Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 92,270
- 111,782
Habari wana bodi,
Kuna matukio ambayo yamenifanya ni kiri kwamba Chama Cha Mapinduzi kinapendwa kuliko chama cha mapinduzi kuwapenda watanzania kama ifuatavyo hapa chini:-
Ø Uhakiki usioisha kwa wafanyakazi huku vyama vya wafanyakazi vikiwa kimya na wafanyakazi wake- makofi.
Ø Hakuna ajira zinazotelewa kisa kupisha uhakiki, Mkulu yeye anateua kila siku sijui wanaoteuliwa wana tumia payroll gani? Makofi na vigelegele kutoka kwa wananchi.
Ø Usipokula utakufa tu(M/kiti) – Shangwe na vigelegele
Ø Hakuna uhamisho kupisha uhakiki huku katibu mkuu akihamisha sijui hao wanaenda kutumia payroll gani- makofi na vigelegele kutoka kwa wananchi.
Ø Watu wanastaafu, kuacha kazi, kufukuzwa na upungufu wa watumishi kwa kila sekta ukionekana lakini hakuna replacement yoyote – makofi.
Ø Watu wataishi kama mashetani badala ya malaika - vigelegele kutoka kwa wananchi.
Ø Mikopo kwa wanafunzi kusua sua – makofi
Ø Kunyoosha nchi huku na wewe umekuwa waziri kwenye baraza lilelile kwa miaka 20 - makofi na vigelegele kutoka kwa wananchi.
Ø Tetemeko halikuletwa na serikali - shangwe na vigelegele kutoka kwa wananchi.
Ø Uhakiki wa vyeti kumbe ni kwa watu wa chini huku mtoto mpendwa akidunda – makofi
Ø Makato kutoka 8% hadi 15% kwa mshahara uleule - vigelegele kutoka kwa wananchi.
Ø Kuteua mtu na baba yake bungeni (serikali yangu haitakuwa na upendeleo- M/kiti)- makofi.
Ø Watu kufunga biashara zao sababu ya hali ngumu(walizoea dili- M/kiti) - makofi na vigelegele kutoka kwa wananchi.
Ø Wafanyakazi nawapenda sana huku wakiwekwa ndani mara kwa mara na wateule – makofi.
Ø Nchi ilikuwa imeoza(M/kiti) utadhani kulikuwa na chama kingine kilikuwa kinaongoza – makofi.
Ø Nitaonyesha hati yangu ya mshahara mpaka leo kimya(M/kiti) - makofi
Ø Kushinda kata 21/22 kwa hali hii hii- makofi na vigelegele kutoka kwa wananchi.
Ø Kipindi kile endelea kusafiri unatafuta pesa kwa ajili ya miradi mbali mbali, baada tu ya kuingia ni marufuku kusafiri nje ya nchi(M/kiti) - vigelegele kutoka kwa wananchi.
Kwa sababu hizo hapo juu kuanzia leo naomba members wote wa JF tukiunge mkono Chama Cha Mapinduzi kwa nguvu zetu zote, sisi kinatuhitaji kuliko chenyewe kutuhitaji.