Tanzania imo kwenye OneLaptop program?

..halafu itatumiwa na nani?mwalimu mkuu au?

..ni bora kuwa nazo katika baadhi ya shule,zitakazostahili,kuliko kuzisambaza moja kwa kila shule.haitaleta maana.

Kwa hali ya umasikini tulionao, ni heri hata hako kamoja kawepo, waitumie kwa zamu. Nionavyo mimi cha msingi ni kuwafumbua macho. Itaweza kuwasukuma baadhi yao kufanya kila jitihada kujipatia za kwao. Hili halitawezekana kama hata kuona inakuwaje hawajawahi. Tukianza kupendelea tutaangalia za mjini tu.
 
Back
Top Bottom