Tanzania inajipima mabavu dhidi ya Coronavirus; yupi atakuwa wa kwanza kusalimu amri?

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
266
1,000
(Huu ni muhtasari wa tafsiri (isiyo rasmi sana) ya Oped iliyochapishwa na gazeti la The Citizen)

Katika mtanange wa kupata chanjo dhidi ya Coronavirus unaoendelea duniani, Tanzania inaweza kujikuta katika wakati mgumu kumudu gharama, na pia ikajikuta nyuma kabisa ya foleni ya dunia kupata chanjo hiyo. Je, hali hii inapaswa kutupa wasiwasi? Mwandishi anahoji.

Dhana inayoaminiwa kuhusu ugonjwa wa Covid-19 nchini Tanzania ni kwamba nchi ipo salama kwa miujiza ya Mungu, na kwamba virusi hivyo ni jambo la kufikirika tu.

Anaeleza kuwa kutokuwa na data rasmi juu ya viwango vya maambukizi tangu mwishoni mwa mwezi Aprili 2020, kunafanya ushahidi wowote unaokinzana na dhana ya kutokuwepo na Covid19 nchini, kuwa wa muhimu.

Anagusia pia kuhusu Waziri mpya wa Afya ambaye hivi karibuni alikiri uwepo wa virusi wakati wa kutoa mwongozo mpya na bei za upimaji. Lakini pia, minong’ono toka kwa wataalam wa tiba za afya na shuhuda za jamaa na marafiki ambao wamepoteza wapendwa wao kutokana na changamoto za upumuaji, kuwa ni ishara ya hali kutokuwa shwari.

Aidha, anaeleza kuwa ni kutokuwepo kwa taarifa za wazi kunakowafanya Watanzania kutokuwa na shaka kuhusu Covid19 ilihali majirani – Kenya na Uganda – wakiwa bado wana hofu.

Katika kipindi cha mwisho wa mwaka, mwandishi anaeleza, Zanzibar ilishuhudia watalii wengi wakimiminika visiwani humo ili kufurahia sherehe za kumaliza mwaka lakini pia kukwepa wimbi la pili na tatu la Covid19 katika nchi zao. Anasema alishuhudia ndege tatu kubwa za shirika la Azur Air likimimina watalii visiwani humo – wengi wao kutoka Urusi – hivyo kumpelekea kudhani kuwa hata kama Tanzania ilidhibiti ugonjwa huo mapema mwezi Aprili na Mei, ni dhahiri ungekuwa umerudi tena.

Je, Tanzania itakuwa ya mwisho katika foleni ya kupata chanjo?

Anaeleza kuhusu chanjo kadhaa ambazo zimeidhinishwa, au zinakaribia kuidhinishwa. Tatu zikiwa zinanatawala vichwa vya habari huko Magharibi (Pfizer-BioNTech, Oxford / AstraZeneca na Moderna), wakati zingine zikwa zimeidhinishwa kutumiwa nchini Urusi (Sputnik V), China (Sinopharm, Sinovac Biotech), India (Covaxin) na kwingineko.

Anasema, kwakuwa Covid19 inachukuliwa kama jambo lisilohitaji kupewa umuhimu hapa nchini, basi huenda kusiwe na sababu kwa mamlaka za Tanzania kuona uhitaji wa kupata chanjo kwa ajili ya raia wake na pia kupunguza athari mbaya za kiuchumi.

Hata hivyo anahoji kuwa, ikiwa tayari chanjo hazipatikani kwa idadi inayohitajika, kwanini Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) au Umoja wa Afrika (AU), ambao hivi karibuni ulipata dozi milioni 270, utoe kipaumbele kwa Watanzania milioni 60 ambao mamlaka za nchi yao zilipuuza ushauri wao wa namna ya kukabiliana na Covid19?

Kudhihirisha hili, anatoa mfano kuwa tayari dozi bilioni 2-3 za mwanzo zimewekewa oda na nchi tajiri. Canada, kwa mfano, tayari imejipatia asilimia 500 ya mahitaji yake, huku kukiwa hakuna nchi yeyote masikini/inayoendelea ambayo imeanza kampeni ya chanjo hadi kufikia katikati ya Januari 2021.

Mwandishi anahoji: Je, Serikali ya Tanzania itabadili maamuzi? Anasema, labda bado kuna nafasi ya Tanzania kuweka wazi idadi ya kesi za Covid19 na kisha kukaribisha msaada wa kimataifa. Kuna mpango wa kununua na kusambaza mabilioni ya chanjo za coronavirus katika nchi zinazoendelea unaotekelezwa na WHO na wadau wengine. Mwandishi anaamini fursa kwa Tanzania bado ipo.

Anaongeza kuwa, Suala la Tanzania kutokukubali kuwa ugonjwa upo kunaweza kuleta athari kubwa zaidi za kiuchumi. Kama nchi, inaweza kujikutia ikipoteza imani zaidi kwa mataifa yanayoleta watalii wengi, hatimaye kusababisha kufungwa mipaka dhidi ya wasafiri wanaoenda au kutoka Tanzania.

Anamalizia kwa kusema kuwa, kutilia shaka uwepo wa coronavirus Tanzania pamoja na kuficha taarifa kunaweza kuwa kumesababisha uwepo wa idadi kubwa ya watu wasiyo na hofu dhidi ya ugonjwa huo na hivyo kuongeza kasi ya utalii mwishoni mwa mwaka wa 2020. Ingawa hiyo ni moja ya faida za muda mfupi zilizopatikana kupitia dhana hiyo, bado virusi hivi na mabadiliko yake yanaonekana kuwa adui mjanja sana na mwenye nguvu ya kudumu kwenye mapambano kwa muda mrefu.

Hivyo, katika shindano hili linalolenga kumpata mbabe zaidi kati ya Taifa na Kirusi, huenda Taifa likanyoosha mikono kukiri kushindwa, na ni hivi karibuni tu.

=========

Tanzania plays chicken with Covid-19; who will blink first?​

By Aidan Eyakuze

In the ongoing global scramble for vaccines against the coronavirus, Tanzania may well struggle to afford the coronavirus vaccine and may find itself at the very back of the global queue. Should we worry?

Do we really need the vaccine?
Perhaps not, if it is true that Covid-19 has barely registered in Tanzania. The preferred official narrative about coronavirus in Tanzania is one where the country enjoys a divinely-ordained miraculous exceptionalism, where the virus is a hypothetical, almost conspiratorial conjecture at best, or a minor inconvenience at worst. We have had no official data on infection rates since late April 2020, the absence of which lends this implausible narrative a strong veneer of truth.

Ironically, the same lack of official data means every other piece of evidence to the contrary gains importance. The new Minister for Health recently acknowledged the presence of the virus when issuing new guidelines and prices for testing. We hear whispered insights from medical professionals too, and circumstantial evidence of friends and colleagues losing loved ones after sudden respiratory distress which proves fatal. Why did a school isolate an entire class for a week in November when the pupils presented flu-like symptoms? Why did a traveller test negative just before leaving Tanzania, then positive shortly after arriving at their destination?

Tanzanians seem blissfully relaxed about the pandemic. Our Kenyan and Ugandan neighbours are much more worried about it. Again, the lack of open data contributes to this sense of security. So, it would seem, are the many thousands of tourists who swarmed Zanzibar to enjoy the year-end holidays away from the second and third coronavirus waves in their own countries. I spotted three large Azur Air charter planes Zanzibar in late November, and friends tell me of hotels bursting at the seams with (mostly Russian) tourists, and beer running out on the islands in December and January. Even if Tanzania had eliminated coronavirus back in April or May, surely it would have been reintroduced since then.

Or will we be at the back of the line?
Which brings us back to the vaccine. As of January 2021, a number of vaccines have been approved, or are nearing approval across the world. Three dominate the headlines in the west (Pfizer-BioNTech, Oxford/AstraZeneca and Moderna), while others have been approved for use in Russia (Sputnik V), China (Sinopharm, Sinovac Biotech), India (Covaxin) and elsewhere.
If Covid-19 is treated as a national irrelevance here there would seem to be no urgent reason for Tanzania’s authorities to rush to obtain the vaccine to inoculate citizens, or to mitigate any negative economic consequences.

Indeed, why would the World Health Organisation (WHO) or the African Union, which recently secured 270 million doses, prioritise 60 million Tanzanians when it comes to future vaccination campaigns, when the authorities so publicly dismissed both the threat and their advice?

Vaccines are already in short supply and will likely remain so for most of 2021. The first 2-3 billion doses off the production lines have been booked by rich countries. Canada, for example, has secured 500 percent of its requirements. No developing country has started a vaccination campaign as of mid-January 2021. By denying the pandemic, Tanzania may well have put itself at the back of a very long waiting list.

Will the government change tack at any point? Perhaps there is still time for Tanzania to publish case numbers and to invite international assistance. GAVI, a global vaccine alliance, together with the WHO and others, has established COVAX, to purchase and distribute billions of coronavirus vaccine doses across the developing world. The opportunity is there.

Otherwise, Tanzania’s status as a Covid-sceptic may have serious economic consequences beyond the pandemic itself. We could face the prospect of many countries – particularly those that have brought the most tourist dollars in the past – blocking travel to and from Tanzania. If Tanzania’s informational intransigence leaves us without an effective vaccination strategy, it is not hard to imagine many countries identifying Tanzania as an unknown quantity and perhaps a hotbed of the virus. Travel advisories may follow, and potential tourists would find it hard to get travel insurance. In a cruel irony, the facts may matter less than the prevailing impression about the incidence of coronavirus in Tanzania.

Tanzania’s coronavirus scepticism, data suppression and contrarian openness produced an unfrightened population and a tourism boom at the end of 2020. We may have reaped the short-term rewards, but the virus and its mutations is proving to be a very wily enemy with staying power. The battery of vaccines are a core part of humanity’s arsenal against it.

Despite Tanzania’s official nonchalance, we will surely need to be vaccinated sooner or later, if only to maintain a normal welcome in the global community.

So, in this deadly game of chicken between a country and a virus, we may have to blink first, and soon.

Source: The Citizen
 
SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
2,752
2,000
Hello everyone in Dsm

Today is the 17th of January 2021

There has been an increase in admissions into health facilities in the past week

I would like to advise you to maintain precautions as follows:

1. Avoid unnecessary gatherings
2. Wear face masks in public places
3. Adhere to hand hygeine and social distancing practises

Thank you

Please share this message and bring about awareness.

Dr. Murtaza Shk. Ayman - Saifee Hospital DSM
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
10,965
2,000
(Huu ni muhtasari wa tafsiri (isiyo rasmi sana) ya Oped iliyochapishwa na gazeti la The Citizen)

Katika mtanange wa kupata chanjo dhidi ya Coronavirus unaoendelea duniani, Tanzania inaweza kujikuta katika wakati mgumu kumudu gharama, na pia ikajikuta nyuma kabisa ya foleni ya dunia kupata chanjo hiyo. Je, hali hii inapaswa kutupa wasiwasi? Mwandishi anahoji.

Dhana inayoaminiwa kuhusu ugonjwa wa Covid-19 nchini Tanzania ni kwamba nchi imependelewa na miujiza ya Mungu na kwamba virusi hivyo ni jambo la kufikirika tu.

Anaeleza kuwa kutokuwa na data rasmi juu ya viwango vya maambukizi tangu mwishoni mwa mwezi Aprili 2020, kunafanya ushahidi wowote unaokinzana na dhana ya kutokuwepo na Covid 19 nchini, kuwa wa muhimu.

Anagusia pia kuhusu Waziri mpya wa Afya ambaye hivi karibuni alikiri uwepo wa virusi wakati wa kutoa mwongozo mpya na bei za upimaji. Lakini pia, minong’ono toka kwa wataalam wa tiba za afya na shuhuda za jamaa na marafiki ambao wamepoteza wapendwa wao kutokana na changamoto za upumuaji, kuwa ni ishara ya hali kutokuwa shwari.

Aidha, anaeleza kuwa kutokuwepo na taarifa za wazi kumewafanya Watanzania kutokuwa na shaka kuhusu Covid19 ilihali majirani – Kenya na Uganda – wakiwa bado wana hofu.

Katika kipindi cha mwisho wa mwaka, Zanzibar ilishuhudia watalii wengi wakimiminika visiwani humo kwa minajili ya kufurahia sherehe za kumaliza mwaka na kukwepa wimbi la pili na tatu la Covid19 katika nchi zao. Anasema alishuhudia ndege tatu kubwa za shirika la Azur Air likimimina watalii visiwani humo – wengi wao kutoka Urusi – hivyo kumpelekea kudhani kuwa hata kama Tanzania ilidhibiti ugonjwa huo mapema mwezi Aprili na Mei, ni dhahiri ungekuwa umerudi tena.

Je, Tanzania itakuwa ya mwisho katika foleni ya kupata chanjo?

Anaeleza kuhusu chanjo kadhaa ambazo zimeidhinishwa, au zinakaribia kuidhinishwa ulimwenguni. Tatu zikiwa zinanatawala vichwa vya habari huko Magharibi (Pfizer-BioNTech, Oxford / AstraZeneca na Moderna), wakati zingine zikwa zimeidhinishwa kutumiwa nchini Urusi (Sputnik V), China (Sinopharm, Sinovac Biotech), India (Covaxin) na kwingineko.

Anasema, ikiwa Covid-19 inachukuliwa kama jambo lisilo la umuhimu hapa nchini, basi inaonekana kuwa hakutokuwa na sababu za dharura kwa mamlaka za Tanzania kutaka kupata chanjo kwa ajili ya raia wake na kupunguza athari zozote mbaya za kiuchumi.

Anahoji kuwa, ikiwa tayari chanjo hazipatikani kwa wingi, kwanini Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) au Umoja wa Afrika (AU), ambao hivi karibuni ulipata dozi milioni 270, utoe kipaumbele kwa Watanzania milioni 60 ambao mamlaka za nchi yao zilipuuza ushauri wao wa namna ya kukabiliana na Covid19?

Kuthibitisha hili, anasema tayari dozi bilioni 2-3 za mwanzo zimewekewa oda na nchi tajiri. Canada, kwa mfano, tayari imejipatia asilimia 500 ya mahitaji yake, huku kukiwa hakuna nchi yeyote masikini/inayoendelea ambayo imeanza kampeni ya chanjo hadi kufikia katikati ya Januari 2021.

Mwandishi anahoji: Je, Serikali ya Tanzania itabadili maamuzi? Anasema, labda bado kuna nafasi ya Tanzania kuchapisha idadi ya kesi za Covid19 na kisha kukaribisha msaada wa kimataifa. Anaeleza zaidi kuwa, GAVI, mpango wa chanjo duniani, pamoja na WHO na wengine, wameanzisha mpango wa kununua na kusambaza mabilioni ya chanjo za coronavirus katika nchi zinazoendelea. Mwandishi anaamini fursa kwa Tanzania bado ipo.

Anaongeza kuwa, Suala la Tanzania kutokukubali kuwa ugonjwa upo kunaweza kuleta athari kubwa zaidi za kiuchumi. Kama nchi, inaweza kujikutia katika hali ya kupoteza imani zaidi kwa mataifa yanayoleta watalii wengi, hivyo kufunga mipaka dhidi ya wasafiri wanaoenda au kutoka Tanzania.

Anamalizia kwa kusema kuwa, kutilia shaka uwepo wa coronavirus Tanzania pamoja na kuficha taarifa kunaweza kuwa kumesababisha uwepo wa idadi kubwa ya watu wasiyo na hofu dhidi ya ugonjwa huo na hivyo kuongeza kasi ya utalii mwishoni mwa mwaka wa 2020. Ingawa imepatikana faida ya muda mfupi kupitia dhana hiyo, lakini virusi hivi na mabadiliko yake yanaonekana kuwa adui mjanja sana na mwenye nguvu ya kubaki kwenye pambano kwa muda mrefu.

Hivyo, katika shindano hili linalolenga kumpata mbabe zaidi kati ya Taifa na Kirusi, ni dhahiri Taifa litanyoosha mikono kukiri kushindwa, na ni hivi karibuni tu.

=========

Tanzania plays chicken with Covid-19; who will blink first?​

By Aidan Eyakuze

In the ongoing global scramble for vaccines against the coronavirus, Tanzania may well struggle to afford the coronavirus vaccine and may find itself at the very back of the global queue. Should we worry?

Do we really need the vaccine?
Perhaps not, if it is true that Covid-19 has barely registered in Tanzania. The preferred official narrative about coronavirus in Tanzania is one where the country enjoys a divinely-ordained miraculous exceptionalism, where the virus is a hypothetical, almost conspiratorial conjecture at best, or a minor inconvenience at worst. We have had no official data on infection rates since late April 2020, the absence of which lends this implausible narrative a strong veneer of truth.

Ironically, the same lack of official data means every other piece of evidence to the contrary gains importance. The new Minister for Health recently acknowledged the presence of the virus when issuing new guidelines and prices for testing. We hear whispered insights from medical professionals too, and circumstantial evidence of friends and colleagues losing loved ones after sudden respiratory distress which proves fatal. Why did a school isolate an entire class for a week in November when the pupils presented flu-like symptoms? Why did a traveller test negative just before leaving Tanzania, then positive shortly after arriving at their destination?

Tanzanians seem blissfully relaxed about the pandemic. Our Kenyan and Ugandan neighbours are much more worried about it. Again, the lack of open data contributes to this sense of security. So, it would seem, are the many thousands of tourists who swarmed Zanzibar to enjoy the year-end holidays away from the second and third coronavirus waves in their own countries. I spotted three large Azur Air charter planes Zanzibar in late November, and friends tell me of hotels bursting at the seams with (mostly Russian) tourists, and beer running out on the islands in December and January. Even if Tanzania had eliminated coronavirus back in April or May, surely it would have been reintroduced since then.

Or will we be at the back of the line?
Which brings us back to the vaccine. As of January 2021, a number of vaccines have been approved, or are nearing approval across the world. Three dominate the headlines in the west (Pfizer-BioNTech, Oxford/AstraZeneca and Moderna), while others have been approved for use in Russia (Sputnik V), China (Sinopharm, Sinovac Biotech), India (Covaxin) and elsewhere.
If Covid-19 is treated as a national irrelevance here there would seem to be no urgent reason for Tanzania’s authorities to rush to obtain the vaccine to inoculate citizens, or to mitigate any negative economic consequences.

Indeed, why would the World Health Organisation (WHO) or the African Union, which recently secured 270 million doses, prioritise 60 million Tanzanians when it comes to future vaccination campaigns, when the authorities so publicly dismissed both the threat and their advice?

Vaccines are already in short supply and will likely remain so for most of 2021. The first 2-3 billion doses off the production lines have been booked by rich countries. Canada, for example, has secured 500 percent of its requirements. No developing country has started a vaccination campaign as of mid-January 2021. By denying the pandemic, Tanzania may well have put itself at the back of a very long waiting list.

Will the government change tack at any point? Perhaps there is still time for Tanzania to publish case numbers and to invite international assistance. GAVI, a global vaccine alliance, together with the WHO and others, has established COVAX, to purchase and distribute billions of coronavirus vaccine doses across the developing world. The opportunity is there.

Otherwise, Tanzania’s status as a Covid-sceptic may have serious economic consequences beyond the pandemic itself. We could face the prospect of many countries – particularly those that have brought the most tourist dollars in the past – blocking travel to and from Tanzania. If Tanzania’s informational intransigence leaves us without an effective vaccination strategy, it is not hard to imagine many countries identifying Tanzania as an unknown quantity and perhaps a hotbed of the virus. Travel advisories may follow, and potential tourists would find it hard to get travel insurance. In a cruel irony, the facts may matter less than the prevailing impression about the incidence of coronavirus in Tanzania.

Tanzania’s coronavirus scepticism, data suppression and contrarian openness produced an unfrightened population and a tourism boom at the end of 2020. We may have reaped the short-term rewards, but the virus and its mutations is proving to be a very wily enemy with staying power. The battery of vaccines are a core part of humanity’s arsenal against it.

Despite Tanzania’s official nonchalance, we will surely need to be vaccinated sooner or later, if only to maintain a normal welcome in the global community.

So, in this deadly game of chicken between a country and a virus, we may have to blink first, and soon.

Source: The Citizen
 
CHARMILTON

JF-Expert Member
May 30, 2015
7,071
2,000
Mtaa ninaoishi wiki haishi bila kusikia misiba walau miwili.

Binafsi sijui sababu ya vifo lakini vimeongezeka sana tofauti na miaka miwili iliyopita.
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
2,756
2,000
Kabla ya kuhangaika na chanjo tumuulize kwanza Profesa Kabudi kuhusu mrejesho wa ile dawa ya Madagascar.
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
31,291
2,000
161052408.jpg
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
31,291
2,000
"Hivyo, katika shindano hili linalolenga kumpata mbabe zaidi kati ya Taifa na Kirusi, ni dhahiri Taifa litanyoosha mikono kukiri kushindwa, na ni hivi karibuni tu"
 
Heijah

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,206
2,000
Chanjo itakuja kuwa kama yellow fever kwamba ili usafiri lazima uwe na card ya chanjo sasa kuna wale hawana mipango ya kusafiri itakuwaje?

Nadhani itakuja kulazimishwa kama ilivyokuja kulazimishwa chanjo za watoto. Kuna nchi kama UAE wameanza ikiwa hujapata chanzo basi lazima kila wiki upime kwa gharama zako mwenyewe na kama umeshapata chanjo uko free kwenda job. Nadhani huko ndio tunakoenda hatuwezi kuwa wabishi corona ipo hilo halina ubishi na chanjo tutapigwa.
 
ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
953
1,000
Hello everyone in Dsm

Today is the 17th of January 2021

There has been an increase in admissions into health facilities in the past week

I would like to advise you to maintain precautions as follows:

1. Avoid unnecessary gatherings
2. Wear face masks in public places
3. Adhere to hand hygeine and social distancing practises

Thank you

Please share this message and bring about awareness.

Dr. Murtaza Shk. Ayman - Saifee Hospital DSM

Daktari unafahamu kuwa uko chini ya wizara ?
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
10,965
2,000
Chanjo itakuja kuwa kama yellow fever kwamba ili usafiri lazima uwe na card ya chanjo sasa kuna wale hawana mipango ya kusafiri itakuwaje? nadhani itakuja kulazimishwa kama ilivyokuja kulazimishwa chanjo za watoto. Kuna nchi kama UAE wameanza ikiwa hujapata chanzo basi lazima kila wiki upime kwa gharama zako mwenyewe na kama umeshapata chanjo uko free kwenda job. Nadhani huko ndio tunakoenda hatuwezi kuwa wabishi corona ipo hilo halina ubishi na chanjo tutapigwa.

Waliobuni hii biashara ya corona lazima watakua wanamuangalia rais wetu John Pombe Magufuli kwa jicho la husda sana.

Au nakosea ndugu yangu Sumu ?
 
chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Dec 4, 2013
8,816
2,000
Chanjo itakuja kuwa kama yellow fever kwamba ili usafiri lazima uwe na card ya chanjo sasa kuna wale hawana mipango ya kusafiri itakuwaje? nadhani itakuja kulazimishwa kama ilivyokuja kulazimishwa chanjo za watoto. Kuna nchi kama UAE wameanza ikiwa hujapata chanzo basi lazima kila wiki upime kwa gharama zako mwenyewe na kama umeshapata chanjo uko free kwenda job. Nadhani huko ndio tunakoenda hatuwezi kuwa wabishi corona ipo hilo halina ubishi na chanjo tutapigwa.

Tatizo la Tanzania corona imefanywa kisiasa CCM wanasema corona hamna watu wasichukue tahadhari, chadema wanasema corona ipo watu wachukue tahadhari,

Hamna kitu kibaya Kama jambo serious lifanywe kisiasa.

HII ITATUCOST TANZANIA KIUCHUMI, NA VIFO KUONGEZEKA.

nashangaa mtu anasema corona hamna wakati huko hospital ma Dr wenyewe wanaogopa kukaa karibu na mgonjwa ukiwa kwenye folen mtu akikohoa anatengwa na kuhudumiwa haraka.

Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Corona yenyewe imeletwa kisiasa mkuu
 
Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
8,707
2,000
Dhana inayoaminiwa kuhusu ugonjwa wa Covid-19 nchini Tanzania ni kwamba nchi ipo salama kwa miujiza ya Mungu, na kwamba virusi hivyo ni jambo la kufikirika tu.
ucheni unafiki na uongo, hakuna mtu aliyesema virusi vya corona ni kitu ca kufikirika..... nadhani Rais na watanzania tunaamini hii kitu ni real ndio maana tukaamua kumuachia Mungu maana yeye ndio mjuzi wa kila kitu.
Anaeleza kuhusu chanjo kadhaa ambazo zimeidhinishwa, au zinakaribia kuidhinishwa. Tatu zikiwa zinanatawala vichwa vya habari huko Magharibi (Pfizer-BioNTech, Oxford / AstraZeneca na Moderna), wakati zingine zikwa zimeidhinishwa kutumiwa nchini Urusi (Sputnik V), China (Sinopharm, Sinovac Biotech), India (Covaxin) na kwingineko.
Kuhusu chanjo najua serikali ILIWEKA MAMBO CLEAR KABISA KWAMBA HAINA MPANGO WA KUAGIZA HIZO CHANJO INSTEAD INAENDELEA NA UTAFIT WA LOCAL MEDICS,

Ahsante.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom