Tanzania ICT Companies na PICHA za WAZUNGU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ICT Companies na PICHA za WAZUNGU

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chief Lugina, Jan 26, 2012.

 1. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii naona imekuwa too much unakuta mtu ana kampuni yake ya kitanzania kabisa baada ya kuweka picha za kitanzania anaamua kuweka wazungu ili iwe nini? uvivu au? maana tunajua wengi wana customize templates sasa yaani hata picha tu unashindwa kubadilisha? Mimi siamini kila picha ya mzungu inaweza kukusababisha wewe upate clients wengi bali ni juhudi za kutafuta wateja na kufanya kazi nzuri Check huu mfano wa hawa jamaa Web Designing Development E-commerce M-commerce Business Consultancy LAN WAN Service Data Entry BPO SEO Services at Tanzania. bila hata aibu anajiita professional. Sasa sisi wateja tukuamini vipi wakati zoezi dogo tu la Customize Template limekushinda tukikupa hiyo m-commerce si itakuwa tabu tupu...Let us change hii fani acheni kuidhalilisha bana.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  kumbe umewashastukia. Na hapo hiyo ni site ya developer. Hako kajamaa kaiamua kuwa sue kutumia image yake bila idhini sijui watasemaje
   
 3. rfjt

  rfjt Senior Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  "Muzungu worshippers!!!!!..."
   
 4. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Quack professionals for quack clients.
   
Loading...