Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,275
Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021

Uteuzi huu ulipendekezwa na Ofisi ya Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kuteuliwa kwa kauli moja na wajumbe wote wa kamati hiyo.

Tarehe 23 Novemba 2020, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Prof. Kennedy Gastorn, ameongoza kikao cha kwanza cha kamati hii kwa mwaka huu, hii ni mara ya kwanza Tanzania kushika nafasi ya kuongoza kamati hii nyeti ya Umoja wa Mataifa.
 
Ukisikia HAPA KAZI TUU AWAMU YA PILI ndio hiyo

Yaani kwa kifupi ni hivi Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Joseph Magufuli ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021

Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021

Uteuzi huu ulipendekezwa na Ofisi ya Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kuteuliwa kwa kauli moja na wajumbe wote wa kamati hiyo.

Tarehe 23 Novemba 2020, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Prof. Kennedy Gastorn, ameongoza kikao cha kwanza cha kamati hii kwa mwaka huu, hii ni mara ya kwanza Tanzania kushika nafasi ya kuongoza kamati hii nyeti ya Umoja wa Mataifa.
Wakatolee ufafanuzi wa uro mln27
 
Tanzania imeteuliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya Hati za utambulisho ya baraza la umoja wa mataifa.

Wajumbe wote wa kamati hiyo waliipigia kura ya NDIO Tanzania kuwa mwenyekiti wao kwa kipindi cha 2020/21

Maendeleo hayana vyama!
 
Unajua bhana kuna mambo yanakera kiasi kwamba mtu unawez a kujinyonga!!

Kuna mtu atajinyonga huko Ufipa!!

Kila ubaya unageuzwa kuwa wema!

Mungu bariki TANZANIA
 
Ninachoweza kuchangia hapa ni kuwa kwenye jumuiya yoyote duniani lazima kiongozi wake atatokana na mzunguko wa nafasi ya juu kulingana na kipindi.

Huku mtaani tuna vyama vyetu vya kijamii mwenyekiti wake anatokana na nafasi anayoiacha anayepita, kwa hiyo hata hii ya UN si kwamba ni nongwa ila ni wakati wa Tanzania, mfano ni jumuhiya ya afrika mashariki au SADC.
 
Back
Top Bottom