Baraghash
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 2,713
- 1,789
Kipindi kirefu kilichopita ima kwa makusudi au kutokujua Tanzania bara inaitumia Ghuba ya Zanzibar kupiitisha meli kujikusanyia fedha kutokana na mapato ya (martime) kwa bandari zake za Tanga na Dar es salaam
Ghuba ya Zanzibar ( Zanzibar channel) ni ukanda wenye urefu wa Km 120 na Upana wa Km 40, Mpaka ulioitenganisha bara na Zanzibar, na Ghuba ipo salama kwa kuwa eneo lote limekuwa "navigated" kazi ilioigharimu Zanzibar fedha nyingi sana
Mlango wa Kuingia kwenye ghuba kwa kaskazini kuna anzia bahari ya Kenya (Mombasa strip iliopewa Kenya na Waingereza na Zanzibar kulipwa fidia) na kwa kusini mlango wa ghuba una anzia Ras Kanzi Km 22 kusini mwa Dar es salaam.
Juzi Nahodha alipokuwa anachangia hotuba ya bajeti alionekana kiroja pale alipotaka mgawanyo wa mapato ya Muungano kati ya SMT na SMZ ueleweke
Taifa la Misri linafaidika sana na mapato yatokanayo na ghuba yao, kwanini isiwe na Zanzibar.Tudai malimbikizo za fedha zetu kama vile tunavyodai za BoT na manyanyaso sasa yakome!