Tanzania ina ubavu wa kudhibiti kuyumba kwa uchumi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ina ubavu wa kudhibiti kuyumba kwa uchumi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mgoyangi, Mar 13, 2009.

 1. Mgoyangi

  Mgoyangi Senior Member

  #1
  Mar 13, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Chini ya serikali ambayo awali ilitupa matumaini kuwa hakutakuwa na athari za mparaganyiko wa uchumi uliotokea katika nchi tajiri, lakini baadaye ikaja na maelezo kuwa tatizo hili ni tishio, Je tunaweza kusema kwa uhakika kuwa hawa mabwana wapo makini katika kukabiliana na tatizo hili?

  Hivi tutaendelea kumuachia mungu kwa matatizo kama haya hadi lini, itajafikia mungu atatuchoka kwa maombi yetu.

  Hata hivyo mwenye dondoo juu ya hatua ambazo serkali inachukua kukabiliana na tishio hili naomba azinmwage hapa.

  Tunatajiwa na wachumi kuwa athari ni pamoja na kushuka kwa mapato sekta ya utalii kwa asilimia 30, kahawa kwa asilimia 34 na Pamba kwa asilimi 54 ama hasara ya bilioni 41. Je katika sekta nyingine hali ikoje.

  lakini napata shida kuona mbele kama tutasalimika na tuelewe kuwa tatizo hili lilichangia pia kuwepo kwa vita vya kwanza na pili vya dunia.
   
 2. c

  cha' JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2013
  Joined: Jun 22, 2013
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Awamu ya pili inaelekea kwisha, hasara tuipatayo kwa mfumko wa bei pekee, inaongeza mzigo mzito kwa mkulima
   
Loading...