Tanzania ina Mikoa mingi ila ni kwanini Kihistoria Mkoa wa Morogoro una Urafiki wa Kudumu na wa Kiupendo kabisa na Ajali Mbaya tu nchini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,466
108,621
R.I.P sana Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine uliyefia Morogoro njiani, R.I.P mno Marehemu Mjomba wangu Kipenzi Ian uliyefia njiani ukiwa unakuja kunipitia twende Kuiangalia Simba SC yetu, R.I.P wale Makomandoo Wawili mliofia njiani Morogoro, R.I.P Madereva wote wa Gari ndogo mnaokufa kila Uchao njiani Morogoro, R.I.P wale Marehemu wa Basi maarufu la Dar - Moro ambao huwa mkipata Ajali za Kikafara huko njiani Tajiri huwahi Kuwahonga Wanahabari wasitangaze, R.I.P Marehemu wa Ajali mbaya ya Lori la Mafuta Msamvu Morogoro na R.I.P mno Marehemu wote wa Ajali za Mabasi na Malori kama Tatu hivi zilizotokea njiani Mkoani Morogoro ndani ya Wiki Mbili na nyingine Mbichi kabisa ya leo.

Huenda neno Morogoro lina tatizo au labda mwenye nalo hakupenda litumike au hakumaliziwa chake au Tambiko halikuenda vyema hivyo nae sasa anaamua Kulipiza Kisasi kwa 'Kutuchukulia' tu Wapendwa Wetu kila mara.

Tafadhali Mamlaka husika hebu umulikeni vyema na kwa Jicho la Umakini kabisa huu Mkoa wa Morogoro ( alias ) Accident City kwani haiwezekani katika 100% ya Ajali zinazotokea Tanzania basi 75% ni kutoka Mkoani Morogoro tu hapo ( pale ) ambako hata Mimi GENTAMYCINE pia nina DNA napo Kihistoria kwa Marehemu Babu yangu Mpendwa upande wa Mama.

Sitaki kuamini ( ila taratibu ) naanza Kuamini Kauli niliyowahi kuambiwa huko miaka ya nyuma kuwa Tanzania nzima hakuna Mkoa wenye Waganga wazuri, hatari na wa Kweli 'Kiuchawi' kama wa kutoka Mkoani Morogoro, hivyo huenda hata hizi Ajali ni sehemu za 'Makafara' yao kwa Wateja wao mbalimbali ( japo inasemekana ) Wateja wao Wakubwa ni Wanasiasa, Viongozi ( Watawala ), Watendaji Serikalini, Mabosi katika NGO's, Wasanii wa Muziki, Wachezaji wa Mpira ( hasa wa Simba na Yanga ) na Watangazaji wa Television.

Na nimedokezwa kuwa kuna Mtanzania Mwenzetu Mmoja ( sasa Kalala mazima ) pembezoni mwa Ziwa Vicky ( Jirani na Kwetu GENTAMYCINE Mkoani Mara ) kumbe hata Yeye Safari yake ya Kuondoka 'Kimkakati' ilianzia Mkoani Morogoro hasa alipoanza 'Kumchana' Tajiri wa Mabasi Maarufu huku akimpongeza na Kumsifu Fisadi na Tajiri wa Gesi Taifani Kwetu kwani tokea pale Israeli alikuwa ameshaanza kuwa nae Ng'adu kwa Ng'adu ( kama Beki Mwamnyeto na Mshambuliaji Kagere ) mpaka ikatokea kweli na sasa kawa ni Historia.
 
Thread za huyu jamaa sijawahi kuzielewa yaani. Kweli ccm hawezi kuficha kamwe uccm wake
 
Baada ya kuiona na kuisoma Hii thread imenibidi nitafute thread ambayo ilipostiwa kama dakika 45 zilizopita ikiwa na kichwa cha habari kama sijakosea..... Morogoro nini tena? Ila imefutwa
 
Kwahiyo kwa Roho Mbaya yako iliyojificha na Unafiki wako ndiyo unaombea Kijanja na huu Uzi wangu nao ufutwe au?

Nimeuandika Kiufundi na kwa Kujenga Hoja zenye 'Logical References' hasa hivyo Dua lako la Kuku kamwe halitonipata Mimi Mwewe.
 
GENTAMYCINE kwa umri wako huo kumbe bado unaziogopa mamlaka?
 
Unaweza kuonyesha ni wapi nimeiogopa Mamlaka? Siiogopi Mamlaka bali naiheshimu.kwani hata Vitabu vya Dini ( Kiimani ) vimetuasa na kututaka tufanye hivyo kwani Kiongozi wa Watu ni Kiongozi wa Mungu.

Nakosoa, Napongeza na pia Nashauri kama Mzalendo wa Taifa hili na siyo Mnafiki na Mpuuzi kama Wewe. Halafu sijawahi Kuogopa Kufa kwani kama Mkristo unatakiwa kila Siku uwe tayari Kuondoka na naweza nikaondoka au nikaondoshwa Kilazima.

Lakini Maono yangu na Upeo wangu wa kuona Masuala Kiuchambuzi yakabakia hapa Mtandaoni Kizazi na Kizazi kwa Matumizi ya kuendelea Kuijenga Mama Tanzania.
 
Sababu ni lango la kuzimu. Morogoro, Mbeya na Singida. Piga maombi uwapo safarini Ili kuzuia gari lisionekane kwenye radar za wale wapumbavu.
 
Mtafute mtu mmoja anaitwa Luanda Magere anasema wao ndio waliosababisha ajali ya roli la mafuta ile ya Morogoro pia Hakuna aliyekufa pale wote waliwachukua kafala.
Huyu alipiga ajali ya MV spices na Mv Nyerere kivuko zote kafara waliwachukua kuzimu
 
Back
Top Bottom