Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 17,895
- 25,944
Duh kwahiyo jamaa wanaongoza kwa kupokea misaada?Ati unauliza Kenya itakuwa wapi kwani hujui itakuwa wapi
Mtaendelea kuwa na uchumi usio sadifu yaliyomo,
Wachina watakuwa wamewanyoosha kweli kweli,
Mtaendelea kupokea misaada ya chakula kama kawaida
Hapa kwenye hii list mtakuwa mmefika namba moja
Bila kusahau unemployment rate itakuwa imeongezeka mara dufu,
Hizi ni baadhi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app