Tanzania ijifunze toka Tunisia; Wananchi wakizidiwa watawala hutimuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ijifunze toka Tunisia; Wananchi wakizidiwa watawala hutimuliwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chumvi1, Jan 14, 2011.

 1. C

  Chumvi1 Senior Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 137
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  TUNIS (AFP) – Tunisian President Zine El Abidine quit on Friday after 23 years in power and fled the north African state as the authorities declared a state of emergency following deadly protests.
  Prime Minister Mohammed Ghannouchi announced on that he had taken over as interim president, after a day of violent clashes between rock-throwing protesters and riot police in the streets of central Tunis.
  "I call on Tunisians of all political persuasions and from all regions to demonstrate patriotism and unity," Ghannouchi said in a solemn live address.
  Government sources told AFP that Ben Ali had left the country but it was not immediately clear where he was headed.
  Ben Ali had promised on Thursday to stand down at the end of his mandate in 2014 and said the prices of basic foodstuffs would be cut.
  Ghannouchi announced after another day of violence Friday that the government had been sacked and elections would be held in six months.
  Ben Ali's dramatic departure came after several tumultuous weeks in which a protest over high food prices and unemployment in central Tunisia escalated and spread across the country, with anger against the president spilling into the streets.
  "We just want democracy," 24-year-old Hosni, his face wrapped in a Tunisian flag against tear gas, said during riots ahead of the president's departure.
  Tarek, 19, an engineering student with a rock in one hand and a metal bar in the other, said: "Our president has promised a lot. They're empty promises."
  Protesters even descended on the interior ministry in Tunis, one of the symbols of 74-year-old Ben Ali's iron-fisted rule, where they openly chanted for his swift departure and paid tribute to the "blood of the martyrs".
  "I've never seen anything like this. This is our chance. We'll never have another chance like this," said Adel Ouni, a 36-year-old diplomat, observing the protest, adding: "This is a social revolution."
  "This is a demonstration of hope," Moncef Ben Mrad, editor of an independent newspaper, said at the protest in Tunis earlier on Friday.
  "It is the birth of a people who demand more freedom and that the families that have looted the country return the wealth and are called to account."  MY TAKE ON THIS:
  YOTE YANAWEZEKANA KUMBE SIKU YAO INAKUJA POLISI HAWATAWEZA KUUA WATANZANIA WOTE: KIKWETE AWE MAKINI NA ANAVYOIENDESHA NCHI HII, NI NCHI YA WANANCHI WA TANZANIA KUNA SIKU ATAIKIMBIA IKULU ILE WADANGANYIKA WAKISEMA IMETOSHA SASA.


   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  jipe moyo mkuu...........ila usihof we gonna tek out hili NUNDA.
   
 3. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  si rahisi kumtoa hapa kati maana muda muafaka wa kumtoa ilikuwa ni kile kipindi cha uchaguzi mkuu
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hii ya tunisia should serve the warning to inept leaders accross the continent!
   
 5. n

  nomasana JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 789
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  i love seeing stories like this. it really drives the point home that normal regular citizens are the owners of the country not the political and business elites.

  revolutions are baptism by fire, every stable successful nation has had to go through a revolution of some kind. you cant be a stable nation without this baptism by fire. it comes to a point where the miserable reality in which a country is living in dawns on people and then the citizens realise that not unless they take matters to their own hands nothing will change.

  kenya and uganda already went through their baptisms by fire now it is tanzania's turn, if CCM doesnt change its ways soon there will be a revolution of some kind in the land of tanzania.
   
 6. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Raia wa nchi ya Tunisia jana wamefanikiwa kumtoa madarakani Rais wao kufuatia maandamano ya amani yaliyofanyika nchini humo kwa siku kadhaa. Vuguvugu la kudai haki linaloendelea nchini Tz hivi sasa kama likisambaa kila mahali, linaweza kumng'oa JK madarakani bila ya kumwaga damu. Tunisia walisema 'enough is enough' kwamba 2014 ni mbali, na sisi je, 2015 si mbali zaidi?
   
 7. amanibaraka

  amanibaraka JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Anzisheni hayo maandamano lakini mjue sehemu ya people's power ipo in favor of Kikwete. Kwa hiyo kama mnataka tupigane wenyewe kwa wenyewe poa anzisheni. but u will e responsible.
   
 8. T

  Think Tank JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 234
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hivi huwa hamjiulizi kwanini maandamano kwetu yanapigwa vita?Sehemu yoyote ile wananchi wakitaka kupaza sauti zao kwa viongoz waliolala kama wetu ni kuandamana tu,na polisi kazi yao kuwalinda wananchi na mali zao ktk sehemu hiyo ya maandamano.Sis hatuwez kufikia hatua ya Watunisia!Ni watz wangapi wamejiua kwa ajili maisha magumu?Kuna maEPA,MEREMETA,BUZWAGI,RICHMOND,leo DOWANS wanasubilia fedha yao kiulaini!Tumefanya nini?Bei zinapanda kila siku!Mfano umeme!Tunasubili nani aje apinge hili?Ajira hakuna!Tunaambiwa wametoa ajira milioni moja na kitu!Eti hata kufungua kizibo cha bia ni ajira?Wanamikataba hao!Wanajulikana na NSSF AU LAPF hao?Lakini tunawapigia makofi utafikiri wanaongea pointi!Hivi tumerongwa na nani?Uzalendo upo wapi?Tumebakia kulalamika tu!Unafikiri haki inapatikana kwa kulalamika na ushabiki!Tukitaka haki lazima tuyatoe maisha yetu kwa ajili ya vizazi vjavyo kama yule kijana wakitunisia.Mimi namwona shujaa wa taifa hilo amemwondoa Ben Ali.Sisi tunabaki siku zao zinahesabika,ipo siku,sijui nini!Ktk suala la mapinduzi yawe ya kiuchumi,kisiasa,kiutamanduni tutabakia kuwashabikia wenzetu!Ni hayo tu machache!
   
 9. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hivi mnajua kilichotokea Tunisia au mnapiga makelele tu nasie twataka ? Yaani hiyo habari yote hapo juu itawauza kwa bei rahisi kabisa maana hakuna cha kweli kilichoandikwa na ambacho kiliwasha moto wa mabadiliko ya Tunisia na kilichotokea.

  Ndugu zanguni kilichojiri Tunisia ambacho hakikuelezwa hapo ni kisa kidogo sana na ambacho hapa kwetu imekuwa ni tukio la kawaida,kama umewahi kusikia hawa jamaa zetu wamachinga wauzao bidhaa zao bila ya kuwa kibali au sehemu maalum ya kufanyia biashala zao,mgambo au asikari wa tunisia walimwagia jamaa mbogamboga zake zikiwemo nyanya na bidhaa zingine wakimtuhumu kuwa akiuza bila ya kibali (machinga kwa hapa kwetu) ,jamaa alichezea kisago kitakatifu cha mgambo hao ila baada ya kumaliza ,jamaa alijiwasha moto na kufariki ,hapo ndipo cheche zilipoanza na habari zake kuenea kama moto wa nyasi huku zikiwapandisha wananchi mori wa kuisakama serikali na hadi hapa tulipofikia raisi ameshakimbia nchi na jamaa wanasema haitoshi wale waliomzunguka wote nao waondoke. Mnayaweza ? Hivi Kikwete aliwafukuza watu huko vijijini si mliwapokea kwa zulia jekundu au si kweli ? Wacheni longolongo zenu.
   
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  It takes courage for which we Tanzanians are lacking!
   
 11. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Piga moyo konde tutashinda siku moja
   
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...huwezi chagua mwisho wa mambo haya, tunaweza jikuta sawa au worse than Somalia vile vile.
   
 13. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  ameshapokelewa Saudi arabia baada ya kukataliwa N anicolas Sarkoz kwenda France kama alivyokuwa amepanga yeye mara ya kwanza, je JK atakimbilia wapi
   
 14. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #14
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Endelea kukaa huko huko Mozambique maana kunakufaa kwa kutafuna pesa za walipa kodi.
   
 15. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,714
  Likes Received: 3,121
  Trophy Points: 280
  Mwiba acha kututadanganya wote tunafahamu kisa cha yote haya yaliyotokea Tunisia. Kuanzia yule mtu aliyejichoma moto na kufia hospitali etc. sasa unafikiri Tz. hatuna mifano hiiyo? Hawa polisi wanaojichukulia sheria mikononi ndio itakuwa mojawapo ya chanzo cha kumfanya mtu akimibie nchi. Kukifanyika maanadamano usiku na mchana kama yale ya Arusha atabaki mtu kweli? Ushauri kwako mwambie rais wako ni bora akajipumzishe nchi imemshinda period sio kutuletea uongo wako hapo eti mnajua mnajua asiyeangalia CNN, BBC etc. ni nani au unafikiri ni wewe tu vile unakaa first world ndio unaona acha upuuzi wako hapo.
   
 16. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #16
  Jan 15, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Big up Tunisians! You need to be emulated!

  Wenzetu wakilianzisha wanapambana kiukweli. Ukandamizaji (na mauaji) ukiendelea nasi tutafikia huko.
   
 17. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #17
  Jan 15, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,054
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  Kama mnavyofuatilia, rasi wa Tunisia, Zeyn al Abedeen bin Ali, amefukuzwa nchini kwa nguvu za wananchi waliofanya maandamano makali. Bw Bin Ali sasa yuko Saudi Arabia kama mkimbizi.
  Matukio haya yanatukumbusha yale yaliyomfika Shah wa Iran mwaka 1979. Ilikuwa hivi hivi. Baadaye matukio nya Ukraine na nhi nyingine za Ulaya Mashariki, kama vile Bulgaria pia yamefuatia mfumo wa wananchi kusema 'enough is enough'
  Bila shaka matukio haya yanapotokea huwatia taharuku viongozi wote wanaoongoza kwa mabavu na uonevu.
  Kitu kimoja ambacho napenda kukiangaza hapa ni kuwa raia wa Tunis, kama wa Tanzania, ni watu watulivu sana. Kwa kweli hii ni mara ya kwanza kufanya vurugu kubwa namna hiyo. Jambo hili linaishiria kuwa wale wanaowafanya wapumbavu wananchi wao kwa kuona kuwa wana nguvu za dola, na kuaminishia utulivu na amani ya wananchi hao, wasijione wako katika hifadhi ya milele. mambo yanaweza kugeuka kwa siku moja tu. Inabakia kuongeza kuwa katika hali ya Afrika Tunisia siyo nchi maskini kama Tanzania, na wananchi wake hawakuwa wamekandamizwa mno kisiasa na kiuchumi kama Watanzania. Ila tofsuti kubwa ni kuwa Watunis ni wasomi, hata katika vigezo vya Kimataifa. labda hili ndilo linaloendelea kuwapa tamaa viongozi msonge wa Bongo wakiaminishia ujinga wa Watanzania!
   
 18. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #18
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mimi nadhani cha muhimu ni kutambua kwamba in the absence of freedom and justice peace will always elude this continent,which doesn't serve any one but the greedy corporates and corrupt politicians!
   
 19. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #19
  Jan 15, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Wana JF nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana kile kilichokuwa kinajiri kwenye nchi ya jamaa zetu wa kule Kaskazini mwa Afrika yaani TUNISIA. Jina la TUNISIA linafanana kwa namna jina la Tanzania lilivokaa yaani TANZANIA. Zote zinaanza na "T" na kumalizia''A''
  SIfamojawapo ya marais wa nchi zote mbili ni WAISLAMU.


  Tunisia imekumbwa na mgogoro wa kisiasa ULIOSABABISHWA NA MAANDAMANO YA WANANCHI WAKILAMIMIKIA MAMBO MUHIMU YA MAISHA yakiwa ni pamoja na:
  1. Kupanda kwa gharama za Maisha.
  2. Ukosefu wa Ajira.
  3. Rushwa na Ufisadi uliokithiri mipaka.
  Baada ya Wa-Tunisia kuanzisha maandamano kupinga hali hizo tatu muhimu,KAMA KAWAIDA YA UTAWALA DHALIMU POLISI WALIANZA KUZUIA MAANDAMANO KWA NGUVU IKIWEMO KUTUMIA RISASI ZA MOTO iliyopelekea watu karibia 200 kupoteza maisha.

  Baada ya mauaji Rais ZINE el BEN aliamua kumfukuza kazi Waziri wa Mambo ya ndani. Bado haikusaidia kitu maandamano yakawa yako palepale,Rais akaamua kulihutubia Taifa kwa njia ya TV akiahidi kupunguza gharama za vitu na kuongeza ajira,bado Watunisia hawakumwelewa. Jana Ijumaa 15/01/2011 Zine Ben Ali AKAAMUA KUMWAGA MANYANGA, NCHI IMEMSHINDA NA HAITWALIKI.

  Rais huyu ameitawala Tunisia kwa zaidi ya miongo 2(23 years). Jana amekimbia nchi maana imemshinda. Huyu Rais ana tuhumiwa kuwa MARA TU BAADA YA KUINGIA MADARAKANI ALIANZISHA SERA YA UGENISHAJI(UBINAFSISHAJI) na akaanza kuyauza Mkampuni na Mashirika ya Umma kwa kasi ya ajabu HUKU YEYE MWENYEWE AKIMTUMIA MKEWE KUJINUFAISHA NA UGENISHAJI HUO.

  LESSON: Haya matukio ya Tunisia yana shabihiana kabisa na KILE KINACHOENDELEA HAPA kwetu Tanzania. Kwamba Watawala wetu hawa CCM wanatakiwa haya Matukio ya Tunisia wayachukulie kwa umakini mkubwa. Kwani kilichotokea TUNISIA CHAWEZA PIA KIKATOKEA HAPA TZ KIRAHISI KABISA NA CCM WAKAMWAGA MANYANGA.

  Hali zote zilizosababisha Rais wa Tunisia hata hapa TANZANIA zipo na ziko wazi kabisa. Kwa hiyo ni swala la muda tu. MUDA UTAKAPOFIKA POLISI WATAFANYA MADUDU YAO KAMA WALIVOFANYA ARUSHA. HAPO NDIPO NCHI NZIMA ITAKAPOWAKA MOTO. Hakuna kifaru wala RISASI itazuia UMMA UKIAMUA KUING'OA SERIKALI KWA MAANDAMANO.

  Kwa hiyo CCM kaeni mkao wa kula. Vuguvugu limeshaanza. Kikwete get prepared for the IKULU EXIT unless you change the situation.


  Hali ya Ufisadi bado inazidi kuitesa na kuinyanyasa CCM na serikali yake. Huo ndiyo ukweli.
  1. SERIKALI YA CCM TAYARI MMESHAUA HUKO ARUSHA.
  2. PESA YA KUILIPA DOWANS(RICHMOND) INATAYARISHWA.
  3. EWURA TAYARI WAMESHAPANDISHA UMEME BAADA YA KUWAPA BARAKA ZAKO.
  4. PETROL/DIESEL IMEKUWA IKIPANDA KILA SIKU.
  5. THAMANI YA SHILINGI INAZIDI KUPOROMOKA NA HUJACHUKUA HATUA YOYOTE.
  6. MIGOMO VYUO VIKUU IMEANZA KUTIKISA NCHI UDOM,UDSM na kwingineko.
  Hizi zote ni dalili mbaya sana kwa serikali iliyoko mamlakani. Kwa hiyo nasema CCM get prepared,the time is nigh! SOMO LIMESHATOLEWA NA WANANCHI WA TUNISIA. Who will be next??
   
 20. misorgenes

  misorgenes JF-Expert Member

  #20
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  play to GOD isihappen tz! askari wetu wataua watu ka wezi!
   
Loading...