Tanzania Imezidi Kupoteza Image ya Demokrasia Safi na Sauti Duniani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Imezidi Kupoteza Image ya Demokrasia Safi na Sauti Duniani!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by niweze, Nov 18, 2010.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wengi Tunakumbuka Mahali na Sauti ya Mwalimu Nyerere Alipokuwa Akisafiri Inchi za Afrika na Duniani Kote. Nyerere Aliheshimika Sana kwa Misamamo Yake Kwenye Kila Swala Duniani. Tukianzia Afrika, Nyerere Alijihusisha Sana na Ukombozi wa Inchi Nyingi na Kumbukumbu Kubwa ni Mchango wa Tanzania Kuushinda Ubaguzi Afrika ya Kusini na Uhuru wa Zimbabwe. Kipindi Hicho Afrika Ilionekana Ineelekea Kwenye Ukombozi na Ujenzi wa Umoja wa Afrika. Tumeona Jinsi Gani Nyerere na Viongozi Wengine wa Afrika Wakitoa Misimamo Yao Huko Umoja wa Mataifa. Leo Hii Watanzania Tunapambana na Demokrasia Inchini Kwetu na Uhuru Kutoka kwa Hawa Viongozi wa CCM. Ukiangalia Hapa Tulipo Sijui Tumepoteaje Tena Njiani. Safari ya Inchi Yetu Imeingia Misituni na Tumekutana na Kikwete na Group Lake. Kikwete na CCM Wameiabisha Tanzania Kutokana na Huu Uchaguzi na Madhara Yake Tutayaona Hivi Karibuni. Kikwete Alipeleka Majeshi Comoro na Huko Sudan kwa Ajili ya Kulinda Demokrasia za Wananchi wa Inchi Zingine. Swali ni Kwamba Nani Atasikiliza Kikwete Akiongea? Huu Ushirikiano na Inchi za Kenya na Uganda Utakuwaje Effective Kipindi cha Kikwete Madarakani? Tunajua Wakenya na Waganda Wako Very Aggressive in Terms of Businesses na They will Take Advangates Sana Wakati CCM Wakitumia Muda Mwingi Kuficha Kura. Tunajua CCM Inaendelea Kutia Madoa Demokrasia Yetu na Sisi Wananchi Hatutakaa Kimya Wakati Huu. Tuendelee Kupigania Katiba Mpya na Kupressure Bunge Kufanya Mabadiliko ya Kweli kwa Manufaa ya Wananchi Wote. Kitu Kimoja Tunajua If the Constitution Become Beneficial to All Tanzanians, the People will be Empowered and Fill They are Part of Something Great. Let's Focus on Bunge and its Initiatives.
  "Hakuna Mabadiliko Yanayoanzia Juu, Madiliko Sikuzote Yanaanzia Chini kwa Mwananchi wa Kawaida. Mwaka 2010 ni Mwamko wa Kweli"
   
 2. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 803
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Mwaka huu 2010/2011 ni mwaka wa mapambano. Nina imani wananchi (peoples power!!) wataikomboa kama ilivyo ukombozi wa ukoloni. Vita ndio inaanzia bungeni halafu barabarani!!!
   
 3. m

  matawi JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Umenena Niweze 100% sure nyumba lazima ianze msingi na msingi wetu Katiba kwanza
   
Loading...