Tanzania imeiacha mbali Korea ya Kaskazini kiuchumi

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,583
4,615
Chek mambo hayo jamaa tumewaacha mbali sana kiuchumi kweli uchumi wa kati kiboko

GDP yetu ni dola bilioni 50

Wakati yao North Korea ni bilioni 18 tu

Huku kenya wao ikiwa ni bilioni 70

Korea ya kusini wao wana 1.65 trilioni dollar GDP.

Wakati Japan gdp yao ni 5008 trilion dollar.

Kweli dunia haina usawa.

Screenshot_20210309-010952.jpeg
Screenshot_20210309-011029.jpeg
 
Chek mambo hayo jamaa tumewaacha mbali sana kiuchumi kweli uchumi wa kati kiboko

Gdp yetu ni dola bilioni 50

Wakati yao north korea ni bilioni 18 tu

Huku kenya wao ikiwa ni bilioni 70

Korea ya kusini wao wana 1.65 trilioni dollar gdp

Wakati Japan gdp yao ni 5008 trilion dollar

Kweli dunia haina usawaView attachment 1720557View attachment 1720558
Upuuzi mtupu.
 
Nguvu ya N.K ni zaidi ya GDP. Ndiyo maana Trump alifunga safari kwenda kumjulia jali.
 
GDP ina include hadi idadi ya watu wa nchi husika. Ukitaka kulinganisha vizuri linganisha na idadi ya watu pia.
Yenye nguvu ni GDP kwa kila kichwa.(sijui inaitwaje kwa kiingereza)

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
unajua technology waliyonayo N.korea usa wenyew hawana..

hzo propaganda za world bank tu ambao wapo chini ya mmarekani na kama haujui jamaa wanaishi maisha mazuri sana kule kuliko tunavyoambiwa na hao mabeberu..
Teknolojia gani ya north korea inayoizidi USA?

Kuhusu uchumi, korea kaskazini ipo hoi kutokana na vikwazo vya kiuchumi vilivyodumu kwa karibu miaka 70 pia sera mbovu za uchumi wa kikomunist(kijamaa)

Wakati wa maadhimisho ya chama cha kikuminist cha korea, Kim jong un alikiri ugumu wa uchumi unayoikabiri korea na hata viongozi wa serikali juzi wamelikiri mipango yao kushindwa kuleta unafuu wa maisha.

Korea kaskazini haifikii hata robo korea kusini kiteknolojia sembuse USA.
 
Korea kaskazini ni masikini kweli maana wamejikita kwenye kutengeneza siraha za kujilinda kwa muda mrefu na wana vikwazo ila sisi pia ni masikini tuu tupo humo humo...
 
unajua technology waliyonayo N.korea usa wenyew hawana..

hzo propaganda za world bank tu ambao wapo chini ya mmarekani na kama haujui jamaa wanaishi maisha mazuri sana kule kuliko tunavyoambiwa na hao mabeberu..
Teknolojia ipi hiyo ya North Korea ambayo USA haina?

Hayo "maisha mazuri" ya North Korea unayazungumzia kwa kipimo (standard) gani?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom