Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,087
- 6,568
Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa kwa wazee wa mikoa mingine. Maana kama rais wa JMT hatakiwi kuwabaghua wazee wa mikoa mingine maana nao ni wazee wa taifa.
Kama ulitaka kuzungumza na wazee ungeteua walau kila mkoa upeleke wazee kumi na kisha kuwaita Dodoma na kufanya nao mazungumzo.
Kwani Dar es Salaam ndio very special kuliko mikoa mingine?