Tanzania ililipa Dola Milioni Tatu kuwa mwenyeji wa mkutano wa Leon Sullivan.

Kevo

JF-Expert Member
Jun 12, 2008
1,333
52
Tanzania ililipa Dola Milioni 3 to host the 8th Summit of the Leon Sullivan Foundation.Tulitoa wapi hii fedha?Halafu our dear Prezzo themed it the 'Summit of a Lifetime'.Vilevile tunaambiwa kuwa tunailipa Goodworks International Dola 350,000 kusafisha jina la nchi yetu linapochafuliwa na American Media.Kampuni hii inamilikiwa na Andrew Young.
 
Kevo, well done kwa hizi sound bytes.... naona unazisaka na kuzifichua ipasavyo!

Mchelea Mwana, Kevo IS THE SOURCE!!!
 
Mbaya zaidi,wakati Mkutano wa Sullivan ukiendelea serikali ilifunga shule za boarding za Mzumbe,kilalaka Illboru,Kantalamba,Tabora Boys na Tabora Girls kwa kushindwa kununua chakula kwa ajili ya Wanafunzi.

Utaona Jinsi tunavyotoa priority kwa ambo ambayo yanaathiri wananchi yetu,tatizo Muungwanqa anapenda Sifa sana bila kuangalia watoto wake wanakula nini.

Kama utakumbukja na mpaka leo mabango kibao yanampongeza RAis na picha yakle kwa ajili ya Sullivan.

Awamu ya nne,ya wapenda kusifiwa tu!!
 
Mimi inanikera sana pale napoona shule kama Ilboru inafungwa eti sababu hamna ela ya kulipa deni la umeme na hamna chakula this is so embarassing.Niliattend diner parties zote za Sullivan zilikuwa ni kufuru yet hamna ela ya kusastain shule?Nah serikali hii too much
 
Kevo,

Kukusahihisha kidogo, Tanzania haijalipa $ 350, 000 imelipa $ 375,000

"Young has invited President Bush to the 2008 summit in Tanzania, whose government has hired GoodWorks for $375,000. The company will organise meetings in the US to counter negative reports on Tanzania in the US press. GoodWorks also acts for the Canadian mining company
Barrick Golds, which has major interests in Tanzania (13)."

source: http://elendureports.com/index2.php?option=com_content&do_pdf=1&id=444
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom