TANZANIA I.T YOUTHS ACADEMY ( Kwa kuendeleza vipaji) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANZANIA I.T YOUTHS ACADEMY ( Kwa kuendeleza vipaji)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Given Edward, Oct 19, 2011.

 1. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Salamu Wakuu.
  Nina wazo kwamba wizara au Taasisi husika au hata wadau watakaoweza kukaa kuunda Academy ambayo itaweza kuendeleza vipaji tofauti vya technology kama vile programming, web design, animation, hardware, graphics na vitu vya namna hiyo. Mtaani kuna teens wengi tu ambao wanafanya hivi vitu for fun. Hii Academy ndio ita act kama THT (Tanzania House of Talent) ya I.T. Hata pale wafanyakazi watakapohitajika, hii taasisi itakuwa ina recruit tu. Ni kama inavyokuwa kwa soccer schools. Mnaonaje wakuu? Nawasilisha.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Utekelezaji tu, wazo si baya ila linahitaji refinement kidogo.
   
 3. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Could you please refine it, further?
   
 4. jipitishe

  jipitishe Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wazo zuri sana. Mi naona tuandae meeting weekend moja then wadau tujadili kuhusu hilo kwa kina.....
   
 5. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  Wazo zuri saana! Wadau ambao wapo tayari wapost humu.
   
 6. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  niwazo zuri ambalo linaweza kutusaidia kupanuana mawazo na kujiendeleza zaidi kwa maana ya kubadilishana ujuzi!

  acha niku pm kwanza!
   
 7. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nashukuru Mkuu.
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wazo zuri sana
  Lakini huwa nashangaa sana watu wanapotaa kufanya kitu tena wanatenolojia wa ICT wanasisitiza kukutaana kwa style ya mwaka 1947.

  Watu wanaweza kufanya conference skype au yahoo. Mtazamaji akiwa porini, mwingine akiwa, US mwingine akiwa tokyo. Wote kama watanzania Teknolojia intakiwa iwawezesha wafanye kitu fulani wa ushriania regarless of thier location As long as wana net.

  ICT na internet imewezesha hayo ndio manaa tunaita tuko atika zama za dunia kama Kijiji(global village)Sasa mi nakumba Gienality wakati unafikria hilo fikriia mkutano kama mwana IT. Mambo ya kutegemea mikutano ya break point au Rose garden kama ya vikao vya harusi japo ni mazuri lakini hatuoneshi ikama tunatumia vilivyo hizi teknolojia zilizopo.

  Developer wa Joomla au wordpress hawapo nchi moja. Infact unaweza kuanzisha thread hata hapa JF thread hiyo ikawa ndio "E-ukumbi" wa mkutano.
  Ukisema mikutano wa njia ya kizamani utawatenga wa arusha , Dodoma mbeya , Mwanza na hata wale wa US na majuu. Ukifanya "e-mkutano" basi patauwepo na pool kubwa ya watu

  But Nisikatishe tamaa endeleeni . Mi nitashiriki mambo yakishaiva. kama utakuwa karibu na kwenye wilaya niliyopo.
   
 9. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #9
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ahsante! What do you suggest, ianzishwe thread? Au skype conferencing? (with slow conn. of TZ?)
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Givenality Just push your idea.
  U can Ignore hiyo advice niiliyotoa hapo juu sababu it once failed tulivyojaribu kufanya kitu fulani hapa. So wewe endelea but tujulishe tujue eneo la tukio tuone kama tunaweza kuwepo
   
 11. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #11
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Perhaps we should first try call conferencing.
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Givenality Sio lazima iwe call conference inaweza ikawa chat conference. au hat foru m discussion then .wenye hizo chat conference au hata hapa kwenye forum mnaaandaa agenda , Mou Scope. objectives. etc

  baada ya hapo hata siku ya kukutana basi inakuwa kuna kiazi kizuri na si kupoteza muda.
   
 13. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Sio tu accademy,tunaweza kwenda mbali zaidi kwa kuanzisha hata IT BOARD YA TANZANIA KAMA WATU WA CPA(T),CSP(T) nk.
  Hembu tujaribuni ili tufanye kitu ili watoto wetu waje wajifunze na wajue baba zao walifanya kitu kwa maendeleo ya TZ!
   
 14. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Fanya mchakato kisha utujulishe niwapi pakuanzia.... nami pia nipo tayari kujitolea kwa hilo
   
 15. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Nna shauri wadau wanaopenda hili,kukutana and discus this.Mpaka sasa serikali imechemsha,na bado tena mwaka huu kupitia COSTECH wanazidi kuchemka. Tukutane kuanzisha hii kitu,mimi ntakuwa mmoja wao nina expertz in electronics,and IT engineering and animation
   
 16. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #16
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Great! Tunahitaji ideas tuanze vp. Perhaps kwa kuanzisha thread hapa JF iwe meeting point 1. Physically tukutane when all is set for implementation?
   
 17. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  bonge la wazo mkuu,ni kujitoa muhanga na kuomba msaada kwa wazalendo wote ili hili suala litimie. Na log off
   
 18. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #18
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tunaomba mawazo wakuu.
   
 19. HT

  HT JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Givenality, you are a young great man. Don't put off the fire in you and serve your generarion faithfully...
   
 20. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #20
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Thanks. You seem to know me well.
   
Loading...