Tanzania ikishinda hata mechi moja huko Egypt nitaanza rasmi kuishabikia!

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
3,246
5,756
Nasema haya nikiwa huru kabisa kwamba sijawahi kuitakia mema taifa stars na hakika kama watashinda hata mechi moja katika kundi walilopo na Senegal, Kenya na Algeria nitaanza rasmi kuishabikia hii timu ya taifa LANGU.
Kwa kuangalia tu Uganda walitupa fursa kama Simba walivyoipa fursa
CHURA FC aka frogs, aka ndala, aka bakuli fc.
Huyu Amunike kocha alipanga mabeki 9 na mshambuliaji mmoja kule lesotho sijui kule egypt ana mpango gani ila ajitahidi ashinde mechi moja tu ili nishabikie timu yangu kama enzi za MARCIO BARCELIO MAXIMO.
 
Hili litimu la taifa lipigwe tu maana linataka kutumika kisiasa na wanasiasa wahuni wasio hata na vyeti vya elimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom