Tanzania iko hoi kifedha, asema CAG

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Tanzania iko hoi kifedha, asema CAG Dodoma. Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utoh amesema kuwa Serikali ya Tanzania iko hoi kifedha hivyo Bunge na Serikali lazima wajitathmini.
 
naam wajitathimin kimatumizi,,,ushaur mzuri huo,ila usishangae kesho Mwigulu,Mkuya,Malima na Ndullu wakampinga,tena sio kesho leo hii hii
 
Hapo sasa, hivi CAG anajua balance ya hela za serikari? kweli hii ni Tanzania tu?
 
Janja tu hiyo ili kuhalalisha mikakati ya kuanza kukusanya fedha kwa njai zisizo halali kwa ajili general elections 2015
 
Vyama vya siasa kama CHADEMA wasitishe operation ili kutii ushauri wa CAG ; Mtazamoa tu
 
Inamaana yele mtrilioni 18 zimeisha? Au ilikuwa ni bajeti ya kutudanganya! Ngoja serikali itakavyokuja na majibu ya kumnanga Utoh, maana serikali yetu kwa majibu mepesi ktk maswali magumu.

Tanzania iko hoi kifedha, asema CAG Dodoma. Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utoh amesema kuwa Serikali ya Tanzania iko hoi kifedha hivyo Bunge na Serikali lazima wajitathmini.
 
Tanzania iko hoi kifedha, asema CAG Dodoma. Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utoh amesema kuwa Serikali ya Tanzania iko hoi kifedha hivyo Bunge na Serikali lazima wajitathmini.
Wewe Tanzania lazima ichoke income 1 halafu unatumia 2 unategemea nini kama sio majanga.Na huyo presidaa mwenyewe kila siku kiguu na njia,tripu moja tuu madarasa 5 yamejengwa shule ya kata.
 
Vyama vya siasa kama CHADEMA wasitishe operation ili kutii ushauri wa CAG ; Mtazamoa tu

Hii Operesheni ya Chadema safari hii naona inawanyima sana usingizi! Tazama wananchi walivyoikubali. Mtapambanaaa, lakini hamtashinda. Operesheni itaendelea na wananchi wanahamasika sana! Leo mkoani Rukwa. Maandalizi ni ya kufa mtu!
 
Kimetokea nini mpaka tuchoke hivi!! Ndio maana hata mishahara sasa inalipwa kwa kubahatisha!! Awamu ya nne ilipoingia madarakani ilikuta akiba ya kutosha mpaka nyingine ikaanza kuzigawa, sasa nini kimetokea mpaka hata pesa ya kula inakuwa ya kubahatisha!!
 
Sio kweli, ingekuwa hivyo mkulu asingeenda Uswis na juzi tu katoka Marekani via Dubei.
 
tanzania iko hoi kifedha, asema cag dodoma. Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali (cag), ludovick utoh amesema kuwa serikali ya tanzania iko hoi kifedha hivyo bunge na serikali lazima wajitathmini.

samwel luhanga arudi fasta aangalie jinsi ya kufanya,najua atakuwa uswsis kufuatilia yale mabilioni
 
Kabla JOGOO hajawika utanikana mara 3. Kama wewe Thomaso subiri majibu ya Saada Mkuya, Mwingulu Nchemba na Adamu Malima
 
Sifikiri nchi kama Tanzania serikali yake
yaweza kuwa hoi kifedha...NAFIKIRI VIONGOZI NDIO WAPO HOI KIFIKRA!
 
Back
Top Bottom