• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Tanzania imefika hapa kwenye ubepari wake

lumanyisa

lumanyisa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Messages
878
Points
195
lumanyisa

lumanyisa

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2012
878 195
"Capitalism means that the masses
will work, and a few people -- who
may not labor at all -- will benefit
from that work. The few will sit
down to a banquet, and the masses
will eat whatever is left over." ni
ngumu kuamini kuwa sasa nchi yetu
imefikia kwenye hatua hii we work
they relax,we suffer they get
everything they want.maneno hayo
yamenirudia leo kichwani baada
yakuona kundi la wafanyabiashara
wadogo katika eneo la darajani huko
Zanzibar wakikimbia huku na kule
baada ya mgambo kuanza kukamat
mali zao wapo walao kweny banquet
(vigogo) na hawa wanajaribu japo
kukombeleza kile kilichoanguka ila
hakuna ruhusa yakufanya
hivyo......wap weny familia,wapo
wanaosaidia baba na Mama ambao
aidha n wazee au wapo vitandani
wanaumwa.......wako wangapi
wanaofanya biashara haramu zaid ya
hii wanayoipiga vita kwa kisingizio
chakuchafua mji,kipi bora kati ya
kuchafua mji na kile
kinachowachafua vijana(madawa ya
kulevya) mbona hatuckii mkiwatesa
hao au n wenzen mko nao kweny mlo
mmoja????? "hakuna jambo baya
kama kumuonea mtu na
unayemuonea akajua kuwa
unamwonea" NAAMINI MIMI NI
SAUTI TENA YENYE NGUVU NA
UMMA UKICHOKA HAYA UTAUNGANA
NAMI KUWA SAUTI MOJA
 

Forum statistics

Threads 1,405,411
Members 531,983
Posts 34,485,419
Top