Tanzania imejitoa SADC?

Status
Not open for further replies.
Kama tulijitoa ilitangazwa rasmi? Kiuchumi SADC Vs EAC bora tusimame wapi?
 
Hili ni jipya. Sijui taarifa umezipata toka chanzo gani ila Katibu wa SADC Mtanzania anaeitwa Dr Stergomena Lawrence Tax
 
Huu ni muunganiko wa kikanda ambao ulikuwa na taratibu kujiunga, kujitoa sio kama timu kususia kuingiza wachezaji uwanjani,,,fuatilia vizuri chanzo cha taarifa zako!
 
Hili ni jipya. Sijui taarifa umezipata toka chanzo gani ila Katibu wa SADC Mtanzania anaeitwa Dr Stergomena Lawrence Tax
Hapo kwenye Red atakuwa mwenyeji wa mkoa gani huyo jamaa?maana uko mwisho kuna kodi.
 
Hivi neno jamaa linatumika hata kwa mwanamke? Mtajwa ni mwanamke. Niliwahi sikia kwamba alisoma darasa na shule moja ya sekondari na JPM japo sina hakika kuhusu jambo hilo.
 
Mkuu Nyaka one maana nyingine ya jamaa ni Mtu ambaye jina lake halifahamiki au halitajwi(kamusi ya kiswahili sanifu-TUKI 2004).Mimi nimeuliza kwa maana hiyo.
 
Hili ni jipya. Sijui taarifa umezipata toka chanzo gani ila Katibu wa SADC Mtanzania anaeitwa Dr Stergomena Lawrence Tax

Huyu mama amebadilisha jina? Alipoteuliwa jina lake lilikuwa tofauti na hili!!! Could she have been divorced?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom