Tanzania iimarishe ushirikiano na Iran, Korea Kaskazini na jeshi liwe tayari kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani endapo wataendelea kutuandama

Iran, Korea Kaskazini wamemudu kuwadhibiti wamarekani

Nashauri tuunde umoja wa kushirikiana katika mambo mbalimbali

Pia jeshi letu like mkao wa kula kumnyuka mmarekanj endapo ataendelea kushambulia viongozi wa serikali
Huyo idi amini tu, alikutoa jasho, hadi leo hii unasingizia uchumi haukui kutokana na vita ile!!! Yaaani unajiandaa tu, unajikuta huna hata zana moja, zote zishakuwa scraper!! Ndege zenyewe hizo za miaka ya 60!!!
 
The comedy 😂😂😂
 
Unaumwa mavi
 
Hatuna manowari wala nyuklia, wala makombora ya masafa marefu.
Tukipambana na marekani ndani ya dakika kumi tutakuwa hatuna ndege za kivita wala meli.
Wanajeshi wetu na migobole yao watapigwa toka angani, hawatamuona adui.

Nchi masikini kama yetu haitakiwi kujimwambafai kwa mabeberu.
Ni kutowaudhi tu mambo yataenda murua.
Kwa kweli huyo anayesema tumpige marekani tutampiga kutokea wapi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran, Korea Kaskazini wamemudu kuwadhibiti wamarekani

Nashauri tuunde umoja wa kushirikiana katika mambo mbalimbali

Pia jeshi letu like mkao wa kula kumnyuka mmarekanj endapo ataendelea kushambulia viongozi wa serikali
Hahahaahahahaa sijutii kujiunga na Jamiiforum maana birudani kama hizi ni nadra kuzipata katika platform nyingine ! Daaaah umenivunja mbavu kweli jamani hahahahaahahahahha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeipenda hii
Hatuna manowari wala nyuklia, wala makombora ya masafa marefu.
Tukipambana na marekani ndani ya dakika kumi tutakuwa hatuna ndege za kivita wala meli.
Wanajeshi wetu na migobole yao watapigwa toka angani, hawatamuona adui.

Nchi masikini kama yetu haitakiwi kujimwambafai kwa mabeberu.
Ni kutowaudhi tu mambo yataenda murua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuna manowari wala nyuklia, wala makombora ya masafa marefu.
Tukipambana na marekani ndani ya dakika kumi tutakuwa hatuna ndege za kivita wala meli.
Wanajeshi wetu na migobole yao watapigwa toka angani, hawatamuona adui.

Nchi masikini kama yetu haitakiwi kujimwambafai kwa mabeberu.
Ni kutowaudhi tu mambo yataenda murua.
Dakika kumi?
 
Mzee viroba vilizuiliwa wewe unavipata wapi kaka?? Kweli kwa akili zako unataka USA apigwe na Tz hao Iran unaowasema walirusha bomu za masafa kwenda Iraq wakakaa kimya na wao wana jeshi la ukweli ukweli...lina vifaa hatari sana kabisa ..nyie mna nini mzee kuweza kurusha bomu Marekani??

Kaka usicheze usilete utani....usituletee balaa sisi kila mtu abebe mzigo wake anaefanya mambo ya ajabu akidhani dunia haioni kisa tu nyie watz hamwezi kukosoana abebe mzigo wake..sisi hatumo wala hatuna uwezo kuipiga USA hata kuitemea mate hatuwezi ila kama USA River sawa.
 
Huyo idi amini tu, alikutoa jasho, hadi leo hii unasingizia uchumi haukui kutokana na vita ile!!! Yaaani unajiandaa tu, unajikuta huna hata zana moja, zote zishakuwa scraper!! Ndege zenyewe hizo za miaka ya 60!!!
Mtoa mada ni wa kuhurumiwa.
 
Iran, Korea Kaskazini wamemudu kuwadhibiti wamarekani

Nashauri tuunde umoja wa kushirikiana katika mambo mbalimbali

Pia jeshi letu like mkao wa kula kumnyuka mmarekanj endapo ataendelea kushambulia viongozi wa serikali
Umeongea kama mlevi
 
Jeshi la wapi hilo hali nao wameuchoka uovu wao ni wahanga Wa pia Wa kutopandishwa mishahara.Ukiongea nao wengi wanakwambia uoga wenu nyie ndo mwawaangusha mkilianzisha wao wanamaliza
Iran, Korea Kaskazini wamemudu kuwadhibiti wamarekani

Nashauri tuunde umoja wa kushirikiana katika mambo mbalimbali

Pia jeshi letu like mkao wa kula kumnyuka mmarekanj endapo ataendelea kushambulia viongozi wa serikali
 
Iran, Korea Kaskazini wamemudu kuwadhibiti wamarekani

Nashauri tuunde umoja wa kushirikiana katika mambo mbalimbali

Pia jeshi letu like mkao wa kula kumnyuka mmarekanj endapo ataendelea kushambulia viongozi wa serikali
Kupata vichekesho kama hivi tunabonyeza ngapi?

Daaah aisee
 
Wewe unajua sana
Hatuna manowari wala nyuklia, wala makombora ya masafa marefu.
Tukipambana na marekani ndani ya dakika kumi tutakuwa hatuna ndege za kivita wala meli.
Wanajeshi wetu na migobole yao watapigwa toka angani, hawatamuona adui.

Nchi masikini kama yetu haitakiwi kujimwambafai kwa mabeberu.
Ni kutowaudhi tu mambo yataenda murua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran, Korea Kaskazini wamemudu kuwadhibiti wamarekani

Nashauri tuunde umoja wa kushirikiana katika mambo mbalimbali

Pia jeshi letu like mkao wa kula kumnyuka mmarekanj endapo ataendelea kushambulia viongozi wa serikali

naunmga mkono hoja
Sis ni DONOR kantriii!!

WASITUTISHEE!
 
Back
Top Bottom