Mbogo nyeusi
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 233
- 540
Msitake kumfananisha mama na mwenda zake,ni watu wawili tofauti,na Wana mitazamo tofauti,na hata kijinsia ni tofauti,mwenda zake aliishia kutumbua alio wachagua na mwisho akajitumbua mwenyewe kwa ukaidi wake,mama asisemwe anajua anacho kifanya,nampongeza mama kwa huu muda mfupi tu naona maisha yangu yameanza kubadilika na kuwa na furaha na amani moyoni iliyo kuwa imetoweka kwa miaka mitano ya mwenda zake