Tanzania iko hatarini kushambuliwa na Al-Shabaab- Nahodha (Video ITV)

alshababu haipo hawa ni maajenti wa kuharibu uisilamu tuu
kamaa waweza kenya iwakamate
 
Journalism is the the poorest profession in Tanzania. Sio mwanahabari wa ITV tu, we ushaona mwandishi gani nchi hii anaweza ku interview viongozi kwa kuwabana mbavu ipasavyo? Tanzania hakuna true press.

Nakubaliana nawe kabisa na mimi kwa maoni yangu hii ni danganya toto ambayo magamba wanataka kuitumia ili kuhakikisha wanayazuia maandamano ya nchi nzima katika kudai katiba ambayo inakubalika na Watanzania wengi. Sasa kisingizio cha kuzuia maandamano nchi nzima itakuwa ni kuzuia shambulio la hawa wahuni wakati hawajaweka ushahidi wowote waliokusanya kuonyesha ukweli wa hii habari kwamba kweli hao wahuni wanataka kuishambullia Tanzania. Kwaninoi Kikwete asiwaite waandishi wa habari wakamuuliza maswali mbali mbali kuhusiana na mustakabali wa nchi yetu hata kwa masaa mawili au matatu na kama kuna ushahidi wowote uliokusanywa unaonyesha uwezekano wa kuwepo shamabulizi la hawa wahuni basi Kikwete atuambie Watanzania bila ya kutafuna maneno.

 
watu masikini kama sisi inabidi tuienzi tunu ya aman.tujitofautishe na wanyama ambao hawana busara.
wamemuuliza kwanini polisi wanatumia risasi za moto?
:anamuuliza mtangazaji wewe unafurahia kumwagiwa maji ya kuwasha au mabomu?watu hawaheshimu madaraka,hawaheshimu sheria.tujenge tabia ya kuheshiana.sisi tunaanza kwa hatua.tunaanza na bendera nyekundu,tarumbeta then lisasi za mpira halafu mabomu ya machozi theni mabomu ya vishindo yenye kutikisa.je ungekuwa wewe asikali ungefanyaje? mia

Boss hujisikii aibu page zote za thread hii unazijaza peke yako? si unge-compile halafu ikawa ni thread moja? hadi unakera!
 
Back
Top Bottom