Tanzania inafanya sherehe kubwa wakati haijalipa mishahara

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Habari zenu,leo ni mwezi mpya na niwamwisho kwa mwaka huu.Nashangaa kuiona serikali inafanya sherehe kubwa za kitaifa zakutumia pesa nyingi wakati watumishi wake hawajapata mishahara mpaka sasa.Leo wapo lindi,tar 9 mwezi huu tena kunasherehe.Hivi tuwaeleweje,unajua mnakera mnatuvunja moyo.Labda ndiyo mnazitumia katika shighuli zenu!Kama mmeishiwa tuambieni,.
 
Mkuu pole sana,naomba uanishe wafanyakazi wote au wale wa ngazi za chini kama Walimu na Madaktari
 
Back
Top Bottom