HNIC
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 1,898
- 2,195
Hivi mshawahi kujiuliza kwa nini serikali yetu haijali sana umuhimu wa Cuba?
Hana nazungumzia hakuna ushirikiano wa karibu zaidi kwenye sekta mbali mbali kama Ulinzi na Usalama, Biashara na Uchumi, Sanaa na Utamaduni
Wanafunzi wetu wachache sana wako kule na nimejaribu kutazama data kuona jinsi gani tunavyonufaika na mahusiano ya karibu na Cuba lakini hakuna kitu japo wa Vuna walitusaidia sana miaka ya 60 na 70 lakini mwishowe tukajikita kwenye ufisadi wao waliendelea kujenga nchi yao
Hii inanifanya ni conclude kuwa hatujali labda mheshimiwa Magufuli anaweza kubadili mambo