watu kufikiri kama ilivyokuwa enzi za mwalimu????

wazee kama Edwin Mtei walionja joto ya jiwe...natamani walau wangekuwa na ujasiri wa kuja hapa na kutueleza yale ya kutoka moyoni...ingawa hatukusomeshwa katika historia lakini baade tulikuja kufahamu mchango wa Marehemu Kambona kudhibiti maasi ya jeshi mwaka 1964 pale mwalimu na simba wa vita walipoenda kufichwa huko mji mwema....

nani anajua kwa hakika alipopotelea Abdallah Kassim Hanga...mtu aliyewahi kuwa waziri katika serikali ya mwalimu???

tafsiri pana ya ufisadi inajumuisha hiyo mifano hapo juu..ni swali la kujiuliza kama Ridhiwani naye yumo?????

Je nchi yetu inamilikwa na nani, masultani au Watanzania?

Jibu...inategemea uko upande gani.......

kama ni mzalendo utasema ni wananchi..

kama ni mkereketwa utasema ni CCM maana chama bado kimeshika hatamu

kuhusu masultani..sidhani..nafikiri hii ni phobia ya siku nyingi na kama mpaka leo great thinker anaweza kuwa na phobia ya kijinga kama hii...its a shame...
 
INZI ONE karisishwa tabia za kifisadi ....hapa si swala kwamba hakuwepo wakati ufisadi unaanza bali..swala yeye anaonekana vipi katika jamii kwa sasa......Amerithi ......UFISADI!!!!!!!!!!1
 
Tangu Nyerere aondoke madarakani, viongozi wetu waliomfuata wamekuwa hawana uchungu na nchi yao. Mwinyi alifungua kopo kwa kusema kila mtu ruksa kula mezani kwake. Baad ya mwinyi akaja mkapa na mikataba tata na ya ajabu. Hapo ndio wakina Rostam Aziz, Edward Lowasssa wakapata Mwanya. Leo ni Kikwete ambaye ameuza nchi kwa Waarabu na wageni wengineo. Kikwete Mwenyewe ameingiza familia yake na rafiki zake wa karibu katika umilikaji wa nchi. Kila kashfa Kikwete yumo hau ameusika kwa namna moja au nyingine. Kikwete amekuwa akiitumia nchi kama mali yake binfasi.

Marafiki zake na ndugu wamekuwa wakipewa vyeo kama pipi ilhali mtanzania mwenyewe anazidi kudidimia kwenye wimbi la umasikini. Wakina Makamba waamiliki viwanjwa vikubwa kupita maelezo nchini. Makamba ni kama anamiliki robo ya Kigamboni aambako anawafanyisha vijana wa JKT akidai kwamba ni practical training, kwenye shamba lake. Wanafanya mambo makubwa ya ajabu bila yeyote kuwagusa.Ridhiwani anamiliki nyumba ya Tsh. Billioni 4,000,000,000 Jamani watanzania,Kazi ya maana hana, hizi hela Ridhiwani kazitoa wapi. huyu jamaa kila ufisadi mkubwa yumo? Je nchi yetu inamilikwa na nani, masultani au Watanzania?

Be more specific.... kumiliki viwanja kupita maelezo maana yake nini? anamiliki wapi?
hiyo nyumba ya ridhiwani ipo wapi? shahidisha please

mix with yours
 
Be more specific.... kumiliki viwanja kupita maelezo maana yake nini? anamiliki wapi?
hiyo nyumba ya ridhiwani ipo wapi? shahidisha please

mix with yours

mzee mbona una jazba sana..... au upwani wako ndio sababu.........nahisi we niwakikwete au inzi one mwanyewe.........
 
INZI ONE karisishwa tabia za kifisadi ....hapa si swala kwamba hakuwepo wakati ufisadi unaanza bali..swala yeye anaonekana vipi katika jamii kwa sasa......Amerithi ......UFISADI!!!!!!!!!!1

Oooh hahahahah! haya majina bana ah!
 
Back
Top Bottom