Elections 2010 Tanzania ina utawala bora sana.

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
Me sikutaka kuamini kua nilisikia vizuriniliposikia BBC leo asubuhi kua eti Tanzania ni nchi kinara kwa utawala bora Afrika ya mashariki. Ikabidi nitege sikio vizuri, lakini ndipo iliposisitizwa kua taarifa au sifa hzo zimetoka katika taasisi ya moibrahim (si tunaijua? ile inayotoaga tuzo za utawala bora kwa nchi za afrika) hyohyo.

Ikabidi nijulize, ni kweli au kuna kitu hapa?? nikakosa jibu. Ila nikapata konklushen kua, labda ktk nchi za afrika ya mashariki TZ ndo yenye utawala bora ikilinganishwa na nyingine lakini sio kwamba utawala wake ni bora. manake rushwaa, ufisadi, ukandamizwaji wa haki za binadam, kutokuepo mgawanyo mzuri wa rasilimali na kipato cha nchi, n.k ni mambo yaliyopo nchini kwa kiasi kikubwa.

SASA HOWCOMES MOIBRAHIM WASEME HVYO??

Chadema+ Slaa; solution to all these.
 
Back
Top Bottom