Tanzania inaangamizwa na watu wachache....tupo wapi wazalendo?? Mbona tunaangalia tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania inaangamizwa na watu wachache....tupo wapi wazalendo?? Mbona tunaangalia tu!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by tamy, Oct 3, 2010.

 1. t

  tamy New Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi nikiwa kama mtanzania nina uchungu sana na inchi yangu. Nikiangalia hizi campen naona kichefuchefu kabisa! Ccm....(chukua chako mapema) ni uozo mtupu. Kweli huu uongozi wa kupeana tutafika kweli?? Yaani wananchi wenzangu baada ya kwenda mbele nchi inarudishwa nyuma miaka 20?? Mwl nyerere asingeweza kuangalia mambo kama haya yanayotendeka sasa ivi!! Buriani mwl ninamkumbuka sana his wisdome was beyound our understanding! Sasa ninaelewa kwanini alimchagua mkapa kuwa rais badala ya jk....haya mambo ya uongozi wa kiushkaji hayatatupeleka poipote ila ni kwenye shimo!! Jamani wasomi mko wapi?? Wazalendo mko wapi?? Kweli mnakubali kunyamaza tu??.....siwezi kusoma issa michuzi blog tena!! Kibaraka wa ccm tu!! Mpuuzi mkubwa!! Halafu ukituma maoni ya kutoifagilia ccm issa michuzi haweki kwenye blog!! Watanzania wenzangu wenye hekima msipoteze muda wenu wa kusoma uchenzi wa issa michuzi na ujinga wa ccm. We are tired!! Is about time we all wake up and demand justice!!!
   
Loading...