mbona marafiki zake nyerere kama kina warioba butiku profesa shivji dr salim na wengine wako kimya? au wamesafiri nje ya nchi?Mkuu hayo ni mawazo yako lakini sisi ndio kwanza tunafikiria kujitoa UN na ICC. EAC yenyewe tumeivunja!Muungano wetu ndio hivyo tena unalega lega . Soon tutabaki historia ta iliyokuwa Tanzania. Huu ndio Utawala wa Magufuli