Tanzania ilivyosaliti Cuba

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,195
Hivi mshawahi kujiuliza kwa nini serikali yetu haijali sana umuhimu wa Cuba?

Hana nazungumzia hakuna ushirikiano wa karibu zaidi kwenye sekta mbali mbali kama Ulinzi na Usalama, Biashara na Uchumi, Sanaa na Utamaduni

Wanafunzi wetu wachache sana wako kule na nimejaribu kutazama data kuona jinsi gani tunavyonufaika na mahusiano ya karibu na Cuba lakini hakuna kitu japo wa Vuna walitusaidia sana miaka ya 60 na 70 lakini mwishowe tukajikita kwenye ufisadi wao waliendelea kujenga nchi yao

Hii inanifanya ni conclude kuwa hatujali labda mheshimiwa Magufuli anaweza kubadili mambo

f0012101.jpg
 
Huo mstari wa mwisho kabisa umenifanya nicheke sana! Let keep dreaming about viwanda first haya mengine utamchanganya mtu bure!
 
Mkuu HNIC,
Sio kwamba tumeisaliti CUBA, bali uhusiano na CUBA ulikuwa imara wakati wa awamu ya kwanza ya uongozi wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kufuatia , Tanzania kufuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea lakini Mwinyi alipoingia, tulifanya I turn kwa kulizika rasmi Azimio la Arusha, na kuunda Azimio la Zanzibar lilouzika Ujamaa na Kujitegemea na kuukumbatia upebari japo neno Ujamaa na Kujitegemea bado lipo kwenye katiba yetu mpaka leo, hivyo umuhimu wa Tanzania kwa CUBA ukajifia a natural death.

Cuba ndio nchi inayoongoza duniani ratio ya doctor/patients hivyo mara ya mwisho nakumbuka ni ujio wa kikundi cha madaktari wa kujitolea wa kutoka CUBA. Pia Tanzania tulikuwa tunapeleka idadi kubwa wanafunzi wa udakitari nchini CUBA lakini tulipokumbatia upebari wakaacha kutupa scholarships.

Paskali
 
Nafikiri mahusiano bado yako vizuri tu !kule Zanzibar idadi kubwa ya madaktari bingwa ni hawa jamaa kutoka Cuba na China kwa program maalum , tena hawa wachina wamepewa kitengo kizima cha macho pua na koo wanakisimamia wao competely!
 
Hivi mshawahi kujiuliza kwa nini serikali yetu haijali sana umuhimu wa Cuba?

Hana nazungumzia hakuna ushirikiano wa karibu zaidi kwenye sekta mbali mbali kama Ulinzi na Usalama, Biashara na Uchumi, Sanaa na Utamaduni

Wanafunzi wetu wachache sana wako kule na nimejaribu kutazama data kuona jinsi gani tunavyonufaika na mahusiano ya karibu na Cuba lakini hakuna kitu japo wa Vuna walitusaidia sana miaka ya 60 na 70 lakini mwishowe tukajikita kwenye ufisadi wao waliendelea kujenga nchi yao

Hii inanifanya ni conclude kuwa hatujali labda mheshimiwa Magufuli anaweza kubadili mambo

f0012101.jpg
Nchi hii ni mali ya Watakatifu ... kwa wanaonielewa watakuwa wamepata picha pana ... Jumuiya ya Ulaya na USA wanatumonitor via misionari weusi ... Sad nchi za Cuba, Russia et al tumetengwa nao kwa maslahi mapana ya wamiliki wa migodi ya Buzwagi, Nyamongo, Mwadui nk
 
Ndio maana nasema Castro alichagua njia mbaya na kumalizia rasilimali za nchi,nguvu zake,kulisha wavivu na mabwanyenye w akiswahili waliogawana scolarship, baada ya kurudi wakaja subiri wafanyiwe kazi walizofundishwa. Matokeo yake cuba wakamwaga rasilimali ktk shimo lisilojaa.Bora wangejenga nchi yao kwa nguvu zote leo wangekuwa dunia nyingine. Ujamaa ni ushetani,ni kichaka cha maharamia.
 
Hivi mshawahi kujiuliza kwa nini serikali yetu haijali sana umuhimu wa Cuba?

Hana nazungumzia hakuna ushirikiano wa karibu zaidi kwenye sekta mbali mbali kama Ulinzi na Usalama, Biashara na Uchumi, Sanaa na Utamaduni

Wanafunzi wetu wachache sana wako kule na nimejaribu kutazama data kuona jinsi gani tunavyonufaika na mahusiano ya karibu na Cuba lakini hakuna kitu japo wa Vuna walitusaidia sana miaka ya 60 na 70 lakini mwishowe tukajikita kwenye ufisadi wao waliendelea kujenga nchi yao

Hii inanifanya ni conclude kuwa hatujali labda mheshimiwa Magufuli anaweza kubadili mambo

f0012101.jpg

Miaka ya 60 na 70 Cuba iliisaidia nini Tanzania?
 
Mkuu HNIC,
Sio kwamba tumeisaliti CUBA, bali uhusiano na CUBA ulikuwa imara wakati wa awamu ya kwanza ya uongozi wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kufuatia , Tanzania kufuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea lakini Mwinyi alipoingia, tulifanya I turn kwa kulizika rasmi Azimio la Arusha, na kuunda Azimio la Zanzibar lilouzika Ujamaa na Kujitegemea na kuukumbatia upebari japo neno Ujamaa na Kujitegemea bado lipo kwenye katiba yetu mpaka leo, hivyo umuhimu wa Tanzania kwa CUBA ukajifia a natural death.

Cuba ndio nchi inayoongoza duniani ratio ya doctor/patients hivyo mara ya mwisho nakumbuka ni ujio wa kikundi cha madaktari wa kujitolea wa kutoka CUBA. Pia Tanzania tulikuwa tunapeleka idadi kubwa wanafunzi wa udakitari nchini CUBA lakini tulipokumbatia upebari wakaacha kutupa scholarships.

Paskali

Botswana haijawahi kuwa nchi ya kijamaa lakini Cuba walimwaga madaktari na wauguzi. Hilo unalielezeaje?
 
Cuba ya Leo ni choka mbaya labda sisi ndiyo tuwasaidie wao.
 
Nchi hii ni mali ya Watakatifu ... kwa wanaonielewa watakuwa wamepata picha pana ... Jumuiya ya Ulaya na USA wanatumonitor via misionari weusi ... Sad nchi za Cuba, Russia et al tumetengwa nao kwa maslahi mapana ya wamiliki wa migodi ya Buzwagi, Nyamongo, Mwadui nk
Mmeanza mawazo madogo tena,Cuba hadi sasa wana kiwanda cha dawa za malaria, wanatraid timu za ngumu etc. Sasa mmetengwa kwa lipi?Miaka yote hamkuwahi take off.Kwa vile tumbo la Tanzania minyoo ccm imetoboa,chakula hakijai. Sasa kujipa sababu za kijinga au kujiuliza maswali ya kijinga au kuplaya victim ni mzigo ktk maisha ya mtu mweusi. Sasa huhu ujinga unauleta hapa wa nini. Urusi,Cuba, etc walifilisika kwa kulisha wavivu km nyie,leo hawana cha kujivunia, au hata wa kwenda muomba kwa vile kulisha panya hakuna faidapanya .Ndio maana Urusi sasa hivi wanawapiga marungu km panya. Wamissionary weusi ndio waliwatuma mpeane scholarships kibaguzi, na baadae waliokwenda soma wakaja kaa wafanyiwe kazi walizofundishwa? Hizo akili za kigaidi hazitoshi kukufanya binadamu wa kujenga ila kubomoa.
 
Miaka ya 60 na 70 Cuba iliisaidia nini Tanzania?
hadi leo wanajenga kiwanda hapo kibaha cha madawa. wakati kwao ndio internet na TV zinaingia, bado nchi yao ni km yard ya kutupia vintage cars za kimarekani. Km ccm tulivyokuwa dumple la magari ya Peugeot ,Vox wagen,land rover , miaka michache nyuma. Ujamaa ni laana,ndio maana hadi leo ccm wanafanya vitu vya kipumbavu wakidhan iwanakwenda mbele.
 
Mkuu HNIC,
Sio kwamba tumeisaliti CUBA, bali uhusiano na CUBA ulikuwa imara wakati wa awamu ya kwanza ya uongozi wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kufuatia , Tanzania kufuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea lakini Mwinyi alipoingia, tulifanya I turn kwa kulizika rasmi Azimio la Arusha, na kuunda Azimio la Zanzibar lilouzika Ujamaa na Kujitegemea na kuukumbatia upebari japo neno Ujamaa na Kujitegemea bado lipo kwenye katiba yetu mpaka leo, hivyo umuhimu wa Tanzania kwa CUBA ukajifia a natural death.

Cuba ndio nchi inayoongoza duniani ratio ya doctor/patients hivyo mara ya mwisho nakumbuka ni ujio wa kikundi cha madaktari wa kujitolea wa kutoka CUBA. Pia Tanzania tulikuwa tunapeleka idadi kubwa wanafunzi wa udakitari nchini CUBA lakini tulipokumbatia upebari wakaacha kutupa scholarships.

Paskali
Pasco kwa hiyo sera kubadilika basi na fadhila zikafutika?Ndio maana huwa nakuona kituko sana. Na ndio maana namlaumu sana castro kuchagua njia mbaya na kupigania maisha yake yote. Rasilimali za wacuba alizipanya km ghaddafi. Wamelisha panya km Tanzania na wachumia tumbo km akina pasco kw akupeana dili kindugu,bila hata kuweza jikomboa na kuweza kuja komboa wengine.
 
Mkuu Nicholas, nayaheshimu mawazo yako.

Paskali
 
Miaka ya 60 na 70 Cuba iliisaidia nini Tanzania?
cuba iltujengea shule kama nne hivi. moja wapo ni Ruvu secondary, pia madaktari wetu wengi walisomea cuba,Sio hili tu kumbuka vita vya kagera jinsi uhusika wa cuba ulivyokua labda kama wewe bado mdogo si rahisi kujua.
 
Na bila ya kuisahau IFAKARA.Shule hiyo ilijengwa Kwa jasho la waCuba.Nchi Na Watu wengi walinufaika kutokana Na mafunzo ya walimu wa kiCuba.
 
  • Thanks
Reactions: bne
Si juzi tuu makamu wa rais wa Cuba alikuwopo hapa nchini, na alikuja na ujumbe mzito. Uhusiano wa Tanzania na Cuba haujawahi kutetereka, mara nyingi watu wanaweza kuona kimya lakini uhusiano na ushirikiano upo and ni wa nguvu zote katika nyanja mbali mbali.
 
Cuba ya Leo ni choka mbaya labda sisi ndiyo tuwasaidie wao.
hauko serious ndugu watu wanafanya research kubwa za kisayansi ikiwamo ya HIV nakupata cure kwa watoto kuzaliwa na mama mwenye maambukizi mtoto anatoka salama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom