Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 18,917
- 31,157
..fyatu aliyeamini corona haiwezi kumuua.
Fyatu aliyejenga kijiji chake na kukifanya Wilaya na mipango ilikuwa kuifanya Mkoa mkiongeza mitano tena ingekuwa Jiji.
Fyatu serious duh 🙄
..fyatu aliyeamini corona haiwezi kumuua.
Kwani alikojenga sio TZFyatu aliyejenga kijiji chake na kukifanya Wilaya na mipango ilikuwa kuifanya Mkoa mkiongeza mitano tena ingekuwa Jiji.
Fyatu serious duh 🙄
10 Years later... Rais Magufuli ni raisi katili nchi haina furaha 😂😂😂 kummmae zenu Watanzania! Uliyotaka yote ameyafanya bila kupepesa macho ila mnamuita raisi diktetarais fyatu huyu awe na ujasiri wa kutimua na kupitia upya mikataba ya wawekezaji wanaoneemesha makwao kwa kutumia rasilimali zetu na kutuacha hohe hahe! asile meza moja na mafisadi, ambaye yuko tayari na uwezo wa kujiuliza ni kwa nini pamoja na utajiri wote tuliobarikiwa na mungu bado tumeendelea kuwa masikini, mwenye utayari wa kutoa upofu huu uliotugubika...................nani sasa?! ..........labda mm
Heheheh Magufuli alikuwa chaguo la nafsi yako😅😅😅 ila we sio miongoni mwa mlioanza kumuita hafai sio wewe kweliHatutaki kiongozi ambaye anachekacheka kila wakati ata wakati wa hali mbaya!
Tupo wengi mkuu, hazina mvuto, unaweza sikiliiza halafu ukaichambuaaa ukakosa mnyumbuliko wa kile kililengwa!!Mimi sikuhizi sifatilii hotuba za mama yenu Yezebeli
Fyatu ni mwenye wazimu ama?Tunahitaji Rais mwenye maono ya kuthubutu kama Obama, mbishi na mbwatukaji kama Ahmedinajad, asiyetishiwa na wawekezaji kama Hugo Chavez, mwenye kuzungukwa na watu wenye uwezo kama Lula na mwenye mvuto kwa watu wa kawaida kama Zuma. Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kidogo (au sana kutegemea na kipimo) ambaye hatopiga magoti kwa kila mtu anayejiita "mwekezaji" na ambaye hatozungukwa na wenye kuimba sifa zake.
Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kama Mrema!!!!!!
mmmh 2009 wakati wa?????Hapo Mzee anasema hivyo mwaka 2009 wakati wa Mkapa. Akaja Kikwete wakasema naye legelege.
Sasa tulivyompata waliyemtaka
huyu @ Aspirin mbona anazo nyingi sana za kumtukana hayati. Usiwaamini kabisa bavicha kwenye siasa za hapa TanzaniaNatamani nione post zake za miaka hii😂😂😂
Wabongo leo unamdiss kama sio weweMimi napendekeza Mtikila awe rais. Waziri mkuu awe Lyatonga Mrema, Makamu wa Rais awe Magufuli. Halafu tumwombe Mungu amfufue Sokoine awe waziri wa mambo ya ndani. Serikali hiyo iwe ya miezi sita tu. Labda nchi yetu takatifu itapata habari yake.
Mungu alijibu maombi yenu afu mkaanza harakati feki tena kumwita diktetarais fyatu huyu awe na ujasiri wa kutimua na kupitia upya mikataba ya wawekezaji wanaoneemesha makwao kwa kutumia rasilimali zetu na kutuacha hohe hahe! asile meza moja na mafisadi, ambaye yuko tayari na uwezo wa kujiuliza ni kwa nini pamoja na utajiri wote tuliobarikiwa na mungu bado tumeendelea kuwa masikini, mwenye utayari wa kutoa upofu huu uliotugubika...................nani sasa?! ..........labda mm
Watanzania wana unafiki mpaka shetani anakaa kitako tena kwa utulivu na kikombe chake cha kahawa, kalamu na karatasi anajifunza unafiki kwa watanzania...10 Years later... Rais Magufuli ni raisi katili nchi haina furaha kummmae zenu Watanzania! Uliyotaka yote ameyafanya bila kupepesa macho ila mnamuita raisi dikteta
Wanafiki walioshindikana hakikaWatanzania wana unafiki mpaka shetani anakaa kitako tena kwa utulivu na kikombe chake cha kahawa, kalamu na karatasi anajifunza unafiki kwa watanzania...
Kuna yule bibi kikongwe wa twita yeye yuko kwenye rekodi kabisa ya video akihojiwa enzi za Kikwete akisema Tz inahitaji rais wa namna hiyo halafu baadae kikaanza harakati za kumuita dikteta.10 Years later... Rais Magufuli ni raisi katili nchi haina furaha 😂😂😂 kummmae zenu Watanzania! Uliyotaka yote ameyafanya bila kupepesa macho ila mnamuita raisi dikteta
Wasenegal kama hao ni kuwachapa makofi tuKuna yule bibi kikongwe wa twita yeye yuko kwenye rekodi kabisa ya video akihojiwa enzi za Kikwete akisema Tz inahitaji rais wa namna hiyo halafu baadae kikaanza harakati za kumuita dikteta.
Tunahitaji Raisi kama China,Malaysia,India,Vietnam,Hongkong,Philippines,sio jitu linalowaza kuua wananchi kisa tu wapo upinzani,au wamelipingaTunahitaji Rais mwenye maono ya kuthubutu kama Obama, mbishi na mbwatukaji kama Ahmedinajad, asiyetishiwa na wawekezaji kama Hugo Chavez, mwenye kuzungukwa na watu wenye uwezo kama Lula na mwenye mvuto kwa watu wa kawaida kama Zuma. Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kidogo (au sana kutegemea na kipimo) ambaye hatopiga magoti kwa kila mtu anayejiita "mwekezaji" na ambaye hatozungukwa na wenye kuimba sifa zake.
Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kama Mrema!!!!!!