Tanzania ina mikoa 26 na kila mkoa una wazee. Kwanini Rais wa JMT azungumze na wazee wa Dar pekee?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,085
6,564
Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa kwa wazee wa mikoa mingine. Maana kama rais wa JMT hatakiwi kuwabaghua wazee wa mikoa mingine maana nao ni wazee wa taifa.

Kama ulitaka kuzungumza na wazee ungeteua walau kila mkoa upeleke wazee kumi na kisha kuwaita Dodoma na kufanya nao mazungumzo.

Kwani Dar es Salaam ndio very special kuliko mikoa mingine?
 
Hakuna wazee pale
Ni wanaccm wa kariakoo ambao wanatumikaga kutoa hotuba juu ya mambo flani..
Ccm wangekuwa wanaheshimu wazee wasingemtuma Bashite akamchape vibao jaji Warioba.
 
Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa kwa wazee wa mikoa mingine. Maana kama rais wa JMT hatakiwi kuwabaghua wazee wa mikoa mingine maana nao ni wazee wa taifa.

Kama ulitaka kuzungumza na wazee ungeteua walau kila mkoa upeleke wazee kumi na kisha kuwaita Dodoma na kufanya nao mazungumzo.

Kwani Dar es salaam ndio very special kuliko mikoa mingine?
Sasa unataka atembelee wazee wa kila mkoa katika kila mkoa ,haohao wanatosha kuwa kiwakilishi Cha wengine
 
Mtoa mada jiulize kwanini mikoa hiyo yote halafu inatokea Marais wawili wamefia Dar es Salaam.
 
Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa kwa wazee wa mikoa mingine. Maana kama rais wa JMT hatakiwi kuwabaghua wazee wa mikoa mingine maana nao ni wazee wa taifa.

Kama ulitaka kuzungumza na wazee ungeteua walau kila mkoa upeleke wazee kumi na kisha kuwaita Dodoma na kufanya nao mazungumzo.

Kwani Dar es salaam ndio very special kuliko mikoa mingine?
Moyo wa taifa
 
With my respect kwa mtoa hoja ila mkuu kweli umefikiri na kuja na mada kama hii kweli mkuu?sio mbaya ukawa msomaji wa mada zingine,president ni wetu na unauhuru wa kuongea na anaoamua kuongea nao ILA ujumbe wa hotuba yake ni wa watanzania wote na hili ndio muhimu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom