Tanzania ina miradi mikubwa na rahisi zaidi Barani Afrika

Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,750
4,958
Ndugu wana JF, Tukiangalia miradi mingi inayofanana hapa Africa utashanga kuona kuwa Tanzania tunajenga miradi yetu kwa bei nafuu sana na kwa kiwango cha juu. Nime copy na ku paste hapa gharama za miradi ya Mikubwa ya umeme na SGR za Kenya na Nigeria, ukizilinganisha na zetu, ama kweli serekali yetu iko macho sana na tuwashukuru kufanya kazi kwa uadilifu na link pia nimewakea for good reference:

Lagos-Calabar Railway
1,400-kilometres long and at the cost of $11 billion USD, the Lagos-Calabar railway is one of Africa’s most ambitious projects. The rail project will link Lagos in the west to Calabar in the east, while also connecting the cities of Port Harcourt, Uyo, and Aba along the way. Once completed, this transportation network will significantly enhance the movement of goods and services across the region.

Mombasa–Nairobi Standard Gauge Railway
Similar to the Lagos-Calabar Railway, Kenya is investing $10 billion into a 969-kilometre standard gauge railway from Mombasa to Malaba. This project is vital because only 5% of the country's shipping is currently done using freight, but once complete, this new railway will help to push that figure up to 40% by 2025. This new line will also cut travel time between the country's two most important cities down to 4.5 hours, instead of nine hours by bus. So far, the 472km rail line from Mombasa to Nairobi is complete, with the remaining phases still in development.
Mambilla hydroelectric power project

As Nigeria looks to boost its energy production to match the needs of its booming economy and population, the government has finally invested into making the Mambilla Hydroelectric Power Project a reality. Over three decades in planning, this $5.8 billion project will connect to three dams across the Donga River in Taraba State, eventually generating a total installed capacity of 3,050MW of electricity.

Top 12 African infrastructure projects
 
Hongereni kwa hili wanaLumumba wenzangu.

Lakini je, wafahamu mkopo wa SGR toka kwa wachina ilikuwa asilimia ngapi? Je, tulipochukua huko kwingine wajua tulichukua kwa asilimia ngapi?

Mwalimu wangu alinifundisha kumeng'enya mambo na sio kuyapokea yalivyo!!
 
Pia angalia kampuni husika manake eti kisa sababu ni bank Basi mfanyakazi wa London na wa tz wawe sawa
 
Hongereni kwa hili wanaLumumba wenzangu.

Lakini je, wafahamu mkopo wa SGR toka kwa wachina ilikuwa asilimia ngapi? Je, tulipochukua huko kwingine wajua tulichukua kwa asilimia ngapi?

Mwalimu wangu alinifundisha kumeng'enya mambo na sio kuyapokea yalivyo!!
You absolutely right, ni busara kuwa na facts zote, lakini hapa tunaangalia the cost of the project : SGR ya TZ ni 1800km ama 1100miles, na cost ni $7 6 Billions, hii comparison ndogo tuu inakuonyesha ilivyo rahisi kushinda ya Kenya na Nigeria, inamaanisha wenzetu kuna walakini.
 
Kama umeshindwa kuweka majibu ya maswali yako hapa...! Tunajua unajaribu kufifisha hoja iliyo mezani na hujiamini hata kidogo 'kumeng'enya takwimu zilizowasilishwa! Hapo umekwama, Mkuu.
 
Ndugu, hao wenzetu wanashida sana, wakizungumzia Haki ni lazima iwe yao na kila kizuri lazima kiwe chao na hakiwezinkuwa cha wengine.

Facts kama hizi zinawauma sana, angalia Mapokezi ya Maalim seif Zanzibar yaliwaumiza sana na hawakuyafurahia, ikawabidi wafanye ya kwao na yawe mahali pengi, hawa ni psychotic Attention Seekers.
 
Hongereni kwa hili wanaLumumba wenzangu.

Lakini je, wafahamu mkopo wa SGR toka kwa wachina ilikuwa asilimia ngapi? Je, tulipochukua huko kwingine wajua tulichukua kwa asilimia ngapi?

Mwalimu wangu alinifundisha kumeng'enya mambo na sio kuyapokea yalivyo!!
Sisi SGR tunaijenga kwa pesa yetu wenyewe, tena kwa cash money. Na hiyo SGR yetu ni ya umeme, hao wengine ni za dizeli!
 
Akili umeweka sijui wapi?

Idadi ya KM umelinganisha?

Idadi ya MegaWatts umelinganisha?

Aina ya designs umelinganisha?

Scope ya ujumla umelinganisha?

Mwaka huu mawe hachomoi maana amejaza majinga kibao ndio yamekaa eti technocrats wake!

Lissu one man brain is making everybody's brain warm!

Such a smart motherfvcker.....really smart,and yall cant deny his mental abilities!
 
Hii n shida ya kusikiza upupu wa mitaana na kushindwa kufatilia huo mkopo kutoka china sawa ulikuwa nafuu ila wenye gharama zaidi contracts watoke china, 80% ya construction tools zitoke china, wahandisi wasadizi watachagua wao pamoja na wasimamizi madudu mengi china ina raia wengi so lazima serikali iji husishe na kutafuta ajila kwa raia wake.
 
Sisi SGR tunaijenga kwa pesa yetu wenyewe, tena kwa cash money. Na hiyo SGR yetu ni ya umeme, hao wengine ni za dizeli!
Hela yetu umechangia shilingi ngapi wewe personally?

Chukua earnings zako,kata kodi then uniambie umechangia kiasi gani i-warrant mpumbavu mmoja from huko machakani kuja na uamuzi wa kutumia hizo kujenga mradi anaoona kwenye ubongo wake ni sahihi na kwa vipi?

Wanaolipa kodi nchi hii ni 15%....the rest 75% ni useless!

Mawe kachukua fruits of the hard labour of the 15% na kuamua kuwagawia 75% kwa kuwajengea "reli ya SGR".....halafu anawadanganya "yetu" wewe na nani?

Government has never been a solution on anything,always a problem and makes innocent hardworking citizens uncomfortable and sad and not "free"!
 
Akili umeweka sijui wapi?

Idadi ya KM umelinganisha?

Idadi ya MegaWatts umelinganisha?

Aina ya designs umelinganisha?

Scope ya ujumla umelinganisha?

Mwaka huu mawe hachomoi maana amejaza majinga kibao ndio yamekaa eti technocrats wake!

Lissu one man brain is making everybody's brain warm!

Such a smart motherfvcker.....really smart,and yall cant deny his mental abilities!
Masikini weee! Pole sana
 
Ndugu just look at what u r saying and pathetic u sound. Whatever u say the logic here is to rationaly analyze the facts and cone to a logic conclusion. Lakini najua ni vigumu kwako a controlled mind is an unthinking mind.

Pili umemvunjia sana heshima Lissu, kumuita Motherfucker, na hilo neno kiswahili ni mtu anaemlala mama yake, hilo mila za waafrika ni tusi baya sana, haliwezi kuwa sifa au kitu chochote zaidi ya tusi baya.

Tabia za kuingiza zina shida zake.
 
You absolutely right, ni busara kuwa na facts zote, lakini hapa tunaangalia the cost of the project : SGR ya TZ ni 1800km ama 1100miles, na cost ni $7 6 Billions, hii comparison ndogo tuu inakuonyesha ilivyo rahisi kushinda ya Kenya na Nigeria, inamaanisha wenzetu kuna walakini.
Hapa kwenye miradi mikubwa nchini JPM kahakikisha wale wanaowekaga cha juu hawaweki,miradi mingi barani afrika imetawaliwa na rushwa na hongo,ikipandishiwa riba kubwa kwa manufaa ya wachache hence kuwabebesha zigo wananchi wasio na hatia.
Hili kwa Magufuli kama linaendelea kupata tiba
 
SWADAKTA
 
Ndugu just look at what u r saying and pathetic u sound. Whatever u say the logic here is to rationaly analyze the facts and cone to a logic conclusion. Lakini najua ni vigumu kwako a controlled mind is an unthinking mind.

Pili umemvunjia sana heshima Lissu, kumuita Motherfucker, na hilo neno kiswahili ni mtu anaemlala mama yake, hilo mila za waafrika ni tusi baya sana, haliwezi kuwa sifa au kitu chochote zaidi ya tusi baya.

Tabia za kuingiza zina shida zake.
Hoja imekuelemea in such a way umegeuka Preacher kwa lazima

Yaani umejigeuza rafiki yake Mungu eti unafundisha wanadamu how to be moral wakati wewe mwenyewe ni lishezi la mwisho dunia hii

Wewe upo hapa,unaelekeza wanadamu wenzako jinsi ya kua Mungu......

Mtu akishindwa ku-unpack hoja za mtu anaishia maneno kama haya:

"pathetic","unthinking mind",etc

Weka hoja kati hapa....unazungumzia miradi huijui,hujui scales zake,hujui scope,hujui designs zake,unalinganisha na mradi wa TZ ambao huujui contents zake to begin with!

Kipofu gizani kabisa!

Go to hell or heaven,tell jesus I say fvck him!

We All living in this earth have death sentences anyways the difference are dates only!
 
Thank you n God Bless you
 
Moja ya sababu kubwa iliyotumika kupunguza gharama ya ujenzi ni kutumia mafundi wa mitaani pia vifaa vya kawaida vya ujenzi lakini ujenzi wenye ubora wa viwango kwa sababu ya ufuatiliaji,ukitumia tecnologia kubwa lazima gharama iwe kubwa ukichanganya na ufisadi ndio maana unaona ujenzi wetu karibia miradi yote mafundi wa mitaani ni wengi na wanatumia vifaa vya kawaida ni kama hii wanayoita fosi acc,hakuna ile biashara ya peni ya 200 inunuliwe kwa 1000,huo uhuni haupo tena.
 
Hela yetu umechangia shilingi ngapi wewe personally?

Chukua earnings zako,kata kodi then uniambie umechangia kiasi gani i-warrant mpumbavu mmoja from huko machakani kuja na uamuzi wa kutumia hizo kujenga mradi anaoona kwenye ubongo wake ni sahihi na kwa vipi?

Wanaolipa kodi nchi hii ni 15%....the rest 75% ni useless!

Mawe kachukua fruits of the hard labour of the 15% na kuamua kuwagawia 75% kwa kuwajengea "reli ya SGR".....halafu anawadanganya "yetu" wewe na nani?

Government has never been a solution on anything,always a problem and makes innocent hardworking citizens uncomfortable and sad and not "free"!
Mapato ya kodi kupitia TRA kwa sasa ni TSh. trillioni mbili kila mwezi. Mapato yasiyotokana na kodi ni TSh 1.2 trillion kwa mwezi. Akiba yetu (saving) iliyoko Benki Kuu ni US $ 7.5 billion. Akiba ya dhahabu (gold reserve) tuliyonayo Bank Kuu ni US $ 1.5 trillion. Sisi ni nchi tajiri na WB wametutambua na kutuweka group moja na nchi kama India na South Africa. Mafisadi na mabeberu waliokuwa wakifaidi utajiri wetu tumeshawaweka lockdown. Una swali lingine wewe kichwa ngumu?
 
Savings ni results of stolen wealth kutoka kwa wananchi wanaofanya kazi kwenye nchi

Gold reserve ni mali ya jasho la wananchi....serikali haijui kuchimba dhahabu mahali wala haina mgodi popote

Imemkuta mwananchi ana dhahabu yake ikamnyang'anya makusudi na kumpa kesi ya uhujumu uchumi bila sababu zozote

Kodi,ni well,taking money of other people and feed the other lazy stupid population

Mapato yasiyo ya kodi ni mali za wananchi mbali mbali zilizochukuliwa kwa coercion and force,serikali haina kiwanda cha hela,haina kampuni yeyote inayojenga faida yoyote popote kwenye hii jamhuri

Ni pure coercion,intimidation,force,confiscation of fruits of labour of hard working citizens..

Hela zote hizo sio mali ya mwananchi,ni mali za viongozi wanasiasa kuhakikisha wanaahidi vitu vya bure kwa wananchi ili wapate kura next election

Mwanasiasa,bwana mawe anaahidi barabara,SGR,elimu bure,matibabu bure,etc kwa kuchukua hizi pesa na kuzipeleka huko sababu 75% ya wananchi hupenda vitu vya bure hivyo atapata kura that way...

Pesa yote hiyo kachukua kwa hard working businessmen,kodi,importers kupitia bandari,etc ili aweze kuahidi free stuffs kwa wapiga kura

Hauna utajiri wowote wewe binafsi,wewe ni takataka kwenye nchi,unataka elimu bure,matibabu bure as if unadhani hizo hela umetoa wewe wakati kachukua kwa wengine kakuletea wewe for free...

Nchi haina utajiri wowote,utajiri ni kipato cha familia moja moja,BOT,TRA na upumbavu mwingine haukuhusu,zile ni hela za kiongozi kuweza kuamua anawapa vitu gani vya bure kwa yeye kuamua kwa ubongo wake mbovu...

Eti mali yetu,huna mali,mtoa kodi ya 10,000/= kwa mwaka upo hapa unadani una reserve ya gold,dillusion motherfvcker,you talking about wealth stolen from another person collectively wewe unaita ni mali yako....

Punguza ukichaa Dr Mavi
 
Back
Top Bottom