Tanzania ina wajibu mkubwa wa kukipigania Kiswahili kuliko ukanda wote wa Afrika Mashariki.

Gentleman P

JF-Expert Member
May 23, 2018
370
453
Wana JF,

Mimi kama mdau wa Elimu, nina mengi ya kutolea maoni, kwa usiku huu naomba nijikite kwenye Lugha ya Kiswahili.

Lugha hii (kwa msiojua) imekuwa ikigombaniwa Utambulisho wake, yaani mkenya au mganda au mburundi akiwa Ulaya ataongea Kiswahili na kukinasibu kwamba Origin yake ni Nchi anayotokea.

Ironically, nimeshuhudia Diaspora wengi wakiwa busy na lugha za kigeni kuliko Kiswahili.

Niutaarifu Umma wa Tanzania kwamba, tuna lugha adhimu na ambayo ni very universal. Kiswahil kimewahi kutengenezewa Movie yake 'Lion King".

Naomba tuishikie bango hii lugha, angalieni kina Taraj, kina Bekham...wanaheshimu Kiswahili. Naturally ni lugha pekee binadamu yeyote anaweza kujifunza ndani ya masaa 2.

Wizara ya Utalii ilione hili. Angalieni hata Kombe la Dunia Urusi 43% linatangazwa kwa Kiswahili.

Naomba idara husika ziwekeze katika kutangaza lugha ya Kiswahili.

Angalia hata Google, maneno kma "jambo", " habari", "malaika"... huyashindi kwenye SEO.

Asanteni.
 
Tuanze kwa kuhahakisha tuna walimu waliofaulu vizuri kiswahili wawafundishe watoto wetu. Hii habari ya kutaka kuandika "ana mpenzi" wewe unaandika "hana mpenzi" wapi na wapi. Hati mpenzi wake ni naniliuu. Kiswahili shida na kingereza shida tutaponea wapi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom