UYOGAUYOGA
Member
- Jul 4, 2019
- 40
- 9
- Thread starter
- #21
NIMEPENDA UCHAMBUZI WAKO LAKINI HATA VIPI HATUWEZI TUKAONDOKA KWENYE MAJADILIANO YA MIPANGO (PLAN) TUKITUMIA STRESS SAHIHI NA KUTAMBUA SHIDA YANGU YA MIPANGO MIJI NI YAKO HIZI NDIYO STRESS SAHIHI ZA MWANADANU WA KAFRIKADunia iliyoendelea imeendelea kwa kufuata kanuni za maendeleo ya kisayansi na teknolojia.
1. Bila kuzitambua changamoto hutapata majibu ya wapi unakwama.
2. Hoja ya maisha ndiyo maono sahihi ya mikakati na mipango kazi. Si muonekano wa mabarabara kwa ajili ya wenye nagari.
3. Tumetafsiri elimu kuwa ni vyeti badala ya kuwezesha kukabili changamoto za maisha na kujipatia maendeleo.
Tusishangae kukutwa pale pale tulipoachwa wakati wenzetu wakirudi kujichotea rasilimali zetu.
NYUMBA YA MIPANGO MIJI (BARABARA NI RAIS FULL ZEGE KAMA MWENDOKASI)
KAZI NZURI INAYOENDANA NA MIPANGO MIJI BILA KUCHAGUA BOSS
GARI NITANUNUA