Tanzania ilihitaji Mabadiliko mwaka 2015

Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,854
1,776
Mwaka 2015 Tanzania ingepata mabadiliko na Chama cha Upinzani kwa mara ya kwanza kingekamata dola kama isingekuwa DR SLAA kufanyiwa mizengwe na FISADI LOWASSA. CDM itabidi wajilaumu sana kwa kosa hilo. Nashangaa kwa nini Mbowe hafukuzwi kwa kuwasaliti wapenda mabadiliko na kulikumbatia fisadi
 
Back
Top Bottom