Tanzania iimarishe ushirikiano na Iran, Korea Kaskazini na jeshi liwe tayari kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani endapo wataendelea kutuandama

Leo ndiyo nimejua maana ya neno SHENZI TYPE ! wanapatikana kwenye vitundu vya Lumumba nasikia ukipita pale Lumumba halafu ukisimama nje ukisema kwa nguvu shenzy type! Utaona vinachomoka kwenye vitundu na mashati ya kijani utadhani vitoto vya panya mzee
 
Haina haja ya kwenda mbali. Wangetumia sayansi ya kiafrika toka Sumbawanga, yaani USA wakizingua wataalam wetu wanatuma radi white house. Pia wataalam wanaweza kumtumia nyuki Pompeo au hata trump ili ajue kwamba utaalam tunao. Pia masenate wote wanaiponda Tanzania wanajishindia zawadi ya mabusha.

Ni muda wa kutumia wataalam wa ndani.

Ni mawazo tu.
 
Hatuna manowari wala nyuklia, wala makombora ya masafa marefu.
Tukipambana na marekani ndani ya dakika kumi tutakuwa hatuna ndege za kivita wala meli.
Wanajeshi wetu na migobole yao watapigwa toka angani, hawatamuona adui.

Nchi masikini kama yetu haitakiwi kujimwambafai kwa mabeberu.
Ni kutowaudhi tu mambo yataenda murua.

..hujaona makomando wetu wakipasua matofali kwa kichwa?

..au askari wanaovuta kifaru kwa meno?
 
Iran, Korea Kaskazini wamemudu kuwadhibiti wamarekani

Nashauri tuunde umoja wa kushirikiana katika mambo mbalimbali

Pia jeshi letu like mkao wa kula kumnyuka mmarekanj endapo ataendelea kushambulia viongozi wa serikali
[/QUOT

Mawazo ya kipuuzi kabisai ya mtu aliyeshiba we wali maharage...

E]
 
Iran, Korea Kaskazini wamemudu kuwadhibiti wamarekani

Nashauri tuunde umoja wa kushirikiana katika mambo mbalimbali

Pia jeshi letu like mkao wa kula kumnyuka mmarekanj endapo ataendelea kushambulia viongozi wa serikali
Haya mateja mbowe sijui hayapi ngada sikuhizi?
 
Haina haja ya kwenda mbali. Wangetumia sayansi ya kiafrika toka Sumbawanga, yaani USA wakizingua wataalam wetu wanatuma radi white house. Pia wataalam wanaweza kumtumia nyuki Pompeo au hata trump ili ajue kwamba utaalam tunao. Pia masenate wote wanaiponda Tanzania wanajishindia zawadi ya mabusha.

Ni muda wa kutumia wataalam wa ndani.

Ni mawazo tu.
hii japo itasaidia kuliko kupambana na mmarekani huku ukitumia gobole
 
Iran, Korea Kaskazini wamemudu kuwadhibiti wamarekani

Nashauri tuunde umoja wa kushirikiana katika mambo mbalimbali

Pia jeshi letu like mkao wa kula kumnyuka mmarekanj endapo ataendelea kushambulia viongozi wa serikali

Katika miaka yako 5 ya hivi karibuni kuna bidhaa yoyote ya inchi ulizotaja ambayo umewahi kununua?
 
Kwanini mods wa JF wanazipendelea nyuzi za wavutabangi na wala ugoro kuliko zile za kuikosoa serikali?

Ukiandika kukosoa hasa ukimtaja malaika mkuu LUCIFER uzi wako hauna hata dakika 2 umeungwa na nyuzi nyingine. Lakini ukiandika baada ya kula bangi, ugoro kisha ukamalizia na gongo uzi wako utatamalaki mpaka raha.
Msalimie John Stephano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Afrika kuna sayansi ya kiafrika, kwanini wasingetumia kipindi kile cha biashara ya utumwa na ukoloni? Hawa jamaa tutaendelea kusubiri sana.
Haina haja ya kwenda mbali. Wangetumia sayansi ya kiafrika toka Sumbawanga, yaani USA wakizingua wataalam wetu wanatuma radi white house. Pia wataalam wanaweza kumtumia nyuki Pompeo au hata trump ili ajue kwamba utaalam tunao. Pia masenate wote wanaiponda Tanzania wanajishindia zawadi ya mabusha.

Ni muda wa kutumia wataalam wa ndani.

Ni mawazo tu.
 
Kwenye vita vya maji maji, wafrika wangeshinda. Kipindi cha biashara ya utumwa na ukoloni wafrika wote walikuwa wanapelekeshwa kama kuku na sikuona hiyo sayansi ya kiafrika inatumika.
hii japo itasaidia kuliko kupambana na mmarekani huku ukitumia gobole
 
Kwanini mods wa JF wanazipendelea nyuzi za wavutabangi na wala ugoro kuliko zile za kuikosoa serikali?

Ukiandika kukosoa hasa ukimtaja malaika mkuu LUCIFER uzi wako hauna hata dakika 2 umeungwa na nyuzi nyingine. Lakini ukiandika baada ya kula bangi, ugoro kisha ukamalizia na gongo uzi wako utatamalaki mpaka raha.
Yaani mkuu wewe acha tu, nilichobaini humu kuna mod wa CCM kaajiriwa si bure na Melo alimpa kazi bila kujua itikadi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ndiyo nimejua maana ya neno SHENZI TYPE ! wanapatikana kwenye vitundu vya Lumumba nasikia ukipita pale Lumumba halafu ukisimama nje ukisema kwa nguvu shenzy type! Utaona vinachomoka kwenye vitundu na mashati ya kijani utadhani vitoto vya panya mzee
Mkuu una pesa za kugharamia matibabu ya mbavu zangu?
Kwa sababu umenichekesha hadi nashindwa kupumua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye vita vya maji maji, wafrika wangeshinda. Kipindi cha biashara ya utumwa na ukoloni wafrika wote walikuwa wanapelekeshwa kama kuku na sikuona hiyo sayansi ya kiafrika inatumika.
mimi natania tu, ili niupe furaha moyo wangu.
sikia, kwenye vita hakuna uchawi labda uwo uchawi Tz ikautumie kupigana na wafipa(sumbawanga)
 
Back
Top Bottom