Tanzania imepiga hatua kwenye kupungua njaa na utapia mlo, ila bado kuifikia Kenya

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
20,630
2,000
Hili tatizo Tanzania lilikua 34.4% mwaka wa 2005 na hadi kufikia 2017 walikua wamepunguza asilimia mbili na kufikia 32%
Kwa Kenya ilikua 28% na imepungua hadi 24%
Njaa na utapia mlo bado ni janga Afrika, ila la kushangaza kwa nchi kama Tanzania yenye ardhi yenye rotuba na kubwa mara mbili ya Kenya (ambayo zaidi ya nusu yake ni jangwa na kame tupu), inahangaika vipi kwenye matatizo kama haya na kushindwa na Kenya kainch kadogo ambako hakana hata madini wala....
-------------------------

Dar es Salaam. The prevalence of underfeeding in Tanzania has declined over the past decade. This is despite the fact that hunger appears to be increasing in Africa, with 23 per cent of the population being undernourished on the continent, says a new United Nations report.
However, the prevalence of undernourishment stood at 32 per cent in Tanzania in 2017, compared to 34.4 per cent in 2005, says the report which was launched in Addis Ababa, Ethiopia last month.
Underfeeding falls in Tanzania over 10 years-report
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,947
2,000
Wanesema takriban 800k., wewe na zaidi zako peleka vijiweni, Tanzania mbona mpo chini EAC na vile mume barikiwa tele tele; North, East, West na South of the country., shida yenyu haswa ni ipi?., nashindwa kuelewa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Tanzania kuna mahali yenyewe imekiri kwamba ina tatizo la chakula au kuomba chakula au kupokea chakula cha msaada popote? Zaidi Tanzania ndio inauzia chakula WFP na UNICEF achana na chakula tunacholisha majirani wa karibu na wa mbali.
 
Yosef Festo

JF-Expert Member
May 24, 2014
3,172
2,000
Hiyo ni hadithi, ukweli unafichwa but it manifests its head kila utafiti ukifanywa., nadhani ni uchochole umechanganyika na uzembe, hata mtu awe na shamba 1000 acres in Tz na hana hela hana mengi ya kufanya., ni kukenua meno na kungoja maisha impeleke vile ipendavyo. Hii ndiyo hali ya 85-90% ya mtanzania wa kawaida.,
Kwani Tanzania kuna mahali yenyewe imekiri kwamba ina tatizo la chakula au kuomba chakula au kupokea chakula cha msaada popote? Zaidi Tanzania ndio inauzia chakula WFP na UNICEF achana na chakula tunacholisha majirani wa karibu na wa mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunc dimittis

JF-Expert Member
Oct 19, 2018
1,142
2,000
Hili tatizo Tanzania lilikua 34.4% mwaka wa 2005 na hadi kufikia 2017 walikua wamepunguza asilimia mbili na kufikia 32%
Kwa Kenya ilikua 28% na imepungua hadi 24%
Njaa na utapia mlo bado ni janga Afrika, ila la kushangaza kwa nchi kama Tanzania yenye ardhi yenye rotuba na kubwa mara mbili ya Kenya (ambayo zaidi ya nusu yake ni jangwa na kame tupu), inahangaika vipi kwenye matatizo kama haya na kushindwa na Kenya kainch kadogo ambako hakana hata madini wala....
-------------------------

Dar es Salaam. The prevalence of underfeeding in Tanzania has declined over the past decade. This is despite the fact that hunger appears to be increasing in Africa, with 23 per cent of the population being undernourished on the continent, says a new United Nations report.
However, the prevalence of undernourishment stood at 32 per cent in Tanzania in 2017, compared to 34.4 per cent in 2005, says the report which was launched in Addis Ababa, Ethiopia last month.
Underfeeding falls in Tanzania over 10 years-report
Nafikiri shida ya tanzania kubwa ni mtizamo kwenye baadhi ya vyakula kwani mkoa kama Mbeya ni Kanani ya vyakula, una kila kitu but bado hawajaondoa hiyo Changamoto
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,947
2,000
Hunger does not need a mere survey to be revealed, kuna msemo wa kiswahili unasema "adui yako muombee njaa" means adui yako mkuu mbele ya njaa ni lazima awe rafiki yako tu as long as una chakula.

You can't put Tanzania on the same lane with Kenya in food security, nyie serikali yenu hutoa ruzuku kwa viwanda vya unga ili muuziwe unga kwa bei rahisi sasa kuna Taifa imara kweli ambalo linatoa subsides kwenye chakula kwa wananchi wake?

Every year mnapokea misaada ya chakula kutoka mataifa mbali mbali, Tanzania among your greatest food donors (we sell 50% of all foods you are consuming at the very lowest price) that's donating.

Tanzania wakulima wanalalamika kulima mahindi lakini bei ndogo sana, this season gunia la mahindi liliuzwa kwa KES 435, how this is possible in Kenya?
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,947
2,000
Hiyo ni hadithi, ukweli unafichwa but it manifests its head kila utafiti ukifanywa., nadhani ni uchochole umechanganyika na uzembe, hata mtu awe na shamba 1000 acres in Tz na hana hela hana mengi ya kufanya., ni kukenua meno na kungoja maisha impeleke vile ipendavyo. Hii ndiyo hali ya 85-90% ya mtanzania wa kawaida.,

Sent using Jamii Forums mobile app
Msimu huu gunia la mahindi Tanzania liliuzwa KES 435

Me sijawahi kuona Tanzania mahali popote watoto wamekua skeletons sababu ya njaa kama Kenya, kama una picture vividly mtanzania dhoofu hata ya mwaka 1945 ilete hapa.
 
Nunc dimittis

JF-Expert Member
Oct 19, 2018
1,142
2,000
Hunger does not need a mere survey to be revealed, kuna msemo wa kiswahili unasema "adui yako muombee njaa" means adui yako mkuu mbele ya njaa ni lazima awe rafiki yako tu as long as una chakula.

You can't put Tanzania on the same lane with Kenya in food security, nyie serikali yenu hutoa ruzuku kwa viwanda vya unga ili muuziwe unga kwa bei rahisi sasa kuna Taifa imara kweli ambalo linatoa subsides kwenye chakula kwa wananchi wake?

Every year mnapokea misaada ya chakula kutoka mataifa mbali mbali, Tanzania among your greatest food donors (we sell 50% of all foods you are consuming at the very lowest price) that's donating.

Tanzania wakulima wanalalamika kulima mahindi lakini bei ndogo sana, this season gunia la mahindi liliuzwa kwa KES 435, how this is possible in Kenya?
Kenya bado ina shida how can a so called giant of east africa,the capitalist ku control bei ya unga haya Tz tuliyafanya baada ya vita na Idd Amini.
 
  • Thanks
Reactions: Oii

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,947
2,000
Kenya bado ina shida how can a so called giant of east africa,the capitalist ku control bei ya unga haya Tz tuliyafanya baada ya vita na Idd Amini.
It's a joke, na mara nyingi serikali yenyewe inaacha shughuli zote Inaanza kuzunguka duniani kutafuta mahindi 😂😂😂 just imagine the president wrestles with maize in the world arena, huko Mexico mpaka Zambia

Juzi Uhuru alivyokutana na Trump agenda ya kwanza kutoka Whitehouse ilikua kuisaidia Kenya kukwepa njaa 😂😂 you can imagine how worst broke neighbour we have.
 
  • Thanks
Reactions: Oii

Nunc dimittis

JF-Expert Member
Oct 19, 2018
1,142
2,000
It's a joke, na mara nyingi serikali yenyewe inaacha shughuli zote Inaanza kuzunguka duniani kutafuta mahindi 😂😂😂 just imagine the president wrestles with maize in the world arena, huko Mexico mpaka Zambia

Juzi Uhuru alivyokutana na Trump agenda ya kwanza kutoka Whitehouse ilikua kuisaidia Kenya kukwepa njaa 😂😂 you can imagine how worst broke neighbour we have.
Now they have 4 agenda,food security is one of but mr. Pres. and his Dp have different plans,one want legacy the other busy compaigning
 
Depay

JF-Expert Member
Jun 22, 2015
6,570
2,000
Now they have 4 agenda,food security is one of but mr. Pres. and his Dp have different plans,one want legacy the other busy compaigning

Thank you for watching our news with gusto.I know our channels are like CNN and BBC to you sio Kama Cha mamaa ya huko vidanganyika.......And I am happy you are learning a thing or two now you write a composition about Kenya.
 
mwaswast

JF-Expert Member
May 12, 2014
12,685
2,000
Ukweli ni mchungu na haufichiki na ripoti inaashiria Tanzania kuwa na njaa zaidi ya Kenya.
Povu imwagwe...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom