Tanzania ikikosa sera nzuri za uwekezaji, dunia haisimami

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,489
40,999
Mipango na sera nzuri za kuvutia uwekezaji zitazifanya nchi za Nigeria, Mozambique na Angola kupokea uwekezaji wa mitaji mikubwa kwenye sekta ya mafuta na gas.

Tanzania yetu, pamoja na kuwa na gas na madini mbalimbali, uwekezaji kwenye sekta ya gas umesimama. Uendelezaji wa miradi mipya ya madini unasuasua kutokana na mashaka makubwa waliyo nayo wawekezaji juu ya sera na sheria zinazosimamia uwekezaji.

Mafanikio hutegemea mambo mawili - speed and accuracy. Mazungumzo juu ya uwekezaji kwenye sekta ya gas, yamechukua zaidi ya mwaka bila mafanikio (speed ni zero) lakini sisi wenyewe tunadhani tupo makini kuliko wengine.

Tanzania ni lazima irudi kwenye uhalisia wa uchumi na biashara, kodi zetu ni kubwa sana. Sera na sheria zetu zinabadilikabadilika kila wakati, na nyingi zinatungwa bila weledi wala kuzingatia ukweli wa kiuchumi na biashara katika Ulimwengu. Tusipobadilika, tutakaoathirika ni sisi na siyo Dunia.

...........................
Mozambique and Angola, after Nigeria, are the two sub-Saharan African countries expected to receive the most fixed asset investment up until 2025, at a total of US$12.8 billion, according to consultancy GlobalData.

The report, quoted by the Marketscreener website, says that Nigeria is expected to dominate the oil and gas sector in Africa in the next seven years with her Capital Expenditure (CapEx) outlook projected at $17.3 billion US$17.3 billion, while Mozambique will be the recipient of US$7.7 billion and Angola will receive US$5.1 billion between now and 2025.

“In sub-Saharan Africa, Nigeria leads investments in Capex, with ten oil and gas projects expected to start operating between 2018 and 2025, followed by Mozambique with two projects,” said the article citing a report by the leading data and analytics company .

In terms of announced projects, Nigeria once again leads with 13 projects, followed by Angola with five announced projects, according to GlobalData, reads the report on investment in oil and gas in sub-Saharan Africa.

GlobalData’s latest report: ‘H1 2018 Production and Capital Expenditure Outlook for Key Planned Upstream Projects in sub-Saharan Africa – Nigeria and Mozambique Dominate Capex Outlook’ indicates that a total of 64 planned and announced crude and natural gas projects are expected to commence operations in sub-Saharan Africa between 2018 and 2025.

Among these, 20 represent the number of planned projects with identified development plans and 44 represent the number of early-stage announced projects that are undergoing conceptual studies and that are expected to get approved for development.

“Total crude and condensate production from announced and planned projects in sub-Saharan Africa is expected to be around two million barrels per day (mmbd) in 2025 and the total natural gas production in 2025 is about 8.1 billion cubic feet per day (bcfd)” said GlobalData’s Oil and Gas Analyst, Joseph Gatdula, quoted in the article.

A proposed CapEx of $40.7 billion is expected to be spent on development of planned projects in sub-Saharan Africa, and $117.1billion is expected to be spent on key announced projects, adds the report.

Among countries, the top three in terms of highest planned capex spending are Nigeria, Mozambique and Angola with about $17.3bn, $7.7bn, and $5.1bn respectively during 2018–2025.

Among companies, Eni, Royal Dutch Shell and Total have the highest level of spending on planned projects with $7.2bn $5.6bn and $3.4bn, respectively. The highest level of spending on early-stage announced projects is by Royal Dutch Shell, Exxon Mobil Corp and Eni with $15.5bn, $12.9bn and $6.9bn spent on capex, respectively.

Source: Lusa / Marketscreener

ShareTweetLinkedinPinShareEmail
 
Nchi ambayo sheria za nchi haziheshimiwi sidhani kama kuna mwekezaji mkubwa anaweza kuwekeza, mfano Dangote sidhani kama ana hamu tena na kuendelea kuwekeza Tanzania
 
Hatuna haja kubwa ya kuwakibilia waizi ili waje kutuibia mapema.
Wewe unalilia wawekezaji, lakini niulize swali moja tu.

Tangu tumefanya uwekezaji mkubwa hapa Tanzania hasa sekta ya madini..
Ni kipi cha kujivunia kilichoendelea ili tujiridhishe, zaidi ya kutuibia kwa misamaha ya kodi na explorations za long term na mifano kama ya makinikia.

Hivi vigazeti unavyocopy hapa ni sehemu ya mikakati hao mabepari kututishia ili watuibie.

Kama Mozambique ni pazuri si waende wakapige mahela kimya kimya.
Propaganda za nini!
 
Mkuu Bams, hapa umeleta jambo moja muhimu sana kuhusu mazingira ya uwekezaji Tanzania, mambo kama haya, huwa hayachangiwi sana humu jf!.

Investment climate yetu ni very unpredictable. Tuna sera nzuri ya uwekezaji, tuna sheria nzuri ya uwekezaji, tuna taasisi nzuri ya uwekezaji, TIC, na tuna incentives nzuri sana za uwekezaji, tatizo ni unpredactibility!. Hakuna serious investor wa FDI atakubali ku take such a risk kwenye uwekezaji wake kama hana assurance ya security ya mtaji wake. Tumekaribisha investors kwa sheria ya zamani, wamekuja wamewekeza, kufika katikati unaamua kubadili sheria bila kuwashirikisha!.

Kwenye sheria mpya, tumejitoa MIGA,watu wanashangilia kama mazuzu vile kwa vile hawajui MIGA ni nini!, Lissu anawaeleza bungeni kuwa hili ni bunge la ajabu, mnawezaje kutunga sheria inayokwenda kinyume cha mikataba ya kimataifa iliyoridhiwa na bunge lile lile?!, kwenye hili la MIGA, we have no way out ni lazima tuu turudi!.

Tulipopitisha sheria mpya kwa mbwembwe, kuna watu humu tuliuliza
Zita Act Retro-Respectively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo?, Can we Stand?, Do we Have The Guts?. - JamiiForums

P.
Rejea za uwekezaji
Mafanikio ya Kituo Cha Uwekezaji Tanzania, TIC, Chini ya Julliet Kairuki - JamiiForums
Utumbuaji Majipu wa Rais Magufuli: Is It A Right Thing, At The Right Time, And Doing It Right, Or ?! - JamiiForums
https://www.forbes.com/sites/mfonob...criticizes-tanzanian-president-over-policies/
Hongera Rais Magufuli kwa kumruhusu Dangote achimbe Makaa ya Mawe, bado Reli na Gesi... - JamiiForums
Dangote arekebisha kauli ya ‘Bulldozer’. Asema “It's OK, I have his mobile number, I can call him and he listens to me” - JamiiForums
Wataalamu Hawa Wachunguzwe!,Jee Kuna Posibility Walihongwa Kutoa Ripoti Kuwa "Tanzania Hatuwezi?!". - JamiiForums
 
Hatuna haja kubwa ya kuwakibilia waizi ili waje kutuibia mapema.
Wewe unalilia wawekezaji, lakini niulize swali moja tu.

Tangu tumefanya uwekezaji mkubwa hapa Tanzania hasa sekta ya madini..
Ni kipi cha kujivunia kilichoendelea ili tujiridhishe, zaidi ya kutuibia kwa misamaha ya kodi na explorations za long term na mifano kama ya makinikia.

Hivi vigazeti unavyocopy hapa ni sehemu ya mikakati hao mabepari kututishia ili watuibie.

Kama Mozambique ni pazuri si waende wakapige mahela kimya kimya.
Propaganda za nini!

Mnapohubiri Tanzania ya viwanda na uchumi wa kati huwa mnamaanisha hivyo viwanda itajenga serikali?
 
Mkuu Bams, hapa umeleta jambo moja muhimu sana kuhusu mazingira ya uwekezaji Tanzania, yaani investmate climate yetu ni very unpredictable.
Mkuu, hii ni nchi ya ajabu sana, tunatengeneza mazingira magumu hata kwa our internal investors. Ni juzi tu nimeletewa notisi ya kudaiwa kulipa Service levi (kodi ya huduma), hata sielewi na sijaambiwa ni huduma gani napaswa kuzilipia. Kabiashara kangu ni halali, nalipa Mapato TRA, nalipa Leseni Manispaa, nalipa na weekly ushuru wa taka.
 
Hatuna haja kubwa ya kuwakibilia waizi ili waje kutuibia mapema.
Wewe unalilia wawekezaji, lakini niulize swali moja tu.

Tangu tumefanya uwekezaji mkubwa hapa Tanzania hasa sekta ya madini..
Ni kipi cha kujivunia kilichoendelea ili tujiridhishe, zaidi ya kutuibia kwa misamaha ya kodi na explorations za long term na mifano kama ya makinikia.

Hivi vigazeti unavyocopy hapa ni sehemu ya mikakati hao mabepari kututishia ili watuibie.

Kama Mozambique ni pazuri si waende wakapige mahela kimya kimya.
Propaganda za nini!

Tunaihitaji dunia kuliko dunia inavyotuhitaji, Ni sisi ndio tulikwenda kuwaomba watu waje kuwekeza na kuitangaza nchi yetu kupitia awamu ya tatu na awamu ya nne, makampuni yakaja yakawekeza kwa makubaliano sio mikataba walijitungia wenyewe bali ni watu wetu ndio walikaa nao mezani wakanegotiate na watu wakaja kuweka mitaji yao, ghafla bin vuu mnakuja kubadili sheria ambazo zitaathiri biashara za watu pasipo kufikiria mitaji mikubwa iliyowekwa (kuheshimu mikataba).

Mkuu umesahau kabisa watu wetu ndio wanaingia hii mikataba na hakuna anayewalazimisha bali akili zao fupi na upeo mdogo wa dunia ya sasa ya kibiashara na kibepari, Mkataba wa TICS ulisainiwa awamu ya tatu na watu wetu ndio walinegotiate wenye akili wakapiga kelele bungeni wakaitwa wasaliti na wazalendo wakasaini mkataba, mkataba wa Buzwagi na mingine ya madini pia watu walipiga kelele akiwemo TL lakini wakaonekana mataahira na wasaliti wazalendo wakasaini mkataba, mikataba ya madini juzi juzi tu hapa ilipelekwa bungeni kwa hati ya dharula mpaka watu wakasusia bunge wakitaka mjadala mpana wakaitwa wasaliti wazalendo wakasaini na mpaka sasa yaliyomo hakuna anayejua.

Kinachoongelewa na kulalamikiwa ni kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wa ndani na wa nje, kuweka mazingira rafiki ni pamoja na watu wetu kwenda kujifunza juu ya mikataba na namna nzuri ya kuweka sheria nzuri na taratibu nzuri kwenye uwekezaji hasa kwa mataifa yaliyofanikiwa na kunufaika na rasirimali zao. Watu wetu ni wajuaji huku hakuna wakijuacho, watu wetu hujiona wanajua kuliko kila mtu duniani mwisho wa siku ni kutunga sheria na sera mbovu zinazotupa ugumu kila mahali.
 
Wapo watu wanaobeza demokrasia kuzikwa hari kama hii haina tija hatuwezi kupata wawekezaji katika viwanda mahara maamuzi ya sheria za uwekezaji wa viwanda,mikataba nk haviwezi kuwa debated bungeni democratically,wabunge wetu wanapashwa washiriki kikamirifu kujadili kwa kina maswala haya sio kila kitu kusema NDIYOOO.KUMBE tuna maintain status quo.ambayo haina tija kiuchumi
 
1537344262052.png
 
Mkuu, hii ni nchi ya ajabu sana, tunatengeneza mazingira magumu hata kwa our internal investors. Ni juzi tu nimeletewa notisi ya kudaiwa kulipa Service levi (kodi ya huduma), hata sielewi na sijaambiwa ni huduma gani napaswa kuzilipia. Kabiashara kangu ni halali, nalipa Mapato TRA, nalipa Leseni Manispaa, nalipa na weekly ushuru wa taka.
Hakuna nchi yoyote Duniani iliyojenga uchumi wake kwa kutegemea wawekezaji wa ndani pekee yake. Unakaribisha wawekezaji wa nje kwa nia ya kuimarisha uwekezaji wa ndani.

Wawekezaji wadogo wa ndani wanastahili kulindwa, kuendelezwa na kutunzwa ili baadaye wawe wawekezaji wakubwa.

Wenzetu Ghana wawekezaji wa kati, hata VAT hutozwa 3%, na wadogo ni 0%. Lengo kubwa ni kutaka wakue haraka. Hapa kwetu wawekezaji wadogo na wakati, wengine wanauawa kwa kodi kubwa kabla hata hawajasimama.
 
Ni vyema watu wetu wakakubali kuwa na mawazo huru na kuamua kwenda kujifunza kwa watu waliofanikiwa kwenye sera hizi za uwekezaji na namna ya kuendesha hizi International business, Huwezi kufanikiwa kwa kutegemea hawa Maprofesa wa UDSM waliosoma na kujua theory mwanzo mwisho halafu ukawaleta waje wazitumie nadharia (theory) zao kwenye practical world. Tuache kujifungia ndani na kuona tunajua kila kitu na dunia inatugemea kumbe ukweli sio hivyo, exposure ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi hii kuliko hizi theory(nadharia tunazoamini).

Tukajifunze kwa waliofanikiwa kwenye hii mifumo hasa wale ambao mazingira yetu tunafanana nao, nchi kama Ghana kuna kitu tunaweza kujifunza kwenye madini na uwekezaji, pale Nigeria pia tunaweza kuchukua kitu, South Africa tunaweza kujifunza pia, Angola tunaweza kuchukua kitu, Mozambique pia tunaweza kupata kitu. Tunaweza kujifunza pia Malysia, Singapore, Indonesia, South Korea kwa nini waliweza kwenda juu kwa haraka kiasi cha kufikia uchumi mkubwa.

Ukiweka mazingira mazuri kuanzia kwa local investor's(wadogo, kati na wakubwa) utapata faidi nyingi kama kuongeza mzunguko, kuwapa vijana wengi ajira, kukusanya mapato mengi, na utasaidia pia uchumi kushikiliwa na wazawa kwa kiasi kikubwa. Ukiweka mazingira mazuri utasababisha investor's wa nje wengi kutokuwa na mashaka na uwekezaji wa Tanzania hivyo watakuwa tayari kuweka mitaji mikubwa hapa ambayo itanufaisha nchi na watu wake.
 
Back
Top Bottom