😀Tunaomba maoni yako kwa sasa mkuu
😀Tunaomba maoni yako kwa sasa mkuu
😀 waitingMkuu tunaomba comment yako.!???
Kamanda vipi? Ogopa Mungu na technologyMi napendekeza Mtikila awe rais,. Waziri mkuu awe Lyatonga Mrema, Makamu wa Rais awe Magufuli. Afu tumwombe Mungu amfufue Sokoine awe waziri wa mambo ya ndani. Serikali hiyo iwe ya miezi sita tu. Labda nchi yetu takatifu itapata habari yake.
Fyatu!? Ila siyo kama JK😜!Tunahitaji Rais mwenye maono ya kuthubutu kama Obama, mbishi na mbwatukaji kama Ahmedinajad, asiyetishiwa na wawekezaji kama Hugo Chavez, mwenye kuzungukwa na watu wenye uwezo kama Lula na mwenye mvuto kwa watu wa kawaida kama Zuma. Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kidogo (au sana kutegemea na kipimo) ambaye hatopiga magoti kwa kila mtu anayejiita "mwekezaji" na ambaye hatozungukwa na wenye kuimba sifa zake.
Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kama Mrema!!!!!!

Vipi ndoto yangu haijatimia sio? Bado naendelea kumwomba Mungu...Kamanda vipi? Ogopa Mungu na technology
Na wamelia kweli kweli, Ngoja Mama amalize tutapata fyatu zaidiDuh miaka mitano tu watu wanalia...
Tunahitaji Rais mwenye maono ya kuthubutu kama Obama, mbishi na mbwatukaji kama Ahmedinajad, asiyetishiwa na wawekezaji kama Hugo Chavez, mwenye kuzungukwa na watu wenye uwezo kama Lula na mwenye mvuto kwa watu wa kawaida kama Zuma. Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kidogo (au sana kutegemea na kipimo) ambaye hatopiga magoti kwa kila mtu anayejiita "mwekezaji" na ambaye hatozungukwa na wenye kuimba sifa zake.
Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kama Mrema!!!!!!
Mjeshi mmoja kajitokeza...ma cry babies kibao wamejianika hadharani...Binadamu kiumbe complex sana....Kila akipata hiki atadai kinyume chake...jeshi lishike nchi kwa miaka 5! Ule wa kwanza tu nchi imeshanyooka!
Pata picha tungefanikiwa kumwezesha miaka 15....Tungekuwa tumenyooka kama mstari wa ruler....Duh miaka mitano tu watu wanalia...
Natamani nione post zake za miaka hii😂😂😂Kamanda vipi? Ogopa Mungu na technology
Hebu peleka ujinga huko. Tulishakuwa na "rais" fyatu na matokeo yake tumeyaona...Tunahitaji Rais mwenye maono ya kuthubutu kama Obama, mbishi na mbwatukaji kama Ahmedinajad, asiyetishiwa na wawekezaji kama Hugo Chavez, mwenye kuzungukwa na watu wenye uwezo kama Lula na mwenye mvuto kwa watu wa kawaida kama Zuma. Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kidogo (au sana kutegemea na kipimo) ambaye hatopiga magoti kwa kila mtu anayejiita "mwekezaji" na ambaye hatozungukwa na wenye kuimba sifa zake.
Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kama Mrema!!!!!!
Samahani shemeji. Niliingia choo cha kike kimakosa. Kauchungu saa nyingine kanakufanya ukose uvumilivu.