Domo Kaya
JF-Expert Member
- May 29, 2007
- 531
- 60
Jamani nchi yetu inakwenda wapi? Mahospitalini karibia mwezi wa sita sasa huduma ya chanjo kwa watoto hakuna. Mimi nina mtoto mchanga tumeshazunguka hospitali karibia zote hapa jijini na chanjo hakuna.
Nadhani na Watanzania wenzangu mmeshakutana na tatizo hili. Je hawa watoto wa awamu ya KIKWETE wataishi vipi bila ya hizo chanjo? Je Serikali hela za walipa kodi inazipeleka wapi hadi huduma muhimu kama chanjo kwa watoto wachanga inakosekana tena kwa muda mrefu kama hivi?
Au hela zote ndio zinagalamia safari za bwana mkubwa nnje (Ulaya)? Tujiulize jamani, Watanzania, je tutafika kweli?