Kevo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2008
- 1,333
- 54
Tanzania ililipa Dola Milioni 3 to host the 8th Summit of the Leon Sullivan Foundation.Tulitoa wapi hii fedha?Halafu our dear Prezzo themed it the 'Summit of a Lifetime'.Vilevile tunaambiwa kuwa tunailipa Goodworks International Dola 350,000 kusafisha jina la nchi yetu linapochafuliwa na American Media.Kampuni hii inamilikiwa na Andrew Young.