SIKU NYINGINE WEKA KAMA HIVI USITUSUMBUE KUFUNGUA LINK...
Dong Yi
Hivi hii mambo ya njaa inawasumbua sana wakenya hadi watafute hadithi gushi za tanzania mradi wajifariji na wafute soni..
Hii aibu Mi jubilee hamkwepi, pelekeni chakula kwa walio na njaa, hadithi nyingi muwache
Dong Yi
mzee hapo chalinze tu watu wanakunywa maji bwawa moja na ng'ombe, au nenda handeni, nenda jimbo la mwigulu....
usihadithiwe, we nenda katazame!
Sent using Jamii Forums mobile app
Oii said:
Tukiwaambia ccm inajitahidi, mnabisha.
Nitafutie pctr kama hiyo ya kuanzia mwaka
msapere...ona watanzania wanaosema ukweli...
Njaa Tz hakuna asee, labda kama unamaanisha njaa ya mfungo wa Kwaresma. Hapa Dar ukishuka daladala unakutana na vyakula tele vinauzwa yaani ni hela yako tu, vijijini ndo usiseme mchana huu watu washakula ugali mkubwa wameshushia na zinga la papai..mlo huo kwa Kenya ni ndoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha waendelee kujifariji kua tz kuna njaa hahahaha ...Tanzania Leo imetoa msaada wa chakula na dawa Zimbabwe, Zambia na Malawi
Tanzania yatoa msaada wa chakula, dawa Malawi, Msumbiji na
Hahaha wanafikiri wakisema hivyo ndio njaa inaisha KenyaAcha waendelee kujifariji kua tz kuna njaa hahahaha ...
Kama vipi Magu week ijayo apeleke na msaada wa chakula huko turkana maana watu wanakufa mbuz znakufa yaan kila kitu kinakufa kule.poleni wakenyaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuaje sasa nchi ya uchumi wa kati kama Kenya kuwa na jamii zilizo nyuma ya karne kiasi hiki? Au ndo kuthibitisha kauli isemayo masikini wa Kenya ni masikini kweli kwelii ni afadhali masikini wa Tz anajiweza.kumbe unamaanisha vyakula madukani....mbna vipo....na kuhusu vijiji vyenye kuna wakulima..mbna watu wanakula tu hyo sima kubwa...
unataka kulingani waturkana na watu wanaojielewa...hao watu wanachojua ni ufugaji na kununa silaha za kulinda mifugo yao...ishu na ukulima na kufanya kazi au biasha iwatilie hela hawana...watu wako karne ya kumi tisa...
uhuru huwapa msaada kila siku mkiwa na shidaTanzania Leo imetoa msaada wa chakula na dawa Zimbabwe, Mozambique na Malawi
Tanzania yatoa msaada wa chakula, dawa Malawi, Msumbiji na